Umeisoma hadith yangu mpaka mwisho kweli??Hiyo hadithi uliyoileta ni kutoka kwa wasabato ambao hao hao wanatumia biblia ambayo wanasema imechakachuliwa na wanatumia calender ya warumi ambayo nawewe unaifuata
Biblia ya wakristo na wayahudi zipo sawa nani aliyekudanya zinatofautiana una uhakika huo mstari wa daniel ulio-uquote kwenye biblia ya wakristo hausomeki hivyoFatilia naquote nini...biblia ya wakristo ndiyo ilibadilishwa.
Mi ninaquote biblia ya kiyahudi kupitia agano la kale.
Basi utulie hivyohivyo.Shida yangu ni ukweli ujulikane. Na namshukuru Mungu umeanza kujulikana
Kwani wanabadilisha mistari yote biblia nzima??Biblia ya wakristo na wayahudi zipo sawa nani aliyekudanya zinatofautiana una uhakika huo mstari wa daniel ulio-uquote kwenye biblia ya wakristo hausomeki hivyo
Na waislamu wanaabadu mwezi nikufundishe jambo ambalo ni wazi hulijui calender hii ya saa hivi inafuata jua ndo maana walisema wakristo wanaabudu jua same kwa waislamu kalender yao inafuata mwezi kwa hiyo tuseme na wao wanabudu mweziUmeisoma hadith yangu mpaka mwisho kweli??
Nimeainisha Wasabato wenyewe wanaabudu jua.
Kwasababu bado wanafata mafundisho ya kikatoliki ikiwemo
Utatu mtakatifu na msalaba
Kwa hiyo mnaweka alama ya mwezi na nyota bila sababu za msingi? Wakristo wanaweka coz wanaamini katika msalaba, je waislam wanaweka mwezi kama ishara ya nini?Comment namba #63 nimejibu kama una swali lolote uliza , kwa kuongezea alama ya nyota na mwezi imeanza kutumika kama nembo ya uislamu katika zama hizi hakuna Maelezo yeyeto katika Qur'an ,Sunna wala wanazuoni waliopitisha.
Hata enzi ya Mtume Muhammad (upon him be peace and blessings of Allah) bendera za vita zilikuwepo lakini hakuwahi kuchora mwezi na nyota wala swahaba hata mmoja kufanya hivyo hili ni jambo lililojitokeza hivi karibuni na Muongozo wa Uislamu ni Qu'ran na Sunnah kama chochote hakijathibiti katika hivyo haitochukuliwa kama jambo la Uislamu moja kwa moja.
Na kuabudu maana yake kama kutumikia kwa kuomba shida zako ni kutegemea, sasa ni Muislamu yupi anaomba mwezi au nyota ? maombi yote ya Waislamu ni Ewe Allah (Mwenyezi Mungu) nijaalie kitu fulani na sio kinyume na hivyo.
Nimekuuliza swali una uhakika huo mstari kwenye biblia ya wakristo hausomeki hivyoKwani wanabadilisha mistari yote biblia nzima??
Wanachukua michache wanaichakachua kwaajili ya maana zao.
So kuepukana na hiyo mi siisomi kabisa biblia yao nasoma ya kiyahudi
Tuachane na waislam kwanza..hii mada inahusu wakristo, kwanini.hujaongelea wahindu au wabudha??Na waislamu wanaabadu mwezi nikufundishe jambo ambalo ni wazi hulijui calender hii ya saa hivi inafuata jua ndo maana walisema wakristo wanaabudu jua same kwa waislamu kalender yao inafuata mwezi kwa hiyo tuseme na wao wanabudu mwezi
Baba yake muhammad alikua mpagani na anaabudu mwezi ndo maana allah ni Mungu mweziKwa hiyo mnaweka alama ya mwezi na nyota bila sababu za msingi? Wakristo wanaweka coz wanaamini katika msalaba, je waislam wanaweka mwezi kama ishara ya nini?
Ninachoona, uislam unaabudu mwezi either kwa kujua au kutokujua. Ikifika 30days za mfungo kila mtu anaongelea kuandama kwa mwezi, meaning mna namna mnautegemea katika imani yenu.
Sitaki kujua hilo. Samaki mmoja akioza wote wameoza. Nilishaona mistari mingi iliyochakachuliwa kwahyo sitaki kuisoma tena biblia ya wakristo.Nimekuuliza swali una uhakika huo mstari kwenye biblia ya wakristo hausomeki hivyo
🙏Zaburi 29:1-2
Mpeni Bwana, enyi wana wa Mungu, Mpeni Bwana utukufu na nguvu; Mpeni Bwana utukufu wa jina lake; Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu.
Ongezea nyama hapa, maana wemgi hawajaelewa.......na kilele cha sherehe za ibada za jua ni Desember 25
Sasa unabakije kuwa dini ya kweli kama wanaabudu jua?Madhehebu yanayoabudu jumapili ndo yamejaa kero na vurugu tupu , humo ndo kuna mitume , manabii , wanenaji wa Lugha , mara sadaka ya kujimaliza yaani ni vurugu
Hata hvyo bado ukristo ni dini ya kweli
Kwa hiyo una-quote kitu usichokijua sikujua ni mjingaSitaki kujua hilo. Samaki mmoja akioza wote wameoza. Nilishaona mistari mingi iliyochakachuliwa kwahyo sitaki kuisoma tena biblia ya wakristo.
Sasa kama huo mstari haujachakachuliwa bado haitanifanya niwe naisoma biblia ya kikristo kwa kupembua kama mchele.
Waislamu wanaabudu mweziOngezea nyama hapa, maana wemgi hawajaelewa
Sasa unabakije kuwa dini ya kweli kama wanaabudu jua?
Huo mstari wa daniel uliouquote unauhakika kwenye biblia ya kikristo unayoituhumu imechakachuliwa hausomeki hivyo hilo tu ndo swali langu lakin hutaki kulijibuKitu gani nimequote sikijui??
Baayake muhammad ambaye alikua mpagani alikua anaabudu mwezi na mungu wao alikua anaitwa allahWaislam wanahusikaje na hii mada?
Kwanini umewataja wao tu kati ya dini nyingi duniani??