Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
MKUU ASHKUM SI MATUSIMkuu ukisema kuwa mimi sio mfuasi wa imani ya kiebrania unaijua imani yangu?
Huwezi ukasali kwenye synagogue na ukashika injili unless Unasema kanisa kwa lugha isiyosahihi..
Kwa sababu hata ibada inavyofanywa na Wayahudi ni tofauti na ibada ya wakristo..
Ngoja niandae uzi jinsi Ukristo ulivyodepart from judaism nitakutag mkuu kufikia saa sita au tano utakuwa tayari...
Niliwahi kuwa mkristo Mkuu nikasoma mpaka theology na pia nilifanikiaa kukaa huko (Kama nilivyoelezea awali nikasoma Halakha ,nikasoma Aggadah nikafundishwa Tanakh kwa mafundisho ya marabbi mbalimbali ,Nikasoma Rabbinic Narrative zote mfano mishnah na talmud...
Kwahyo ukiona nasema kitu kuhus wayahdi nawajua vizuri sana..
Na ndo maana nimekupa challenge kuwa ukinipa even a single rabbi kutoka Judaism ambaye anakubaliana na christian theology Niko radhi kuwaambia modss wanifute JF kabisa mazima (Zingatia Rabbi wa judaism)
""YAANI UNIPE CHALLENGE KWENYE IMANI YANGU YA KIYAHUDI NA MAPOKEO YA WAKRSTO""""""''BE SERIOUS
KASOME TORATI YA KIYAHUDI GOMBO LA NABII ISAYA NA NABII NEHEMIAH UJUE
KUHUSU EMANUELI YESU NA MAONO YAKE.
NB: WEWE HUJAKAA NA WAYAHUDI BALI UNAHISI UNAWAJUA WAYAHUDI.