Ukristo Afrika unajifunza nini juu ya vita inayoendelea Israel?

The
Qur'an Tukufu inawatambua wana-Israel na taifa lao imelinukuu vilivyo! Hakuna popote nchi au taifa lijulikanalo kama Palestina limetajwa ndani ya kitabu hicho kitukufu! Kama Mungu analitambua taifa la Yakobo Sisi ni nani tupinge?
Photocopying cant be different
 
Watu wasiosoma maandiko, na waliokuja kwenye ukristo kufuata miujiza ya mwamposa ndio wenye maoni Kama hayo. Ni kiongozi gani wa Taifa la Israel alipigana Vita Kama Musa? Mfalme Daudi walimtungia wimbo " Sauli ameua maelfu, Daudi makumi elfu"

Netanyahu hajafikisha hata elfu 10 mnalialia, mwenzake mtumishi wa Mungu Joshua msaidizi wa Musa, alifuta makabila ya kutosha, aliua mamilioni ya watu. Mnafikiri Hilo Eneo la Israel lilidondoshwa toka mbinguni?

Makao makuu ya wafilisti Ashkeloni sasa ni mji wa pili kwa ukubwa Israel, wafilist walifutwa
 
ni sawa na kuomba kuelekea mecca.Mungu hana upande wala uelekeo
 
Hakuna la kumshinda anaweza yote
Mark 15:34
34 And at three in the afternoon Jesus cried out in a loud voice, “Eloi, Eloi, lema sabachthani?” (which means “My God, my God, why have you forsaken me?”)
 
Inafundisha kuwa huyo mungu hayupo katika real dimension.

Ni hadithi tu
 
Inafundisha kuwa huyo mungu hayupo katika real dimension.

Ni hadithi tu
Mkuu hakuna cha real dimensions wala nini, Mungu ni roho na wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho na kweli nukta.
 
Wakristo wa afrika ni wapumbavu[emoji4]
Rejea Afikirivyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo....
........................................................

Dunia ni mfano wa kiyoo kikubwa kinachokuonesha ulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…