Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

teh teh teh

HUJAJIBU SWALI SASA,WHY MAKAO MAKUU YA UKRISTO DUNIANI YASIWE HUKO AMBAKO ALIZALIWA YESU KRISTO MWENYEWE NA BADALA YAKE YALE ULAYA ITALY??
MKUU KUMBE HATA HUUJUI UKRSTO??
TANGU LINI UKRSTO UKAWA NA MAKAO MAKUU.??
KUMBE WEWE SHABIKI TU HUJUI CHOCHOTE
NB: TOFAUTISHA MAKAO MAKUU YA DHEHEBU NA MAKAO MAKUU YA UKRSTO.
 
Mkuu hiyo asilimia 18 ya waislamu wa Israel ni waarabu wa palestina waliochukua uraia wa israel na hakuna myahudi hapo.
Ukrsto upo ndani ya uyahudi na hii bondi omewekwa na Mungu wa wakrsto na wayahudi ambae anaitwa YEHOVA MKUU NA MASIHI WAKE EMMANUEL.
MBONA WALOKOLE KIBAO WAPO ISRAEL NA KILA MWAKA WATU WANAENDA KUHIJI HUKO.
 
Historia iko tofauti na unachokisema. Kihistoria Wakiristo wameua na Kutesa Wayahudi zaidi kwa maelfu ya miaka eti kwa hoja kuwa Walimuua Yesu. Na kimsingi Sababu mojawapo ya Wayahudi kuwatemea makohozi Wakiristo sababu ya Historia hiyo.
Mkuu uko sahihi sana na Hakuna mtu aliyechukia Wayahudi kama Church Father ignatius na kwwnye mwaka 110 mpaka 116 CE ndo alitenganisha Rasmi dhehebu la ukristo kutoka dini ya Judaism na akaanzisha Imani mpya kuuita Ukristo na akaitenga imani halisi na uyahudi na kupiga marufuku watu wasifundishwe kuhusu Dini...Mkuu Tafuta barua ya The Epistle of Ignatius to the Philadelphians 6:1 (Letter to philadelphias) ya mwaka 110-116
PIa Barua ya Hakimu wa enzi hizo pliny the young (61-113 C.E) kwa emperor Trajan kuhusu kundi kitotambua kundo dogo la ukristo kabla ya mwaka 112 CE...

na Kiufupi Christianismus (Ukristo) uliingizwa ili kudhoofisha Dini ya kiyahudi na waombe Mung_ tu..
sheria za kurudisha senhedrin zisifanikiwe vinginevyo zikifanikiwa Watahukumiwa kwa Kifuata Halakh na torah
 
Unafurahia kuona kondoo wakibweka hivi?
 
Kuna hoja nyingi Objective za kuipinga Israel, kutumia hoja ya dini ni illogical, nonesequencial lowmindedness stupidity.

Ritz, for you, this is stooping too low.
 

Sijakukuataza kujipendekeza kwao. Wewe jipendekeze tu kadri upendavyo, wakutemee mate, jifanye mtumwa kwao, na bado wanakuona mtumwa usiye na dili, galagala kabisa mbele yao. Lakini hiyo haiondoi fact kuwa mbele yao wewe unaonekana takataka tu
 
Ha
**** mkristo anayeujua ukristo anaweza kuichukia Israel.

Sisi kazi yetu ni kuiombea na kuibariki Israel.

Hakuna wa kumshinda Israel Iran na magaidi yake wataendelea kutoa vitisho vya mdomo lakini Israel itaendelea kufyeka magaidi kulingana na mpango kazi wake.

Mungu ibariki Israel.
 
Haya jamaa ni mapopoma sana
Yakitawala dunia yatalazimisha ama tuwe waislamu ama yatuuwe hakuna zaidi ya hivyo
Lakini jambo la uhakika hiyo nafasi hawawezi kuipata kamwe yatabaki kuwa manaharakati mpaka mwisho wa dunia kuona yanaonewa kwenye kila kitu na katika mambo mengine ambayo hakuna hata mwenye habari nao

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Acha uzushi wewe, papa sio kiongozi wa ukristo ni kiongozi wa ukatoliki. Learn the difference.
Nikujibu suala la kwa nini wayahudi hawaamini. Wayahudi wao wapo wanaomini na wasioamini suala la imani ni mtu binafsi
 

Mkuu Achana na huyo jamaa namjua vizuri nimewahi kuchimbana naye kuhusu Maswala ya Ukoloni,Utumwa na uislamu Jamaaa ni mweupe sana na Hana elimu yoyote Maamuma Mmoja tu mfata mkumbo ila anajiona kama anajua Ila kiufupi kwa watu wanaojua wanamwona mweupe sana ....

Alikuwa mwanzoni anajiita Nelson Jacob lushasi akachange kuwa Nelson Jacob Kagame ninamfatilia vizuri sana Tangu aseme ana Elimu ila nimegundua hana lolote
 
Sasa wewe nani usipewe Challenge kwanza hata kwa kufatilia Tu mdahalo wenu Inaonyesha weww Elimu yako ndogo
 
Mbona hilo liko wazi, Wayahudi waliweza kumkana Bwana Yesu tangu kitambo Sana, na kwa mustakabali uwo hawahitaji kabisa maswala ya Agano jipya kwa ufupi hawamtambui Yesu kristo kama ndiye Bwana na Mwokozi wao.
 
Hilo mbona tayari. Wamatumbi wamegawanyika tokana na nani wanamuabudu mizungu/miarabu. Hao hao wanaowashobokea hawawapi hata pole kwenye madhila yao. Wamatumbi waliwezwa kuletewa dini.
Eti wamatumbi 🤣🤣 kwanini wamatumbi na sio Wandengereko
 
Ukileta hoja hiyo basi hata Wapalestina siyo Waarabu. Maana Mwarabu Halisi ni Msaudia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…