Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

Mkuu ukisema kuwa mimi sio mfuasi wa imani ya kiebrania unaijua imani yangu?
Huwezi ukasali kwenye synagogue na ukashika injili unless Unasema kanisa kwa lugha isiyosahihi..
Kwa sababu hata ibada inavyofanywa na Wayahudi ni tofauti na ibada ya wakristo..

Ngoja niandae uzi jinsi Ukristo ulivyodepart from judaism nitakutag mkuu kufikia saa sita au tano utakuwa tayari...
Niliwahi kuwa mkristo Mkuu nikasoma mpaka theology na pia nilifanikiaa kukaa huko (Kama nilivyoelezea awali nikasoma Halakha ,nikasoma Aggadah nikafundishwa Tanakh kwa mafundisho ya marabbi mbalimbali ,Nikasoma Rabbinic Narrative zote mfano mishnah na talmud...
Kwahyo ukiona nasema kitu kuhus wayahdi nawajua vizuri sana..

Na ndo maana nimekupa challenge kuwa ukinipa even a single rabbi kutoka Judaism ambaye anakubaliana na christian theology Niko radhi kuwaambia modss wanifute JF kabisa mazima (Zingatia Rabbi wa judaism)
MKUU ASHKUM SI MATUSI
""YAANI UNIPE CHALLENGE KWENYE IMANI YANGU YA KIYAHUDI NA MAPOKEO YA WAKRSTO""""""''BE SERIOUS
KASOME TORATI YA KIYAHUDI GOMBO LA NABII ISAYA NA NABII NEHEMIAH UJUE
KUHUSU EMANUELI YESU NA MAONO YAKE.
NB: WEWE HUJAKAA NA WAYAHUDI BALI UNAHISI UNAWAJUA WAYAHUDI.
 
Mkuu ukisema kuwa mimi sio mfuasi wa imani ya kiebrania unaijua imani yangu?
Huwezi ukasali kwenye synagogue na ukashika injili unless Unasema kanisa kwa lugha isiyosahihi..
Kwa sababu hata ibada inavyofanywa na Wayahudi ni tofauti na ibada ya wakristo..

Ngoja niandae uzi jinsi Ukristo ulivyodepart from judaism nitakutag mkuu kufikia saa sita au tano utakuwa tayari...
Niliwahi kuwa mkristo Mkuu nikasoma mpaka theology na pia nilifanikiaa kukaa huko (Kama nilivyoelezea awali nikasoma Halakha ,nikasoma Aggadah nikafundishwa Tanakh kwa mafundisho ya marabbi mbalimbali ,Nikasoma Rabbinic Narrative zote mfano mishnah na talmud...
Kwahyo ukiona nasema kitu kuhus wayahdi nawajua vizuri sana..

Na ndo maana nimekupa challenge kuwa ukinipa even a single rabbi kutoka Judaism ambaye anakubaliana na christian theology Niko radhi kuwaambia modss wanifute JF kabisa mazima (Zingatia Rabbi wa judaism)
MKUU SOMA TORATI KWANZA YA KIYAHUDI MAGOMBO YA MANABII ISAYA ,NEHEMIA,DANIYEL AFU NDIO UJE NA MASWALI YA KUHUSU WAKRSTO NA UYAHUDI.
NB: MAMBO YA KUTAKA SINGLE RABBI AU JF WAKUFUTE NI MABISHANO YA KITOTO WANAYOFANYA WAISLAMU NA HATER,S WA WAYAHUDI WA JF KUJIFURAISHA.
SISI WAELEWA TUMESHATOKA HUKO KITAMBO.
 
WAARABU NA WAISLAMU WANAJITAHIDI SANA KUJARIBU KUWAOMBA WAKRSTO WAWAUNGE MKONO KATIKA CHUKI YAO DHIDI YA WAYAHUDI NA WANASAHAU MSINGI WA IMANI YA KIKRSTO NI IMANIYA YA KIYAHUDI NA HILO HALITOWEZA KUBADILIKA MILELE
 
MKUU SOMA TORATI KWANZA YA KIYAHUDI MAGOMBO YA MANABII ISAYA ,NEHEMIA,DANIYEL AFU NDIO UJE NA MASWALI YA KUHUSU WAKRSTO NA UYAHUDI.
NB: MAMBO YA KUTAKA SINGLE RABBI AU JF WAKUFUTE NI MABISHANO YA KITOTO WANAYOFANYA WAISLAMU NA HATER,S WA WAYAHUDI WA JF KUJIFURAISHA.
SISI WAELEWA TUMESHATOKA HUKO KITAMBO.
Mkuu samahani sana kama nitasema haya ila naomba kusema kuwa wewe sio Judaism na haupo katika dhehebu lolote la judaism..

