Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go.

Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim unayemsoma kwenye Koran.

Ibrahim wa kwenye Biblia baba yake anaitwa Terah ila wa kwenye Koran anaitwa Azar. Kasome Quran 6:74.

Kwenye Biblia wana Yesu, kwenye Koran wana Issa. Huyu Issa hakusulubiwa msalabani, ila Yesu alisulubiwa. Ndugu zangu, hawa ni watu wawili tofauti.

Kuna MUNGU (Almighty GOD) kwenye Biblia na kuna Allah kwenye Koran

So watu wa huku ni tofauti na wa kule. Kwa Biblia, Ishmael anajulikana kama mtoto wa kijakazi, ila kwa Kuran ni tofauti.

So mkikaa na kuzungumza, cha kwanza jueni mnawazungumzia watu wa sehemu tofautitifauti.

Mfalme Suleiman wa Bible alikuwa holy na baadaye akaanguka dhambini ila wa kwenye Kuran alikuwa anaongea mpaka na majini. So mkiwa mnawasoma watu wa kwenye Bible, msije kufikiri ni watu walewale wa kwenye Kuran, sio hivyo.

Musa wa kwenye Biblia alipewa Amri 10 za MUNGU, Musa wa kwenye Koran hakupewa amri 10 zozote.

Biblia inamtambua Samson kama jamaa aliyebarikiwa nguvu na uwezo wa kupambana na udhaifu wake ni kukata nywele zake, ila hakuna kisa cha namna hiyo kwenye Quran.

Biblia imeorodhesha mitume na manabii wengi wakitoka katika chimbuko la wayahudi, wakati Quran haiwazungumzii wayahudi katika chimbuko la unabii.

Ndio maana ukimsoma mtu wa huku, unaona tofauti kubwa na mtu wa kule.

Kuran imemtambua Adam kama mtume, ila kwa Biblia imemtambua kama mtu wa kawaida tu, mtu aliyeumbwa mwanzoni kabisa.

So mlifahamu hilo, sio mnakaa kwenye vijiwe vya kahawa mnabishana weeee meaningwhile watu mnaowazungumzia ni tofauti.

Historia ya Matukio ikitofautiana basi jua kabisa hao ni watu tofauti kabisa.

Hivyo ni vyema kila mtu abaki na anachokiamini, muda au siku ya kiama ndio ukweli utadhihirika nani alikuwa sahihi na nani alikuwa muongo.
Uislamu ni mtoto, baba yake ni Ukristo mambo mengi yaliyopo kwenye Quran yamenakiliwa kutoka kwenye Biblia sema wamebadilisha kidogo.
 
Hapa sasa ndo inaleta ile tofauti ya hizi dini mbili,

Naomba niandike kwa herufi kubwa.
Makafiri mna hangaika sana ila wenye akili hadi hao waliyowadanganya sasa hivi wameanza kuijua haki na wanaingia kwenye dini ya mwenyezi mungu makundi kwa makundi, maji na mafuta siku zote hujitenga nyie makafir wa mbagala bakini huko huko kwenye kukanyaga mafuta
MOJA INAFUNDISHA KUMCHUKIA ASIYEAMINI DINI ANAYOIAMINI YEYE, NA NYINGINE INAFUNDISHA KUWAPENDA NA KUWAOMBEA BINADAM WOTE KWANI WAMEUMBWA NA MUNGU.

Kwani Mungu alikuwa hana uwezo wa kumuua Shetani?, Kwanini hakufanya hvo?

Kuna dini moja inabid ujitoe akili ndo uiamini
 
K

KWa kweli kama unawezq kuweka picha ya muitaliano kanisani au nyumbani na kuita mungu hapo lazima tuchunguze akili zako
 
Mtoa mada ungefananisha
Ukatoriki na Uislamu ndio dini zinazo fanana.

Ukatoriki - Uislamu
Rozali - Tasbihi
Roma - Maka
Jumapili - Ijumaa
Sanamu - Jiwe Jeusi la Maka(aswadi)
Maria - Uzza, Lutta na Manata
Kwaresma - Ramadhani
Papa - Hadija mke wa mtume
Katekisimu - Qurani, Al-Yassin
Malaika - Majini
Liturujia - Kumpiga mawe Shetani.
Tehorani - Ahera, Kuzimu.
Kubatiza vitoto - Kusilimu.
Papa - Waraqa bin Naufal
Kilatini - Kiarabu
Kanzu - Kanzu
Kanisa - Msikiti
Kengele - Azana
Sadaka - Sadaka
Zaka - Zaka
Msalaba - Mwezi na Nyota
Bikira Maria - Muhammadi
Kupiga magoti - kusujudu
Njia ya Msalaba- Kudhikiri

Nk. Nitavitaja vingi tu nikitulia.

