Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

Sio lazima kuwe na dini ya kweli. Ishi vizuri na watu, saidia wenye uhitaji utakapoweza, lipa madeni yako. Hiyo ni dini tosha
Na mbingu nani ataiona bila dini ya kweli?
 
Na ile dini ya kumuabudu Magufuli imeishia wapi?
 
Ila ukristo raha saha sana,huku hatufugi majini ,tukiibiwa tunasamehe na hakuna mambo sijui ya albadiri wala nini,maana tunajua vitu vyote hivi ni matakataka ya dunia,kanisani ukitaka ingia hata ka unadini ingine,hatulimbikizi wanawake,we wanawake wanne wote wa nini,ni ujinga tu
 
Umesahau hii
 

Attachments

  • Screenshot_20230422-114209.png
    56.7 KB · Views: 5
Umepotoka. Constantine hakuwa ata participant kwenye council ya nicaea. The only thing alifanya ni kuruhusu wakristo waabudu freely maana walikuwa wanauwawa. Binafsi nilishachoka sana kuexplain kuhusu sabato ya wayahudi na sabato ambayo Yesu aliweka. Ila ukisoma matendo ya mitume vizuri utaona. Pia vitabu vya mababu wa kwanza wote waliabudu siku hiyo, ambayo Yesu alifufuka na alikuwa akiwatokea wanafunzi wake. I am sick and tired of conspiracists. Research.
 
Acha kudanganya watu, nikuulize swali Je wahudi ni waislam?
Swali lako ni sawa na kuuliza je Wasukuma ni wasabato??

Jibu ni baadhi yao sio wote.
 
Umepotoka. Constantine hakuwa ata participant kwenye council ya nicaea. The only thing alifanya ni kuruhusu wakristo waabudu freely maana walikuwa wanauwawa.
hivi we baba mbona ni muongo hivi kwa makusudi kabisa?? Unalipwa na kanisa??
Weka ushahidi kuwa mababu wa kwanza walisali jumapili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…