Kwanza hakuna Myahudi anayejitapa kujua uyahudi akataja jina la Mung_ kwa ukamilisho wake ila wewe umelitaja zaidi ya mara 10 wakati Talmud,Mishnah ,,Halakhah zinakataza kufanya hivyo na huesabiwa dhambi kufanya hivyo..
Tafakuri ya Torah ulizotaja hazifanyiki kila siku bali hufanyika Jumatatu ,Alhamisi na Shabatt mchana ( siku ya sabato Mchana)..na si kila siku hufanyika tafakuri siku nyingine hufanyika aliyot (maneno ya barka yaliyopo kwenye torah na husomwa kabla ya Borkhu prayer)

Twende kwenye Hagbah na Glilah ambayo wakristo ndo huita magombo na umegusia vitabu vya Yashayahu (Isaya) , Nehemya (Nehemia) DaniEl hujavijua vizuri kwa sababu huwezi kusoma biblia peke yake bila kusoma talmud na Halakh na pia ukapitia kidogo rabbinic narrative zozote utakuwa unajidanganya tu...

Hata kama nikikuambia uelezee ujumbe ulioletwa humo kwa ulivyoamdika naamini kabisa Utashindwa (Nisamehe kwa kusema hivyo

jinsi ya Ibada za kiyahudi zinavyofanywa ni 90% differ from Christian Prayer...

wewe umekataa challenge kwasababu naamini unachokisema ni 100% Uongo na kuhusi kuwajua Wayahudi ni kweli siwezi kufika hata 50% yakuwajua ,But atleast nimekaa nao and i was practising judaism atleast naweza nisiwajua wayahud nikajua Mila tamaduni na Misingi yao kwa 30%...

MWISHO MKUU hatushindani kwamba apatikane mshindj ila huwa nachukia kuona mtu anapindisha ukweli kwa manufaa yake binafsi i think unaweza kuwa umeniona hata sehemu nikisema au kuwatetea watu wa imani fulani ukahisi mimi ni mlengo wa sehemu ile..
kwa sasa mimi Sijafungamana na imani yoyote...Bali nipo katika matendo nayofahamu mwenyewe...
 
HUWEZI KUWASEMEA WAKRSTO NA TORATI YAO NA INJILI YAO NA KUWAPANGIA MAPOKEO KATI YAO WANATORATI WENZAO WAYAHUDI.
KWA CHUKI ZA KITOTO NA KIDINI NA KIKABILA..
Mzee mimi nimesoma comment yako nikauliza swali, we unaleta siasa kama nimashindano, umediscredit aljazeera nimetaka kujua source ambayo wewe unaweza ikubali nipime uwiano.

Unaweza taja hiyo source?
 
Mzee mimi nimesoma comment yako nikauliza swali, we unaleta siasa kama nimashindano, umediscredit aljazeera nimetaka kujua source ambayo wewe unaweza ikubali nipime uwiano.

Unaweza taja hiyo source?
Source katika lipi mkuu??
Maana mambo ni mengi???
 
Nimekaa pembeni nimejibanza huku nakunywa kahawa nawsoma wagalatia wanapambana kuna wengine ni Pro-Israel pamoja hawamtaki Yesu lakini wao wanakufa na Israel na wagalatia wengine hawataki Waisrael daaah mambo ni mengi😂
 
Kama Mkristo
Siungi mkono mauaji ya watu wasio na hatia bila kujali ni wa Kabila au Dini gani.
 
YUPO SAHII WAISLAMU WANATAFUTA SAPOTI YA WAKRISTO KATIKA CHUKI YAO DHIDI YA WAYAHUDI.
KWA KUWAAMBIA WAKRSTO OOOH MAYAHUDI HAWAWAPENDI.
WANASAHAU KINACHOWAUNGANISHA WAKRSTO NA WAYAHUDI NI MUNGU WAO WA KIYAHUDI YEHOVA NA TORATI.
NB: CHRISTIAN THEY CANT BELIEVE WORSHPER OF ARABIAN GOD

Historia iko tofauti na unachokisema. Kihistoria Wakiristo wameua na Kutesa Wayahudi zaidi kwa maelfu ya miaka eti kwa hoja kuwa Walimuua Yesu. Na kimsingi Sababu mojawapo ya Wayahudi kuwatemea makohozi Wakiristo sababu ya Historia hiyo.
 
MKUU HIYO HAITOBADILI MTAZAMO WA WA WAKRSTO KUHUSU KUWAPENDA WAYAHUDI NA IPO WAZI KUA WAISLAMU NA WAARABU WANAPOTEZA MDA WAO BURE KUWASHAWISHI WAKRSTO WAWAUNGE MKONO KATIKA CHUKI YAO DHIDI YA WAYAHUDI.
NB: NDUGU WA IMANI MOJA KUPISHANA KAULI NA KUGOMBANA NI KAWAIDA SABABU NI BINADAMU ILA IMANI YAO CHINI YA MUNGU WAO YEHOVA NA TORATI (BIBLIA) HAITENGANISHWI.
 
