inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kakwambia nani nashawishi!?Ndio nikasema unapoteza mda kuwashawishi wawapende waarabu waislamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakwambia nani nashawishi!?Ndio nikasema unapoteza mda kuwashawishi wawapende waarabu waislamu
Taja source ambayo unaweza iamini tujifunze, yani news ikitoka katika source gani unahisi ni neutral🤣🤣🤣🤣 SOURCE AL JAZEERA PRO ARAB AND ISLAM MOVEMENT
EBU KUA SERIOUS MKUU 🤣🤣😂😂
Inasikitisha ila lingekua jambo zuri kama tukikubali tofauti zetu maisha yaendelee kiamani tuHilo mbona tayari. Wamatumbi wamegawanyika tokana na nani wanamuabudu mizungu/miarabu. Hao hao wanaowashobokea hawawapi hata pole kwenye madhila yao. Wamatumbi waliwezwa kuletewa dini.
Wakatoliki ni Roman katolikiUkienda America ya kusini yote ni mataifa ya wakatoriki lakini kuanzia raia na serikali zao wanawaunga mkono wapalestina, na ukitaka kwenda jera jaribu kuwadhihaki wapalestina kwa kuwaita magaidi.
Duh yaani leo wapalestina ndo wanaua Waisraelna siyo waisrael ndiyo wanaua wapalestina kwa wingi zaidi kabla ya tarehe 7 october na baada yake?Wakatoliki ni Roman katoliki
Kanisa la warumi.la Rumi ndiko wanakotoka Jaji ponsio Pilato na Askari wa kirumi walioua myahudi Yesu Kristo .
Wapalestina leo wanaua wayahudi hao wafuasi wa kanisa la Rumi kuwaunga mkono wapalestina wanaoua wayahudi kuunga sio jambo jipya
Unashangaa nini mfuasi wa kanisa la kirumi kuunga mkono Wapalestina wanaua wayahudi?
YESU aliuawa na Warumi
Wapalestina ndio walianza kuua wayahudi October 7 hayo matako.ya wakatoliki wa America kusini ya kulaani hayakutolewaDuh yaani leo wapalestina ndo wanaua Waisraelna siyo waisrael ndiyo wanaua wapalestina kwa wingi zaidi kabla ya tarehe 7 october na baada yake?
Inaelekea mizani yako ya haki imeelemea zaidi kutokujali maisha ya wapalestina
Warokole huwa mna akili za hovyo sana na ndio maana mmekuwa chanzo cha mapato ya matapeli wanao jiita manabii.Wakatoliki ni Roman katoliki
Kanisa la warumi.la Rumi ndiko wanakotoka Jaji ponsio Pilato na Askari wa kirumi walioua myahudi Yesu Kristo .
Wapalestina leo wanaua wayahudi hao wafuasi wa kanisa la Rumi kuwaunga mkono wapalestina wanaoua wayahudi kuunga sio jambo jipya kwao.
Unashangaa nini mfuasi wa kanisa la kirumi kuunga mkono Wapalestina wanaua wayahudi?
YESU aliuawa na Warumi
Naona mko kwenye kampeni ya kutafuta huruma ya wa kristo; shekhe pambaneni na hari yenusasa kwa wale wakristo wa tanzania wanaosema israel ni taifa teule la mungu hii itakuwa tabu mno kumeza.
Kanisa la kwanza lilianzia uyahudi Israeli alikozaliwa Yesu na kuhubiri halikuanzia RomaWarokole huwa mna akili za hovyo sana na ndio maana mmekuwa chanzo cha mapato ya matapeli wanao jiita manabii.
Ww una waponda wakatoriki hali ya kuwa huo urokole wakni chanzo chake ni waumini wa kikatoliki walio liasi kanisa.
Bila hao unao waita waroma huo ukrisito na urokole wako ungekuwa unajua hata unafananaje?
Inasikitisha ila lingekua jambo zuri kama tukikubali tofauti zetu maisha yaendelee kiamani tu
sasa shida yake nini hapo? unafikiri sisi wakristo huwa tunalazimisha mtu aamini dini kama wengine? dini yetu sio ya upanga kwamba usipoiamini ni adui. tutaendelea kuipenda Israel hata kama hawautaki ukristo.Wanaukumbi.
Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku.
Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo
Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central Bureau Of Statistics (CBS) la Marekani, zaidi ya asilimia 73.8% ya raia wote wa Israeli ni Wayahudi, 18% ni Waislamu na 1.9% ni Wakristo.
Wanaukumbi.
Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku.
Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo
Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central Bureau Of Statistics (CBS) la Marekani, zaidi ya asilimia 73.8% ya raia wote wa Israeli ni Wayahudi, 18% ni Waislamu na 1.9% ni Wakristo.
Nakuona unatunga vitu kutoka vichwani mwako.Kanisa la kwanza lilianzia uyahudi Israeli alikozaliwa Yesu na kuhubiri halikuanzia Roma
Tatizo mnalishwa matango pori kuaminishwa kuwa Kanisa la kwanza lilianzia Roma uongo.Kasome kitabu cha Matendo ya mitume
Baada ya Ukristo kuanza ulisambaa sehemu mbalimbali duniani sio Roma tu
Roma wakawa na Ukristo wao tofauti na wengine
Historia ya Makanisa sio.yote yakitokana na kanisa katoliki Tatizo wana historia wengine huchanganya historia ya kanisa katoliki na ulokole
Ulokole haujawahi kuwa tawi la ukatoliki ni juzi juzi tu hapa ndio wakatoliki wameanza kupata branch ya ulokole ndani ya ukatoliki.ambao.ni Charismatic au wakaurismatiki wa kikatoliki
Ulokole ni tawi ambalo mzizi wake ni.lile kanisa la kwanza la uyahudi lililo anza rasmi siku ya pentecoste uyahudi na haujawahi.kufa au kuwa tawi la kanisa katoliki kwa wakati wowote.Makanisa yote yalitokana na kanisa katoliki ndio sasa siku za karibuni wameamza kuwa na vikundi vya walokole makanisani mwao
Mbona sasa historia inaonesha ukrisito ndo ulio mwaga damu nyingi katika uenezwaji wake?sasa shida yake nini hapo? unafikiri sisi wakristo huwa tunalazimisha mtu aamini dini kama wengine? dini yetu sio ya upanga kwamba usipoiamini ni adui. tutaendelea kuipenda Israel hata kama hawautaki ukristo.
Yesu ni myahudi usisahau.Wanaukumbi.
Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku.
Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo
Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central Bureau Of Statistics (CBS) la Marekani, zaidi ya asilimia 73.8% ya raia wote wa Israeli ni Wayahudi, 18% ni Waislamu na 1.9% ni Wakristo.
wewe inaelekea unawabariki hata akina Keyafa na Herode, maana Netanyahu karithi ukatili kutoka kwao.Yesu ni myahudi usisahau.
Ukiibariki Israeli umebarikiwa, Ikiilaani, Israeli umelaaniwa.
Wakristo ni wabarikiwa, Wayahudi ndugu zetu.
Amen
Du bado unajipendejeza tu??? Ushafika Israel lakini, au maeneo yene wayahudi wengi kama Antwerp?? Au umejichimbia Yombo Dovya unabwabwaja tu??Porojo za CBS hizo wayahudi na wakristo tunaheshimiana mno na kupendana kama hujui sisi sote baba yetu mmoja wote ni uzao wa Ibrahim wao wakachagua dini ya kiyahudi sisi ya Kikristo
Nyumba moja tunaamini wakristo mwaweza kuwa dini tofauti na mkaishi kwa amani tu au ndani ya nyumba akawemo kafiri asiye na dini hatumtumpi wala kumchulia tofauti na waislamu baadhi kama mleta mada na Hamas ambao kwao uvumilivu kwa watu wa dini zingine haupo
Sisi wakristo wayahudi pamoja na tofauti zetu za kidini hatuna ugomvi nao na hauji kutokea
Ndio maana Israel.ni rafiki mkubwa wa nchi zote za Kikristo duniani ilkiwemo Marekani na wakristo nfio huongoza kuwaingizia pesa za utalii Israrl kupitia safari za kitalii za kwenda Israel
Na wakienda kutalii huhubiri waziwazi Ukristo na huheshimiwa sana sababu ni sehemu inayoingiza pato kubwa kwa Israel
Lakini pia kuna adhabu kali mno akionekana myahudi yeyote akimnyanyasa au kumkebehi Mkristo akiwa Israel
MKUU WEWE HISTORIA YAKO NA WAYAHUDI ENEO HILO INAANZIA MWAKA 1948????
NDIVYO MNAVYOAMBIWA NA MAUSTAADH?
Walipiga kelele tu lakini aliyemhukumu kufa ni jaji mrumi Ponsio Pilato ma Askari wa.kirumi ndio waliomuua kwa.kumtandika mijeredi yenye misumari na kumpiga sana na kumsulubisha msalabani na kumchoma mkuki kwenye moyo.akiwa msalabani
Wayahudi walipiga miyowe tu hakuna aliyemwua warumi ndio.waliua