Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

SAFI UKRENI HONGERAAAAAA
 
Hayo maeneo wanayaachia muda si mrefu.kesho tu wanaondoka hao kesho tu kudadeki.
Tupo hapa.
 
Putin kitendo cha kwenda kuomba msaada hadi kwa wakina kiduku ilikuwa ni kujicholesha.
Kwamba urusi wameishiwa nguvu na akili,

na putin asipo kaa sawa huu ndio inaweza ikawa mwisho wake na serikali ya wakina Biden wapenda vita ndio inafika mwisho na hawawezi kukubali waiache urusi inaendelea kutamba.
 
Magufuli alipokua anasema watu wazae idadi ya watu ilikua imepungua?. Urusi eneo lao nikubwa kulinganisha na idadi yao nahio ndio sababu kubwa.
 

View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1821765897888907455?t=WgozAa4k28_zCjVzjdX9DQ&s=19
 
ALISEMA FY-16 ATAZILIPUA KABLA HAZIJAANZA KAZI ,ZIMETUA TANGU WIKI ILIYOPITA NA ZIMEANZA KUPIGA MZIGO,AKADAI URUSI IKIGUSWA ATAAMSHA NYUKLIA TUONE KWA HILI KAMA ANA LA KUFANYA
 
Tatizo ni kwamba wanajeshi wote walio vuka mpaka kuingia ndani ya Urusi hakuna atakaye toka akiwa hai wote watauawa .
Sema wao Ukraine watakuwa na maana yao kuanzisha operation hiyo maana wao wanajua zaidi kuhusu vita kuliko sisi.
 
Nadhani Ukraine inataka kutumia nafasi hiyo kuilazimisha Urusi ichague kuchukua majimbo iliyo yanyakua na kuachia jimbo lilitekwa na Ukraine! Au ijiondoe katika ardhi za Ukraine arudishiwe jimbo lake lililotekwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…