Ukristo hauna hizo mambo.
Tayari huo ndio utofauti wa hizi dini mbili, hiyo orodha yako inaonesha dini hizi hazifanani kabisa....

Zingekuwa zinafanana... Basi waislamu nao wangetumia msalaba, wangebatiza, yani kwa ujumla wamgefanana kwenye nyanja nyingi...
 
SIo pataniumiza ni kwamba Huna uwezo wa kupazungumzia na Nahisi ndo kikomo.chako maana huwezi kueleza zaidi ya hapo maana unaogopa kudanganya na Unaogopa pia kumkosea Adabu Swahaba kwahyo uko Dilema...😅😅
Hili kwangu rahisi sana, nakupa muda wewe unae mzulia uongo swahaba, huku ukiwa huna elimu ya Hadithi.

Nimekupa muongozo wa kuangalia sanadi Kwanza, sanadi yenyewe hujaichambua Sasa unakosoaje hadithi bila kutumia misingi ya ukosoaji ?
 
Na nimelieleza Tukio kwa Mara Tatu sasa Na zote hizo Abu huraira hakuwa Amesilimu bado
Nilikuuliza swali Mtume aliswali swala ya Khofu mara ngapi ? Hujajibu swali hilo.

Sasa Abuu Huraira yeye ameongelea kipindi tayari amekuwa Muislamu na aliswali pamoja na Mtume. Sasa hoja yako iko wapi ?

Hivi unakielewa unachokiandika ?
 
Huyo sidhani kama ni mzima. Aliwahi kuandika hadith ambayo hata haipo. Kaitunga tu kichwani kwake halafu anasema ni hadith anakutajia na source ambayo hata kuiweka vizuri hakuweza. Anaandika maneno yake mwenyewe halafu anazihusisha na aya. Yaani anajiandikia maneno halafu source yake anaandika mathalan sura fulani aya fulani kama kwamba ameandika tarjama ya maana ya aya fulani. Ni mtu mrongo.

Baadae nikaja gundua ni kafiri. Na kwa maelezo yake mwenyewe aliwahi kuwa Muislam (japo simuamini).
 
Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go.

Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim unayemsoma kwenye Koran.

Ibrahim wa kwenye Biblia baba yake anaitwa Terah ila wa kwenye Koran anaitwa Azar. Kasome Quran 6:74.

Kwenye Biblia wana Yesu, kwenye Koran wana Issa. Huyu Issa hakusulubiwa msalabani, ila Yesu alisulubiwa. Ndugu zangu, hawa ni watu wawili tofauti.

Kuna MUNGU (Almighty GOD) kwenye Biblia na kuna Allah kwenye Koran

So watu wa huku ni tofauti na wa kule. Kwa Biblia, Ishmael anajulikana kama mtoto wa kijakazi, ila kwa Kuran ni tofauti.

So mkikaa na kuzungumza, cha kwanza jueni mnawazungumzia watu wa sehemu tofautitifauti.

Mfalme Suleiman wa Bible alikuwa holy na baadaye akaanguka dhambini ila wa kwenye Kuran alikuwa anaongea mpaka na majini. So mkiwa mnawasoma watu wa kwenye Bible, msije kufikiri ni watu walewale wa kwenye Kuran, sio hivyo.

Musa wa kwenye Biblia alipewa Amri 10 za MUNGU, Musa wa kwenye Koran hakupewa amri 10 zozote.

Biblia inamtambua Samson kama jamaa aliyebarikiwa nguvu na uwezo wa kupambana na udhaifu wake ni kukata nywele zake, ila hakuna kisa cha namna hiyo kwenye Quran.

Biblia imeorodhesha mitume na manabii wengi wakitoka katika chimbuko la wayahudi, wakati Quran haiwazungumzii wayahudi katika chimbuko la unabii.

Ndio maana ukimsoma mtu wa huku, unaona tofauti kubwa na mtu wa kule.

Kuran imemtambua Adam kama mtume, ila kwa Biblia imemtambua kama mtu wa kawaida tu, mtu aliyeumbwa mwanzoni kabisa.

