Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

Nimeishia kusoma hapo uliposema Amri ya 4 ina agiza Kuabudu siku ya Saba.

Hiyo amri inapatikana kwenye Biblia gani?

Unaweza kuweka hapa hiyo amri ya 4 inayoagiza Kuabudu siku ya 7?
 
Nimeishia kusoma hapo uliposema Amri ya 4 ina agiza Kuabudu siku ya Saba.

Hiyo amri inapatikana kwenye Biblia gani?

Unaweza kuweka hapa hiyo amri ya 4 inayoagiza Kuabudu siku ya 7?
Kutoka 20:10
lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa
 
Kwenye hiyo Kutoka 20:10 uliyonukuu, Kuna agizo la KUABUDU hapo?

Mimi hapo naona agizo la KUPUMZIKA/KUTOKUFANYA KAZI.

Nionyeshe agizo la kuabudu kwenye hiyo amri ya 4.
 
Hata waislamu wanaabudu jua na mwezi ndiyo maana alama yao ni nyota na mwezi. Ushahidi kuwa waislamu wanaamini mwezi ni wale mabinti za Allah ambao ni Al-lat, manat na Al- uza. Hiyo ni miungu mwezi. Dini za kweli ni za Afrika tuu na zenyewe historia zake zimepotezwa kwa makusudi. Usimcheke mkristo wakati mpo sawa
 
Kwenye hiyo Kutoka 20:10 uliyonukuu, Kuna agizo la KUABUDU hapo?

Mimi hapo naona agizo la KUPUMZIKA/KUTOKUFANYA KAZI.

Nionyeshe agizo la kuabudu kwenye hiyo amri ya 4.
Tuanze na hiyo kupumzika...wewe huwa unapumzika hiyo siku ya saba?
 
Ibada ya kweli ni ipi!
Ibada ya kweli ni kuwaona wajane
Kuwasaidia masikini
Kuwafariji wagonjwa
Kuwatembelea wafungwa
Kuwajali yatima


Na Mwisho kumuamini Mungu wa Mbinguni,
Mwamedi alianzisha uislamu na akaswali humo,
Je Yesu alianzisha dini ipi!? Ila Kuna watu walifuata mafundisho yake , hao ndio wafuasi wa ukristo ,

Mnatafuta uhalali wa dini kwa kuangalia maneno katika lugha!!!?

Mungu wako anawezaje kukuhukumu kwa kumwabudu Mungu ambaye hajawekwa wazi!? jumapili, jumamosi na ijumaa, tofauti wa hizi siku ni Nini,?fikilia kama ungezaliwa jangwani alafu wazaz wako wakafa na kukuachia biblia, siku Yako ya Saba baada ya kusoma biblia au Quran ingekuwa lini?!kama jumapili juwa lingekuwa la kijan, af jumamosi njano hapo sawa, mnaamini matakwa na utashi wa kibinadamu kuliko mapenzi ya Mungu,


Dini Yako inapambana vipi na uzinzi, ufisadi, rushwa, tamaa, uchawi na ubinfsi, auu dini Yako inapambana na wanaosali jumamosi , ijumaa au jumapili tu unakuwa umejihakikishia Pepo,huku uchawi, ubinfsi,rushwa na unafiki yakiwa ni mambo ya kawaida kwako

Bado unafikili dini Yako ni Bora kuliko za wengine,!?umesoma mapito ya mwanadamu kiiimani !?je yaliwahi kuwa sahihi wakati wote!?humo msikitin au kanisani kwenu unaona ukamilifu ambao tumeagizwa kuufuata mara zote!?auu wewe ni wale wanaotetea hoja kwa kigezo Cha "ubinaadamu"

Tafakari utagundua jambo ,hutokaa uchunguze ya jilani maana hata wewe Bado una mengi hujayatekeleza,, mzigo wa kwanza unaoharibu ibada ya kweli ni mwili wako, mwili unataka gari kalii(utaomba rushwa, )mwili unataka demu mkaali, huko nyie wenye wake wanne ,je mlishaacha kutamani(tamaa)?, Mwili unataka ulale pazuri,ule pazuri(haya yote yanaleta ubinafsi, ulafi na dharau ),,,


hayo ya jua, siku na alama maadamu hayapo katika dhamira za wahusika wanaposali jua hawatendi dhambi,Mungu halisi anaangalia dhamira siyo hayo yakwenu, mnapotezwa na dini zinazosimamiwa na wanadamu mnaacha kusikiliza sauti ya Mungu ndani mwenu

Kuna watu wanatekeleza mapenzi ya Mungu na Wala hawajui msikiti Wala kanisa, nyie Sasa,kutwa mnapambania dini zetu na Wala hamumpambanii Mungu(Kuna mtu atasema kwa kuandika au kusema hapo ndio anampambania Mungu,Bado sana)
 
Pumbavu wewe, mweusi unajifanya mwarabu. Hizo zote dini ni batili. Pendeni asili yenu, achana na tamaduni zao za kishenzi.
 
Pumbavu wewe, mweusi unajifanya mwarabu. Hizo zote dini ni batili. Pendeni asili yenu, achana na tamaduni zao za kishenzi.
Matusi ya nini ndugu yangu??
Utanishawishije niipende dini yako ya asili ikiwa unaanza na matusi?
 
Umeedit hiyo picha...sijawahi kupost thread ya hivyo humu jamvini.
Ewe mwanaJF usidanganyike kirahisi, search title ya huo uzi kama upo.
Kuwa na kumbukumbu naona umeanza kurukwa na akili ,nikikuwekea link ikiwa ni wewe unatoa ahadi gani ?
 
Pumbavu wewe, mweusi unajifanya mwarabu. Hizo zote dini ni batili. Pendeni asili yenu, achana na tamaduni zao za kishenzi.
Matusi ya nini ndugu yangu??
Utanishawishije niipende dini yako ya asili ikiwa unaanza na matusi?
 
na wewe unayeabudu mwezi nani bora? mnamwabudu Mungu asiyefanya kazi, asiye na nguvu, anayetetewa na wanadamu. a hopeess god.

Pole sana, Kamsaidie mungu wako vijana wamemfanyia kitu mbaya na kumvalisha sketi

 

Mbona hujatuonyesha hicho kilicho fake ?
 
Constantine sio mwanzilishi wa siku hiyo acha kudanganywa na stori za mitaani. Kanisa la Mitume yaani wanafunzi wa Yesu ndio walianza kukutana siku hiyo ili kuadhimisha siku aliyofufuka Yesu. Soma Matendo 20:7 kwa ushahidi. Ukitaka kujua Yesu alifufuka siku gani soma Mathayo 28:1
 
Mkristo gani anaabudu jua kama Mungu wake.
Msalaba wa Kikristo ni tofauti na msalaba wa freemason. Pia romani katoliki ni sehemu tu ya Ukristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…