Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
MKUU UNAJITAHIDI KUTAFUTA KAMPANI YA WAKRSTO ILI WAWASAPOTI WAARABU NA WAISLAM NA CHUKI YAO DHIDI YA WAYAHUDI 🤣🤣🤣Nani aliyepiga kelele za msulubisheee msulubishee na damu yake iwe juu yetu na vizazi vyetu!
Tufungulie barabaaa
Watu wamejiapiza kwa damu ya Yesu kwamba laana iwe nao na watoto wao halafu unawakumbatia watu wa namna hii. Hujielewi wewe!
Acha kabisa aisee!
Babu yao wayahudi anashindwaje kuwa myahudi
Tofautisha myahudi na mwisrael watoto wa Yakobo
Uyahudi umeanza Karne ya Tano/sita kabla ya yesu, Ibrahim kishaondoka zamani,uyahudi inahusiana zaidi na amri za musa,inakuaje Ibrahim awe myahudi!?..uwe unasomaBabu yao wayahudi anashindwaje kuwa myahudi
Tofautisha myahudi na mwisrael watoto wa Yakobo
SASA MBONA NIMEINGIA SANA MAKANISANI NA KWENYE MASINAGOGI NA NILIMTAJA SANA YESU SIKUFUNGWA.Unahakika kwamba Jerusalem umefika pekeako?
Una akili timamu wewe!?Waliopeleka ni wabunge wawili tena waislamu wansotokea maeheo yenye waislamu ukapigwa chini chap chap haukufika popote
Walipiga kelele tu lakini aliyemhukumu kufa ni jaji mrumi Ponsio Pilato ma Askari wa.kirumi ndio waliomuua kwa.kumtandika mijeredi yenye misumari na kumpiga sana na kumsulubisha msalabani na kumchoma mkuki kwenye moyo.akiwa msalabani
Wayahudi walipiga miyowe tu
Myahudi yupi alimuua yesu??Nani aliyepiga kelele za msulubisheee msulubishee na damu yake iwe juu yetu na vizazi vyetu!
Tufungulie barabaaa
Watu wamejiapiza kwa damu ya Yesu kwamba laana iwe nao na watoto wao halafu unawakumbatia watu wa namna hii. Hujielewi wewe!
Acha kabisa aisee!
WAULIZE WAKRSTO WAKUJIBU MKUU.Na yesu je ni mungu pia?
MKUU WAKRSTO HAWAWEZI KUACHA KUWAPENDA WAEBRANIA AFU ETI WAWAPENDE WAARABU NA WAISLAMU.Ile bill ya kupinga kutangaza ukiristo iliyopelekwa bunge la Israel,ulisikia habari zake!?..Yale ni mapenzi au chuki!?..acha kujipendekeza kijinga
Sijakuchagulia mpenziMKUU WAKRSTO HAWAWEZI KUACHA KUWAPENDA WAEBRANIA AFU ETI WAWAPENDE WAARABU NA WAISLAMU.
UNAPOTEZA MDA
hao wayahudi ndiyo walimtundika yesu (katoto ka nje ka mungu wa kikristo) msalabani,wakampiga misumari na mikuki ya makalioWewe siyo wa kwanza kuleta uzi wa aina hiyo kwamba Israel haimuamini Yesu na sasa hivi wakristo wengi sana wanajua hilo kwamba waisrael siyo wenzao katika imani hivyo tushachoka na hizi ngonjera zenu, shida ni ninyi waislam kuona kwamba kila mkristo anayeiunga mkono Israeli basi anafanya hivyo sababu ya dini yote hiyo ili mradi tu dunia nzima iiunge mkono Palestina ili uislam uonekane una nguvu na unapendwa, msitumie nguvu kubwa sana kuieneza dini yenu narudia hakuna dini ya haki zote ni umafia tu hivyo msipangie watu kipi cha kuunga mkono na kipi siyo acheni kila mtu afanye maamuzi yake
Dah mi ni mkristo mkuu ila imebidi nicheke tu [emoji1787]Kaongee hayo maneno yako Israel kama ujaenda jela.
Wayahudii hawachukii Ukristo.wala dini hawana wivu na wala hawahitaji waumini kujiunga nao
Myahudi huwa dini ya kiyahudi kwa kuzaliwa hawahangaiki kama waislamu wawinda wasio wsislamu wajiunge na uislamu hata kwa upanga.Wao hawahitaji.waumini nje ya wazaliwa wao wachukie dini ingine kama ya Kikristo au ya kiislamu ili iweje wakati hata wakitaka kujiunga na dini ya kiyahudi.hawawahitaji
Dini ya kiyahudi haina ugomvi na dini yeyote duniani
hao wayahudi ndiyo walimtundika yesu (katoto ka nje ka mungu wa kikristo) msalabani,wakampiga misumari na mikuki ya makalio
Sikiliza Wewe muabudu MIDOLI...Mnajipendekeza saaana kwa wayahudi lakini wao mayahudi hawakupendeni mpaka wanafikia hatua ya kukuueni.MKUU UNADHANI NDIO HII ITAWAFANYA WAKRSTO WAWAUNGE MKONO WAISLAMU NA WARAABU KWENYE CHUKI YAO DHIDI YA WAARABU.
NB: WAISLAMU NA WAARABU WANASAHAU KUA MUNGU WA WAKRSTO NA WAYAHUDI NI MMOJA YEHOVAH KUPITIA TORATI YA KIYAHUDI