Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
- Thread starter
- #141
Umeisoma hadith yangu mpaka mwisho kweli??Hiyo hadithi uliyoileta ni kutoka kwa wasabato ambao hao hao wanatumia biblia ambayo wanasema imechakachuliwa na wanatumia calender ya warumi ambayo nawewe unaifuata
Nimeainisha Wasabato wenyewe wanaabudu jua.
Kwasababu bado wanafata mafundisho ya kikatoliki ikiwemo
Utatu mtakatifu na msalaba