Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

Hiyo hadithi uliyoileta ni kutoka kwa wasabato ambao hao hao wanatumia biblia ambayo wanasema imechakachuliwa na wanatumia calender ya warumi ambayo nawewe unaifuata
Umeisoma hadith yangu mpaka mwisho kweli??
Nimeainisha Wasabato wenyewe wanaabudu jua.
Kwasababu bado wanafata mafundisho ya kikatoliki ikiwemo
Utatu mtakatifu na msalaba
 
Biblia ya wakristo na wayahudi zipo sawa nani aliyekudanya zinatofautiana una uhakika huo mstari wa daniel ulio-uquote kwenye biblia ya wakristo hausomeki hivyo
Kwani wanabadilisha mistari yote biblia nzima??
Wanachukua michache wanaichakachua kwaajili ya maana zao.
So kuepukana na hiyo mi siisomi kabisa biblia yao nasoma ya kiyahudi
 
Umeisoma hadith yangu mpaka mwisho kweli??
Nimeainisha Wasabato wenyewe wanaabudu jua.
Kwasababu bado wanafata mafundisho ya kikatoliki ikiwemo
Utatu mtakatifu na msalaba
Na waislamu wanaabadu mwezi nikufundishe jambo ambalo ni wazi hulijui calender hii ya saa hivi inafuata jua ndo maana walisema wakristo wanaabudu jua same kwa waislamu kalender yao inafuata mwezi kwa hiyo tuseme na wao wanabudu mwezi
 
CHAI

Ila bora uislam ambao inasemekana mwisho wa yote kuna mabikra 72, ni mwendo wa kuzipasua tu. Ila hizi dini za watu raha jamani
 
Comment namba #63 nimejibu kama una swali lolote uliza , kwa kuongezea alama ya nyota na mwezi imeanza kutumika kama nembo ya uislamu katika zama hizi hakuna Maelezo yeyeto katika Qur'an ,Sunna wala wanazuoni waliopitisha.

Hata enzi ya Mtume Muhammad (upon him be peace and blessings of Allah) bendera za vita zilikuwepo lakini hakuwahi kuchora mwezi na nyota wala swahaba hata mmoja kufanya hivyo hili ni jambo lililojitokeza hivi karibuni na Muongozo wa Uislamu ni Qu'ran na Sunnah kama chochote hakijathibiti katika hivyo haitochukuliwa kama jambo la Uislamu moja kwa moja.

Na kuabudu maana yake kama kutumikia kwa kuomba shida zako ni kutegemea, sasa ni Muislamu yupi anaomba mwezi au nyota ? maombi yote ya Waislamu ni Ewe Allah (Mwenyezi Mungu) nijaalie kitu fulani na sio kinyume na hivyo.
Kwa hiyo mnaweka alama ya mwezi na nyota bila sababu za msingi? Wakristo wanaweka coz wanaamini katika msalaba, je waislam wanaweka mwezi kama ishara ya nini?

Ninachoona, uislam unaabudu mwezi either kwa kujua au kutokujua. Ikifika 30days za mfungo kila mtu anaongelea kuandama kwa mwezi, meaning mna namna mnautegemea katika imani yenu.
 
Kwani wanabadilisha mistari yote biblia nzima??
Wanachukua michache wanaichakachua kwaajili ya maana zao.
So kuepukana na hiyo mi siisomi kabisa biblia yao nasoma ya kiyahudi
Nimekuuliza swali una uhakika huo mstari kwenye biblia ya wakristo hausomeki hivyo
 
Na waislamu wanaabadu mwezi nikufundishe jambo ambalo ni wazi hulijui calender hii ya saa hivi inafuata jua ndo maana walisema wakristo wanaabudu jua same kwa waislamu kalender yao inafuata mwezi kwa hiyo tuseme na wao wanabudu mwezi
Tuachane na waislam kwanza..hii mada inahusu wakristo, kwanini.hujaongelea wahindu au wabudha??

Hii calendar ya wakristo kufuata jua ni point nyingine umeniongezea kwenye mada yangu
 
Kwa hiyo mnaweka alama ya mwezi na nyota bila sababu za msingi? Wakristo wanaweka coz wanaamini katika msalaba, je waislam wanaweka mwezi kama ishara ya nini?

Ninachoona, uislam unaabudu mwezi either kwa kujua au kutokujua. Ikifika 30days za mfungo kila mtu anaongelea kuandama kwa mwezi, meaning mna namna mnautegemea katika imani yenu.
Baba yake muhammad alikua mpagani na anaabudu mwezi ndo maana allah ni Mungu mwezi
 
Nimekuuliza swali una uhakika huo mstari kwenye biblia ya wakristo hausomeki hivyo
Sitaki kujua hilo. Samaki mmoja akioza wote wameoza. Nilishaona mistari mingi iliyochakachuliwa kwahyo sitaki kuisoma tena biblia ya wakristo.
Sasa kama huo mstari haujachakachuliwa bado haitanifanya niwe naisoma biblia ya kikristo kwa kupembua kama mchele.
 
.......na kilele cha sherehe za ibada za jua ni Desember 25
Ongezea nyama hapa, maana wemgi hawajaelewa
Madhehebu yanayoabudu jumapili ndo yamejaa kero na vurugu tupu , humo ndo kuna mitume , manabii , wanenaji wa Lugha , mara sadaka ya kujimaliza yaani ni vurugu

Hata hvyo bado ukristo ni dini ya kweli
Sasa unabakije kuwa dini ya kweli kama wanaabudu jua?
 
Sitaki kujua hilo. Samaki mmoja akioza wote wameoza. Nilishaona mistari mingi iliyochakachuliwa kwahyo sitaki kuisoma tena biblia ya wakristo.
Sasa kama huo mstari haujachakachuliwa bado haitanifanya niwe naisoma biblia ya kikristo kwa kupembua kama mchele.
Kwa hiyo una-quote kitu usichokijua sikujua ni mjinga

Na nimekuuliza hilo swali nikua nauhakika huwez lijibu
 
Back
Top Bottom