Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

🤣🤣🤣🤣 SOURCE AL JAZEERA PRO ARAB AND ISLAM MOVEMENT
EBU KUA SERIOUS MKUU 🤣🤣😂😂
Taja source ambayo unaweza iamini tujifunze, yani news ikitoka katika source gani unahisi ni neutral
 
Hilo mbona tayari. Wamatumbi wamegawanyika tokana na nani wanamuabudu mizungu/miarabu. Hao hao wanaowashobokea hawawapi hata pole kwenye madhila yao. Wamatumbi waliwezwa kuletewa dini.
Inasikitisha ila lingekua jambo zuri kama tukikubali tofauti zetu maisha yaendelee kiamani tu
 
Ukienda America ya kusini yote ni mataifa ya wakatoriki lakini kuanzia raia na serikali zao wanawaunga mkono wapalestina, na ukitaka kwenda jera jaribu kuwadhihaki wapalestina kwa kuwaita magaidi.
Wakatoliki ni Roman katoliki

Kanisa la warumi.la Rumi ndiko wanakotoka Jaji ponsio Pilato na Askari wa kirumi walioua myahudi Yesu Kristo .

Wapalestina leo wanaua wayahudi hao wafuasi wa kanisa la Rumi kuwaunga mkono wapalestina wanaoua wayahudi kuunga sio jambo jipya kwao.

Unashangaa nini mfuasi wa kanisa la kirumi kuunga mkono Wapalestina wanaua wayahudi?

YESU aliuawa na Warumi
 
Duh yaani leo wapalestina ndo wanaua Waisraelna siyo waisrael ndiyo wanaua wapalestina kwa wingi zaidi kabla ya tarehe 7 october na baada yake?

Inaelekea mizani yako ya haki imeelemea zaidi kutokujali maisha ya wapalestina
 
Duh yaani leo wapalestina ndo wanaua Waisraelna siyo waisrael ndiyo wanaua wapalestina kwa wingi zaidi kabla ya tarehe 7 october na baada yake?

Inaelekea mizani yako ya haki imeelemea zaidi kutokujali maisha ya wapalestina
Wapalestina ndio walianza kuua wayahudi October 7 hayo matako.ya wakatoliki wa America kusini ya kulaani hayakutolewa
 
Warokole huwa mna akili za hovyo sana na ndio maana mmekuwa chanzo cha mapato ya matapeli wanao jiita manabii.

Ww una waponda wakatoriki hali ya kuwa huo urokole wako ni chanzo chake ni waumini wa kikatoliki walio liasi kanisa.
Bila hao unao waita waroma huo ukrisito na urokole wako ungekuwa unajua hata unafananaje?
 
sasa kwa wale wakristo wa tanzania wanaosema israel ni taifa teule la mungu hii itakuwa tabu mno kumeza.
Naona mko kwenye kampeni ya kutafuta huruma ya wa kristo; shekhe pambaneni na hari yenu
 
Kanisa la kwanza lilianzia uyahudi Israeli alikozaliwa Yesu na kuhubiri halikuanzia Roma

Tatizo mnalishwa matango pori kuaminishwa kuwa Kanisa la kwanza lilianzia Roma uongo.Kasome kitabu cha Matendo ya mitume

Baada ya Ukristo kuanza ulisambaa sehemu mbalimbali duniani sio Roma tu

Roma wakawa na Ukristo wao tofauti na wengine

Historia ya Makanisa sio.yote yakitokana na kanisa katoliki Tatizo wana historia wengine huchanganya historia ya kanisa katoliki na ulokole

Ulokole haujawahi kuwa tawi la ukatoliki ni juzi juzi tu hapa ndio wakatoliki wameanza kupata branch ya ulokole ndani ya ukatoliki.ambao.ni Charismatic au wakaurismatiki wa kikatoliki

Ulokole ni tawi ambalo mzizi wake ni.lile kanisa la kwanza la uyahudi lililo anza rasmi siku ya pentecoste uyahudi na haujawahi.kufa au kuwa tawi la kanisa katoliki kwa wakati wowote.Makanisa yote yalitokana na kanisa katoliki ndio sasa siku za karibuni wameamza kuwa na vikundi vya walokole makanisani mwao
 
Inasikitisha ila lingekua jambo zuri kama tukikubali tofauti zetu maisha yaendelee kiamani tu

Hilo litawezekana hadi ujinga na umaskini upungue hivi hivi wamatumbi bado tunasafari ndefu sana.
 
Reactions: Lax
sasa shida yake nini hapo? unafikiri sisi wakristo huwa tunalazimisha mtu aamini dini kama wengine? dini yetu sio ya upanga kwamba usipoiamini ni adui. tutaendelea kuipenda Israel hata kama hawautaki ukristo.
 

Sawa ila magaidi lazima yashughulikiwe bila huruma
 
Nakuona unatunga vitu kutoka vichwani mwako.
 
sasa shida yake nini hapo? unafikiri sisi wakristo huwa tunalazimisha mtu aamini dini kama wengine? dini yetu sio ya upanga kwamba usipoiamini ni adui. tutaendelea kuipenda Israel hata kama hawautaki ukristo.
Mbona sasa historia inaonesha ukrisito ndo ulio mwaga damu nyingi katika uenezwaji wake?
 
Yesu ni myahudi usisahau.

Ukiibariki Israeli umebarikiwa, Ikiilaani, Israeli umelaaniwa.

Wakristo ni wabarikiwa, Wayahudi ndugu zetu.

Amen
 
Du bado unajipendejeza tu??? Ushafika Israel lakini, au maeneo yene wayahudi wengi kama Antwerp?? Au umejichimbia Yombo Dovya unabwabwaja tu??
 
MKUU WEWE HISTORIA YAKO NA WAYAHUDI ENEO HILO INAANZIA MWAKA 1948????
NDIVYO MNAVYOAMBIWA NA MAUSTAADH?

UNACHOULIZA NA NILICHOMJIBU HUYO MGALATIA ASIE NA AKILI NI VITU VIWILI TOFAUTI,YEYE ANASEMA WAISLAM WANATAFUTA HURUMA KWA WAKRISTO KATIKA MGOGORO HUO WA MIDDLE EAST,THATS WHY NIMEMJIBU KUWA OCCUPATION IMEANZA TOKA MWAKA 1948,NA HAMAS IMEANZA OPERATIONS ZAKE 1987 HADI LEO HALI SI SHWARI HUKO,LINI SASA AMESKIA WAISLAM AU HAMAS WAMELIA KUTAKA HURUMA YA WAKRISTO??
 

Hutaki kukubali kuwa wayahudi ndiyo walimuua yesu ili tuh moyo wako upate amani kuwa wayahudi ni watu wako na ni TAIFA LA MUNGU??teh teh teh

Yesu alikuwa myahudi,alietumwa kwa wana wa israel na bado hawakumkubali kwani wao kwao mtume aliekuwa ana nafasi ni musa,hawakutaka kufuata maandiko yake na kufikia hadi kumuua kama mnavyosema,sasa wewe ukristo umeutoa wapi??

HUJIULIZI ,KAMA YESU NDIE ALILETA UKRISTO NA WAROMA NDIYO WALIMUUA YESU KAMA UNAVYOSEMA,IWEJE SASA HAO AMBAO WALIMUUA YESU WAWE VINARA WA DINI HIYO HADI KUFIKIA HATUA YA KUWEKA MAKAO MAKUU YA IMANI HIYO HUKO VATICAN??HUTUMII AKILI TUH NA KUJUA HIYO NI FIX??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…