Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

teh teh teh

HUJAJIBU SWALI SASA,WHY MAKAO MAKUU YA UKRISTO DUNIANI YASIWE HUKO AMBAKO ALIZALIWA YESU KRISTO MWENYEWE NA BADALA YAKE YALE ULAYA ITALY??
MKUU KUMBE HATA HUUJUI UKRSTO??
TANGU LINI UKRSTO UKAWA NA MAKAO MAKUU.??
KUMBE WEWE SHABIKI TU HUJUI CHOCHOTE
NB: TOFAUTISHA MAKAO MAKUU YA DHEHEBU NA MAKAO MAKUU YA UKRSTO.
 
Wanaukumbi.

Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku.

Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo

Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central Bureau Of Statistics (CBS) la Marekani, zaidi ya asilimia 73.8% ya raia wote wa Israeli ni Wayahudi, 18% ni Waislamu na 1.9% ni Wakristo.
Mkuu hiyo asilimia 18 ya waislamu wa Israel ni waarabu wa palestina waliochukua uraia wa israel na hakuna myahudi hapo.
Ukrsto upo ndani ya uyahudi na hii bondi omewekwa na Mungu wa wakrsto na wayahudi ambae anaitwa YEHOVA MKUU NA MASIHI WAKE EMMANUEL.
MBONA WALOKOLE KIBAO WAPO ISRAEL NA KILA MWAKA WATU WANAENDA KUHIJI HUKO.
 
Historia iko tofauti na unachokisema. Kihistoria Wakiristo wameua na Kutesa Wayahudi zaidi kwa maelfu ya miaka eti kwa hoja kuwa Walimuua Yesu. Na kimsingi Sababu mojawapo ya Wayahudi kuwatemea makohozi Wakiristo sababu ya Historia hiyo.
Mkuu uko sahihi sana na Hakuna mtu aliyechukia Wayahudi kama Church Father ignatius na kwwnye mwaka 110 mpaka 116 CE ndo alitenganisha Rasmi dhehebu la ukristo kutoka dini ya Judaism na akaanzisha Imani mpya kuuita Ukristo na akaitenga imani halisi na uyahudi na kupiga marufuku watu wasifundishwe kuhusu Dini...Mkuu Tafuta barua ya The Epistle of Ignatius to the Philadelphians 6:1 (Letter to philadelphias) ya mwaka 110-116
PIa Barua ya Hakimu wa enzi hizo pliny the young (61-113 C.E) kwa emperor Trajan kuhusu kundi kitotambua kundo dogo la ukristo kabla ya mwaka 112 CE...

na Kiufupi Christianismus (Ukristo) uliingizwa ili kudhoofisha Dini ya kiyahudi na waombe Mung_ tu..
sheria za kurudisha senhedrin zisifanikiwe vinginevyo zikifanikiwa Watahukumiwa kwa Kifuata Halakh na torah
 
Unafurahia kuona kondoo wakibweka hivi?
 
Wanaukumbi.

Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku.

Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo

Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central Bureau Of Statistics (CBS) la Marekani, zaidi ya asilimia 73.8% ya raia wote wa Israeli ni Wayahudi, 18% ni Waislamu na 1.9% ni Wakristo.
Kuna hoja nyingi Objective za kuipinga Israel, kutumia hoja ya dini ni illogical, nonesequencial lowmindedness stupidity.

Ritz, for you, this is stooping too low.
 
MKUU HIYO HAITOBADILI MTAZAMO WA WA WAKRSTO KUHUSU KUWAPENDA WAYAHUDI NA IPO WAZI KUA WAISLAMU NA WAARABU WANAPOTEZA MDA WAO BURE KUWASHAWISHI WAKRSTO WAWAUNGE MKONO KATIKA CHUKI YAO DHIDI YA WAYAHUDI.
NB: NDUGU WA IMANI MOJA KUPISHANA KAULI NA KUGOMBANA NI KAWAIDA SABABU NI BINADAMU ILA IMANI YAO CHINI YA MUNGU WAO YEHOVA NA TORATI (BIBLIA) HAITENGANISHWI.

Sijakukuataza kujipendekeza kwao. Wewe jipendekeze tu kadri upendavyo, wakutemee mate, jifanye mtumwa kwao, na bado wanakuona mtumwa usiye na dili, galagala kabisa mbele yao. Lakini hiyo haiondoi fact kuwa mbele yao wewe unaonekana takataka tu
 
Ha
Wanaukumbi.

Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku.

Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo

Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central Bureau Of Statistics (CBS) la Marekani, zaidi ya asilimia 73.8% ya raia wote wa Israeli ni Wayahudi, 18% ni Waislamu na 1.9% ni Wakristo.
**** mkristo anayeujua ukristo anaweza kuichukia Israel.

Sisi kazi yetu ni kuiombea na kuibariki Israel.

Hakuna wa kumshinda Israel Iran na magaidi yake wataendelea kutoa vitisho vya mdomo lakini Israel itaendelea kufyeka magaidi kulingana na mpango kazi wake.

Mungu ibariki Israel.
 
Hivi kwanini mnalazimisha kila mtu aiunge mkono Palestina kwa kisingizio cha kwamba hii vita ni ya kidini, ninyi mnajuaje kama wote wanaoiunga mkono Israeli wanafanya hivyo sababu ya dini, hamna watu wajinga kama wanaolazimisha kwamba hii vita ni ya kidini na kulazimisha kwamba eti dini fulani ndio ya haki

Hakuna dini ya haki zote ni umafia tu ni vile tu kuna dini moja haijapata nafasi ya kuitawala dunia ndio maana inaonekana ni ya haki, ila siku ikitokea hiyo dini imeshika hatamu ndio dunia itajua makucha yake halisi, tena bora hata hii inayotawala sasa hivi ina uvumilivu na dini nyingine na kila mtu ana uhuru wa kuabudu anachotaka

Lakini hiyo dini nyingine hapa tu haina nguvu ya kutawala dunia lakini kuna watu wanateseka kwa kulazimishwa kuwa wa dini yao sasa imagine siku ikishika hatamu, watu husema bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua, dini ambayo haina uvumilivu na dini nyingine haitakiwi kuachwa ipate nguvu hata mara moja
Haya jamaa ni mapopoma sana
Yakitawala dunia yatalazimisha ama tuwe waislamu ama yatuuwe hakuna zaidi ya hivyo
Lakini jambo la uhakika hiyo nafasi hawawezi kuipata kamwe yatabaki kuwa manaharakati mpaka mwisho wa dunia kuona yanaonewa kwenye kila kitu na katika mambo mengine ambayo hakuna hata mwenye habari nao

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
WELL,KAMA CHIMBUKO NI HUKO SASA KINGOZI WENU HUYO PAPA HUKO VATICAN NGUVU HIYO ANAJIVIKA KUTOKA WAPI??

KAMA KWENU NYINYI WANA WA MUNGU ISRAEL NI ASILI YENU,WHY JESUS PAMOJA NA KUHUBIRI NENO LA MUNGU KWA HAO WANA WA ISRAEL HAWAKUMKUBALI MOST OF THEM??NA WHY WEWE UAMINI KATIKA UKRISTO AMBAO HATA HAO WAYAHUDI WENYEWE AMBAO WALIMPOKEA YESU HAWAUTAMBUI??UNAJUA KUWA YESU ALITUMWA SPECIFICALLY KWA WANA WA ISRAEL??
Acha uzushi wewe, papa sio kiongozi wa ukristo ni kiongozi wa ukatoliki. Learn the difference.
Nikujibu suala la kwa nini wayahudi hawaamini. Wayahudi wao wapo wanaomini na wasioamini suala la imani ni mtu binafsi
 
Mkuu samahani sana kama nitasema haya ila naomba kusema kuwa wewe sio Judaism na haupo katika dhehebu lolote la judaism..

Kwanza hakuna Myahudi anayejitapa kujua uyahudi akataja jina la Mung_ kwa ukamilisho wake ila wewe umelitaja zaidi ya mara 10 wakati Talmud,Mishnah ,,Halakhah zinakataza kufanya hivyo na huesabiwa dhambi kufanya hivyo..
Tafakuri ya Torah ulizotaja hazifanyiki kila siku bali hufanyika Jumatatu ,Alhamisi na Shabatt mchana ( siku ya sabato Mchana)..na si kila siku hufanyika tafakuri siku nyingine hufanyika aliyot (maneno ya barka yaliyopo kwenye torah na husomwa kabla ya Borkhu prayer)

Twende kwenye Hagbah na Glilah ambayo wakristo ndo huita magombo na umegusia vitabu vya Yashayahu (Isaya) , Nehemya (Nehemia) DaniEl hujavijua vizuri kwa sababu huwezi kusoma biblia peke yake bila kusoma talmud na Halakh na pia ukapitia kidogo rabbinic narrative zozote utakuwa unajidanganya tu...

