Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika gani hiyo mbingu ipo kaka. Watu walioishi kabla ya hizi 'dini za kweli' kuja walienda wapi baada ya kufa?Na mbingu nani ataiona bila dini ya kweli?
Kwani hyo alama hujawahi kuiona juu ya Kila msikiti?Huyo ndiye Mungu wenuUmesahau hii
Umepotoka. Constantine hakuwa ata participant kwenye council ya nicaea. The only thing alifanya ni kuruhusu wakristo waabudu freely maana walikuwa wanauwawa. Binafsi nilishachoka sana kuexplain kuhusu sabato ya wayahudi na sabato ambayo Yesu aliweka. Ila ukisoma matendo ya mitume vizuri utaona. Pia vitabu vya mababu wa kwanza wote waliabudu siku hiyo, ambayo Yesu alifufuka na alikuwa akiwatokea wanafunzi wake. I am sick and tired of conspiracists. Research.Wakristo hawajawahi kuabudu Jumapili kabla ya constantine mwaka 325BK...weka ushahidi
Aliyeitisha kikao kikuu cha wakuu wa makanisa yote duniani kwa kipindi hiko alikuwa nani kama sio Constantine?
Kupitia hicho kikao ni mambo mengi yaliingizwa kwenye ukristo ikiwemo siku ya kusali, Utatu mtakatifu, vitabu vya kwenye biblia nk. Nk.
Google tu hata neno council of naicea uone nani aliitisha hicho kikao na nani alikuwa mwenyekiti kwenye hicho kikao kama sio huyo constantine
Uzuri hizi amri kumi ziko agano la kale kwahyo wakatoliki pamoja na kuifuta hii amri bado tunaweza kuangalia biblia ya kiyahudi na kuujua ukweli uko wapi.
Biblia ambayo haijachakachuliwa inasema:
Kutoka 20:4
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia
Sasa hiyo mifano ya Musa na nyoka, ile hakujifanyia bali aliamrishwa na mungu kutengeneza, kwahyo yeyote aliyeangalia yule nyoka aliamini kuwa ametengenezwa kwa maagizo ya mungu na akimuangalia basi anamtii mungu.
ila wakatoliki kila kanisa lina masanamu kibao, watu wanaenda kuyaabudu... rozali yenyewe ni sanamu na mbaya zaidi ni sanamu ya uongo maana Yehoshuwa hakusulubiwa msalabani kama rozali zilivyomchora.
Amri ya pili kwenye biblia yenu ya kikatoliki inasemaje?? Je ni sawa na biblia zingine ikiwemo ya kiyahudi??
Acha kudanganya watu, nikuulize swali Je wayahudi ni waislam?Ndio ukweli.
Uislam ulianza na nabii Adam
Ukristo ulianzishwa na Paulo
Hizi hoja au vioja umeokota tu kutoka mitandaoni, kwani kuna thesis yoyote umefanya wewe kama wewe kuhusu ukristo!?ipi ya kusadikika? Hujaona hoja hapo na tarehe zimewekwa
Haya sawa endelea kuita dini za wenzio wapagani utapata thawabu kwa MunguThesis yenyewe Ndio hii sasa
hivi we baba mbona ni muongo hivi kwa makusudi kabisa?? Unalipwa na kanisa??Umepotoka. Constantine hakuwa ata participant kwenye council ya nicaea. The only thing alifanya ni kuruhusu wakristo waabudu freely maana walikuwa wanauwawa.
Weka ushahidi kuwa mababu wa kwanza walisali jumapiliBinafsi nilishachoka sana kuexplain kuhusu sabato ya wayahudi na sabato ambayo Yesu aliweka. Ila ukisoma matendo ya mitume vizuri utaona. Pia vitabu vya mababu wa kwanza wote waliabudu siku hiyo, ambayo Yesu alifufuka na alikuwa akiwatokea wanafunzi wake. I am sick and tired of conspiracists. Research.