Ukristo Afrika unajifunza nini juu ya vita inayoendelea Israel?

Ukristo Afrika unajifunza nini juu ya vita inayoendelea Israel?

The
Qur'an Tukufu inawatambua wana-Israel na taifa lao imelinukuu vilivyo! Hakuna popote nchi au taifa lijulikanalo kama Palestina limetajwa ndani ya kitabu hicho kitukufu! Kama Mungu analitambua taifa la Yakobo Sisi ni nani tupinge?
Photocopying cant be different
 
Tangu walipomkataa Kristo baraka na rehema kwa wayahudi Kama taifa teule zilikoma. Ndiyo maana Yerusalem iliharibiwa mwaka 70A.D na taifa la Israel kusambaratishwa rasmi na warumi.
Screenshot_20231026-144142_1698320554118.jpg
 
Watu wasiosoma maandiko, na waliokuja kwenye ukristo kufuata miujiza ya mwamposa ndio wenye maoni Kama hayo. Ni kiongozi gani wa Taifa la Israel alipigana Vita Kama Musa? Mfalme Daudi walimtungia wimbo " Sauli ameua maelfu, Daudi makumi elfu"

Netanyahu hajafikisha hata elfu 10 mnalialia, mwenzake mtumishi wa Mungu Joshua msaidizi wa Musa, alifuta makabila ya kutosha, aliua mamilioni ya watu. Mnafikiri Hilo Eneo la Israel lilidondoshwa toka mbinguni?

Makao makuu ya wafilisti Ashkeloni sasa ni mji wa pili kwa ukubwa Israel, wafilist walifutwa
 
Historia yoyote itokeayo Duniani huacha fundisho. Kutokujifunza kutokana na historia ni tatizo binafsi. Leo Afrika madhehebu mengi yanaamini katika Mungu wa Israel. Sala nyingi humtaja Mungu wa Israel " Mungu wa Wayahudi"..

Kipindi tunakazana huku Afrika kuomba na kuombewa huku tukiamini Israeli ni Taifa teule tukumbuke Waisraeli wenyewe wanawapiga Hamasi mabomu na silaha nzitonzito kifizikali (physically) kusema ukweli hapa wanatufundisha kuwa imani bila matendo imekufa.

Ni wakati Sasa wa kuomba na kutenda, ile tabia ya kukomaza kichwa na kuwekewa mikono na manabii huku hufanyi chochote Waisraeli wanatuonesha kuwa hauna nafasi. Wale wataalamu wa kusubiria mafanikio ya miujiza " miracle [emoji857][emoji857][emoji857][emoji383][emoji383][emoji383] bila kujishughulisha kwa kufanya kazi huku wanamtaja Mungu wa Israel, Waisraeli wenyewe wametuonesha kuwa Mungu hayupo hivyo.

Naomba nieleweke kuwa sipingi suala la maombi na sikufuru imani ila naonesha jambo la kujifunza kutoka Israel.
ni sawa na kuomba kuelekea mecca.Mungu hana upande wala uelekeo
 
Hakuna la kumshinda anaweza yote
Mark 15:34
34 And at three in the afternoon Jesus cried out in a loud voice, “Eloi, Eloi, lema sabachthani?” (which means “My God, my God, why have you forsaken me?”)
 
Historia yoyote itokeayo Duniani huacha fundisho. Kutokujifunza kutokana na historia ni tatizo binafsi. Leo Afrika madhehebu mengi yanaamini katika Mungu wa Israel. Sala nyingi humtaja Mungu wa Israel " Mungu wa Wayahudi"..

Kipindi tunakazana huku Afrika kuomba na kuombewa huku tukiamini Israeli ni Taifa teule tukumbuke Waisraeli wenyewe wanawapiga Hamasi mabomu na silaha nzitonzito kifizikali (physically) kusema ukweli hapa wanatufundisha kuwa imani bila matendo imekufa.

Ni wakati Sasa wa kuomba na kutenda, ile tabia ya kukomaza kichwa na kuwekewa mikono na manabii huku hufanyi chochote Waisraeli wanatuonesha kuwa hauna nafasi. Wale wataalamu wa kusubiria mafanikio ya miujiza " miracle 🤑🤑🤑💰💰💰 bila kujishughulisha kwa kufanya kazi huku wanamtaja Mungu wa Israel, Waisraeli wenyewe wametuonesha kuwa Mungu hayupo hivyo.

Naomba nieleweke kuwa sipingi suala la maombi na sikufuru imani ila naonesha jambo la kujifunza kutoka Israel.
Inafundisha kuwa huyo mungu hayupo katika real dimension.

Ni hadithi tu
 
Wakristo wa afrika ni wapumbavu[emoji4]
Rejea Afikirivyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo....
........................................................

Dunia ni mfano wa kiyoo kikubwa kinachokuonesha ulivyo.
 
Back
Top Bottom