So mlifahamu hilo, sio mnakaa kwenye vijiwe vya kahawa mnabishana weeee meaningwhile watu mnaowazungumzia ni tofauti.

Historia ya Matukio ikitofautiana basi jua kabisa hao ni watu tofauti kabisa.

Hivyo ni vyema kila mtu abaki na anachokiamini, muda au siku ya kiama ndio ukweli utadhihirika nani alikuwa sahihi na nani alikuwa muongo.
Kuna Moja umelisahau

Wakristo wanasoma vitabu vilivyochakachuliwa na watu 8:8 Yeremia na Luka 1:1

Waislam wanasoma kitabu ambacho hakijachakachuliwa na watu Quran 2:1
 
NAKUBALIANA NAWE KWA ASILIMIA 100 HATA MUNGU WA HIZO DINI HAFANANI KABISA.
 
Kutoka 3:4
BWANA alipoona ya kuwa amegeuka ili atazame, Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti, akasema, Musa! Musa! Akasema, Mimi hapa.

Kutoka 3:5
Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni nchi takatifu.

Kutoka 3:6
Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu.

Quran 20:9 -
Na je! Imekufikia hadithi ya Musa?

Quran 20:10 -
Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye moto.

Quran 20:11 -
Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!

Quran 20:12 -
Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.

Quran 20:13 -
Nami nimekuteua wewe; basi sikiliza unayo funuliwa.

Quran 20:14 -
Hakika Mimi ndiye Mwenyezi Mungu. Hapana mungu ila Mimi tu. Basi niabudu Mimi, na ushike Sala kwa ajili ya kunikumbuka Mimi.

Sasa nyinyi endeleeni kujifariji tu wakati mnasubiri Allah akuingizeni katika moto wa jahannam
 
Inaonekana Quran ilikopi Biblia
 
Hizo ni dini mbili tofauti kabisa wala hazina haja ya kubishania
 
Makafiri mna hangaika sana ila wenye akili hadi hao waliyowadanganya sasa hivi wameanza kuijua haki na wanaingia kwenye dini ya mwenyezi mungu makundi kwa makundi, maji na mafuta siku zote hujitenga nyie makafir wa mbagala bakini huko huko kwenye kukanyaga mafuta
Ni nwenyezi Mungu au mnyaazi Mungu?! Usichanganye madesa. Hakuna popote Dini ya mwamedi inataja neno 'mwenyezi/mwenyeenzi'' isipokuwa ''mnyaazi'
 
Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go.

Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim unayemsoma kwenye Koran.

Ibrahim wa kwenye Biblia baba yake anaitwa Terah ila wa kwenye Koran anaitwa Azar. Kasome Quran 6:74.

Kwenye Biblia wana Yesu, kwenye Koran wana Issa. Huyu Issa hakusulubiwa msalabani, ila Yesu alisulubiwa. Ndugu zangu, hawa ni watu wawili tofauti.

Kuna MUNGU (Almighty GOD) kwenye Biblia na kuna Allah kwenye Koran

So watu wa huku ni tofauti na wa kule. Kwa Biblia, Ishmael anajulikana kama mtoto wa kijakazi, ila kwa Kuran ni tofauti.

So mkikaa na kuzungumza, cha kwanza jueni mnawazungumzia watu wa sehemu tofautitifauti.

Mfalme Suleiman wa Bible alikuwa holy na baadaye akaanguka dhambini ila wa kwenye Kuran alikuwa anaongea mpaka na majini. So mkiwa mnawasoma watu wa kwenye Bible, msije kufikiri ni watu walewale wa kwenye Kuran, sio hivyo.

Musa wa kwenye Biblia alipewa Amri 10 za MUNGU, Musa wa kwenye Koran hakupewa amri 10 zozote.

Biblia inamtambua Samson kama jamaa aliyebarikiwa nguvu na uwezo wa kupambana na udhaifu wake ni kukata nywele zake, ila hakuna kisa cha namna hiyo kwenye Quran.

Biblia imeorodhesha mitume na manabii wengi wakitoka katika chimbuko la wayahudi, wakati Quran haiwazungumzii wayahudi katika chimbuko la unabii.

Ndio maana ukimsoma mtu wa huku, unaona tofauti kubwa na mtu wa kule.