MKUU NDUGU WA IMANI MOJA KUGOMBANA NA KUPATANA NI KAWAIDA SABABU WANAUNGANISHWA NA YEHOVA MUNGU MKUU WA KIYAHUDI.
USITEGEMEE HATA SIKU MOJA WAKRSTO WAKAWAUNGA MKONO WAARABU NA WAISLAMU KATIKA CHUKI YAO DHIDI YA WAYAHUDI.
NB: WAISLAMU NA WAARABU WANAPOTEZA MDA WAO KUJARIBU KUWASHAWISHI WAKRSTO WAKUBALI PROPAGANDA YAO.
 
Sababu ni kuwa Zamani Warumi ndio.walikuwa wakitawala asilimia kubwa ya Dunia ikiwemo Ulaya ,Israel nk

Sasa serikali ya kaisari wa kirumi ilianza kuangushwa sehemu mbalimbali ikaanza kupoteza nguvu na umaarufu wake duniani wakati inaendelea kupoteza umaarufu na nguvu Ukiristo ulikuwa ukikua kwa spidi kubwa mno Kaisari wa Rumi akaamua kuwa Mkristo wakati huo warumi wengi walikuwa wapagani tu kaisari akaamua kuwa Mkristo na kujipa ukuu wa dini na ukuu wa dola pia huku kutumia dini kama chombo chake kipya cha kupata nguvu na ummarufu duniani wakaamua kuanzisha kanisa la Roman Catholic yaani kanisa la Kirumi.la dola ya kirumi chini ya kaisari wa kirumi

Dola ya kirumi pamoja na kufa lakini bado ipo kupitia kanisa la kirumi lenye makao mskuu.Roma kwa Warumi.Badala ya kuita dola ya kirumi dunia nzima wakabadili tu jina kijanja na kuita kanisa la kirumi Roman Catholic church yaani kanisa la kirumi.la dunia nzima

Alichofanya yule kaisari ni kukabidhi madaraka ya kutawala dunia kwa kanisa la Rumi ambalo makao makuu yako kule kwake Kaesari.Na kanisa la Kirumi.lina nguvu kubwa duniani tena kushinda hata kaisari mwenyewe aliyekuwepo sababu lenyewe lina nguvu kuanzia kitaifa , mijini na vijijini hata hapa Tanzania kitu ambacho hata mtawala wa Rumi Kaisari hakufikia huko.na ubabe wake wote

Dola ya kirumi ipo hai hadi Leo inawala kwa mgongo wa kanisa la Kirumi yaani Roman Catholic

Ndio maana nchi zote mrumi.aliwahi tawala zikiwemo.za kiislamu siasa kali wana balozi zao Vatican
teh teh teh

HUJAJIBU SWALI SASA,WHY MAKAO MAKUU YA UKRISTO DUNIANI YASIWE HUKO AMBAKO ALIZALIWA YESU KRISTO MWENYEWE NA BADALA YAKE YALE ULAYA ITALY??
 
Wanaukumbi.

Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku.

Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo

Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central Bureau Of Statistics (CBS) la Marekani, zaidi ya asilimia 73.8% ya raia wote wa Israeli ni Wayahudi, 18% ni Waislamu na 1.9% ni Wakristo.
Tangu lini unawahurumia wakristo au unataka kuchonganisha Ndugu
 
MKUU HIYO HAITOBADILI MTAZAMO WA WA WAKRSTO KUHUSU KUWAPENDA WAYAHUDI NA IPO WAZI KUA WAISLAMU NA WAARABU WANAPOTEZA MDA WAO BURE KUWASHAWISHI WAKRSTO WAWAUNGE MKONO KATIKA CHUKI YAO DHIDI YA WAYAHUDI.
NB: NDUGU WA IMANI MOJA KUPISHANA KAULI NA KUGOMBANA NI KAWAIDA SABABU NI BINADAMU ILA IMANI YAO CHINI YA MUNGU WAO YEHOVA NA TORATI (BIBLIA) HAITENGANISHWI.

UPEO WAKO NI MDOGO SANA,WAARABU SIYO WAISLAM,WAARABU NI ASILIMIA NDOGO SANA YA WAISLAM DUNIANI,HATA NDANI YA WAARABU WAPO WAKRISTO WENGI SANA TUH AMBAO PIA NI WAARABU,SASA UNAVYOZUNGUMZA HIVYO KWA WATU WENYE KUELEWA WANAOUONA UJINGA WAKO WAZI WAZI.

BESIDES HAKUNA WAISLAM WOWOTE AMBAO WANATAKA KUUNGWA MKONO NA WAKRISTO KATIKA JAMBO LOLOTE LILE,HATA HILO LA VITA INAYOENDELEA HIVI SASA,WAISLAM TUNA DINI YETU NA WAKRISTO MNA DINI YENU SASA TUOMBE MSAADA KWENU KWA LIPI??

JITAHIDI SANA USOME VITU NA UWE NA EXPOSURE YA MAMBO,AMA SIVYO UTAKUWA UNAAANIKA UJINGA WAKO WAZI WAZI KAMA HIVI
 
Back
Top Bottom