Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Historia yoyote itokeayo Duniani huacha fundisho. Kutokujifunza kutokana na historia ni tatizo binafsi. Leo Afrika madhehebu mengi yanaamini katika Mungu wa Israel. Sala nyingi humtaja Mungu wa Israel " Mungu wa Wayahudi"..
Kipindi tunakazana huku Afrika kuomba na kuombewa huku tukiamini Israeli ni Taifa teule tukumbuke Waisraeli wenyewe wanawapiga Hamasi mabomu na silaha nzitonzito kifizikali (physically) kusema ukweli hapa wanatufundisha kuwa imani bila matendo imekufa.
Ni wakati Sasa wa kuomba na kutenda, ile tabia ya kukomaza kichwa na kuwekewa mikono na manabii huku hufanyi chochote Waisraeli wanatuonesha kuwa hauna nafasi. Wale wataalamu wa kusubiria mafanikio ya miujiza " miracle 🤑🤑🤑💰💰💰 bila kujishughulisha kwa kufanya kazi huku wanamtaja Mungu wa Israel, Waisraeli wenyewe wametuonesha kuwa Mungu hayupo hivyo.
Naomba nieleweke kuwa sipingi suala la maombi na sikufuru imani ila naonesha jambo la kujifunza kutoka Israel.