Kuran imemtambua Adam kama mtume, ila kwa Biblia imemtambua kama mtu wa kawaida tu, mtu aliyeumbwa mwanzoni kabisa.

So mlifahamu hilo, sio mnakaa kwenye vijiwe vya kahawa mnabishana weeee meaningwhile watu mnaowazungumzia ni tofauti.

Historia ya Matukio ikitofautiana basi jua kabisa hao ni watu tofauti kabisa.

Hivyo ni vyema kila mtu abaki na anachokiamini, muda au siku ya kiama ndio ukweli utadhihirika nani alikuwa sahihi na nani alikuwa muongo.
Kinachoshangaza Qur'an imeandikwa miaka 600 zaidi baada ya Yesu Kristo. Halafu Mungu wake na wa Yesu ni tofautti kabisa. Hivi Mungu aweje kigeugeu apende kusamehe halafu apende kuua. Kwa Yesu alisema mpende jirani yako, au adui yako. Kwenye Qur'an ni kisasi kwa kisasi, haiwezekani kabisa Mungu wa Waisalmu auwe sawa na Mungu wa Wayahudi, naona mmoja ni sahihi na mwingine ametungwa ni wa uongo.
Ukitaka kuelewa tazama ahadi za Mungu wao; mmoja anasema ukifia dini utastarehe na bikiri utapewa uwezo wa kulala na wanawake 70 bila kupumzika huu unaufuska. Mungu akataze ngono ya hovyo duniani bali kule kwake aruusu ngono zembe. Ukiwaza vizuri unaona hapa kuna maswali ya kujiuliza. Ni vizuri kutafakari nini unachoamini sio kufuata mkumbi tu
Kwingine wanasema kule hakuna kuoa wa kuolewa, ni kuishi maisha matakatifu kwa Mungu ni mtakatifu. Kama wewe unachagua lipi kati ya h bila kufuata ushabiki
 
Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go.

Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim unayemsoma kwenye Koran.

Ibrahim wa kwenye Biblia baba yake anaitwa Terah ila wa kwenye Koran anaitwa Azar. Kasome Quran 6:74.

Kwenye Biblia wana Yesu, kwenye Koran wana Issa. Huyu Issa hakusulubiwa msalabani, ila Yesu alisulubiwa. Ndugu zangu, hawa ni watu wawili tofauti.

Kuna MUNGU (Almighty GOD) kwenye Biblia na kuna Allah kwenye Koran

So watu wa huku ni tofauti na wa kule. Kwa Biblia, Ishmael anajulikana kama mtoto wa kijakazi, ila kwa Kuran ni tofauti.

So mkikaa na kuzungumza, cha kwanza jueni mnawazungumzia watu wa sehemu tofautitifauti.

Mfalme Suleiman wa Bible alikuwa holy na baadaye akaanguka dhambini ila wa kwenye Kuran alikuwa anaongea mpaka na majini. So mkiwa mnawasoma watu wa kwenye Bible, msije kufikiri ni watu walewale wa kwenye Kuran, sio hivyo.

Musa wa kwenye Biblia alipewa Amri 10 za MUNGU, Musa wa kwenye Koran hakupewa amri 10 zozote.

Biblia inamtambua Samson kama jamaa aliyebarikiwa nguvu na uwezo wa kupambana na udhaifu wake ni kukata nywele zake, ila hakuna kisa cha namna hiyo kwenye Quran.

Biblia imeorodhesha mitume na manabii wengi wakitoka katika chimbuko la wayahudi, wakati Quran haiwazungumzii wayahudi katika chimbuko la unabii.

Ndio maana ukimsoma mtu wa huku, unaona tofauti kubwa na mtu wa kule.

Kuran imemtambua Adam kama mtume, ila kwa Biblia imemtambua kama mtu wa kawaida tu, mtu aliyeumbwa mwanzoni kabisa.

So mlifahamu hilo, sio mnakaa kwenye vijiwe vya kahawa mnabishana weeee meaningwhile watu mnaowazungumzia ni tofauti.

Historia ya Matukio ikitofautiana basi jua kabisa hao ni watu tofauti kabisa.

Hivyo ni vyema kila mtu abaki na anachokiamini, muda au siku ya kiama ndio ukweli utadhihirika nani alikuwa sahihi na nani alikuwa muongo.
Kwani kati ya hivyo viwili kipi cha kwanza? Ukipata jibu utajua nani anamuiga nani.
 
Back
Top Bottom