Hata kama nikikuambia uelezee ujumbe ulioletwa humo kwa ulivyoamdika naamini kabisa Utashindwa (Nisamehe kwa kusema hivyo

jinsi ya Ibada za kiyahudi zinavyofanywa ni 90% differ from Christian Prayer...

wewe umekataa challenge kwasababu naamini unachokisema ni 100% Uongo na kuhusi kuwajua Wayahudi ni kweli siwezi kufika hata 50% yakuwajua ,But atleast nimekaa nao and i was practising judaism atleast naweza nisiwajua wayahud nikajua Mila tamaduni na Misingi yao kwa 30%...

MWISHO MKUU hatushindani kwamba apatikane mshindj ila huwa nachukia kuona mtu anapindisha ukweli kwa manufaa yake binafsi i think unaweza kuwa umeniona hata sehemu nikisema au kuwatetea watu wa imani fulani ukahisi mimi ni mlengo wa sehemu ile..
kwa sasa mimi Sijafungamana na imani yoyote...Bali nipo katika matendo nayofahamu mwenyewe...

Mkuu Achana na huyo jamaa namjua vizuri nimewahi kuchimbana naye kuhusu Maswala ya Ukoloni,Utumwa na uislamu Jamaaa ni mweupe sana na Hana elimu yoyote Maamuma Mmoja tu mfata mkumbo ila anajiona kama anajua Ila kiufupi kwa watu wanaojua wanamwona mweupe sana ....

Alikuwa mwanzoni anajiita Nelson Jacob lushasi akachange kuwa Nelson Jacob Kagame ninamfatilia vizuri sana Tangu aseme ana Elimu ila nimegundua hana lolote
 
MKUU ASHKUM SI MATUSI
""YAANI UNIPE CHALLENGE KWENYE IMANI YANGU YA KIYAHUDI NA MAPOKEO YA WAKRSTO""""""''BE SERIOUS
KASOME TORATI YA KIYAHUDI GOMBO LA NABII ISAYA NA NABII NEHEMIAH UJUE
KUHUSU EMANUELI YESU NA MAONO YAKE.
NB: WEWE HUJAKAA NA WAYAHUDI BALI UNAHISI UNAWAJUA WAYAHUDI.
Sasa wewe nani usipewe Challenge kwanza hata kwa kufatilia Tu mdahalo wenu Inaonyesha weww Elimu yako ndogo
 
Wanaukumbi.

Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku.

Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo

Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central Bureau Of Statistics (CBS) la Marekani, zaidi ya asilimia 73.8% ya raia wote wa Israeli ni Wayahudi, 18% ni Waislamu na 1.9% ni Wakristo.
Mbona hilo liko wazi, Wayahudi waliweza kumkana Bwana Yesu tangu kitambo Sana, na kwa mustakabali uwo hawahitaji kabisa maswala ya Agano jipya kwa ufupi hawamtambui Yesu kristo kama ndiye Bwana na Mwokozi wao.
 
Hilo mbona tayari. Wamatumbi wamegawanyika tokana na nani wanamuabudu mizungu/miarabu. Hao hao wanaowashobokea hawawapi hata pole kwenye madhila yao. Wamatumbi waliwezwa kuletewa dini.
Eti wamatumbi 🤣🤣 kwanini wamatumbi na sio Wandengereko
 
MKUU HAO WAARABU WAKRSTO UNAOSEMA NI WENGI SANA.
NI ASILIMIA NGAPI YA WAARABU WOTE MASHARIKI YA KATI??
NB: NA KAMA UPEO WAKO MKUBWA BASI USIWACHANGANYE MAZALIA YA WAGIRIKI WA KALE PALE MISRI AMBAO NI (WACOPTIC) UKAWAITA WAARABU SABABU WANAZUNGUMZA KIARABU
USIWACHANGANYE WABYZANTINE WA ISRAEL NA PALESTINA NA JORDAN NA SYRIA NA LEBANON NA IRAQ UKAWAITA WAARABU SABABU WANAZUNGUMZA KIARABU UKADHANI WAO WAARABU.
Ukileta hoja hiyo basi hata Wapalestina siyo Waarabu. Maana Mwarabu Halisi ni Msaudia!
 
Back
Top Bottom