Sammy Aron
Member
- Aug 13, 2016
- 15
- 4
Kwanza baada ya kusoma nimegundua wew si mkristo na ulivyo Anza na io salamu bilashaka wew utakuwa muislamu na umeandika hii kwalengo la kukosoa na Wala sio kutoa elimu kwasababu Kuna elimu kubwa zaidi ya io ulio itoa
Nivizuri kutoa taarifa ilio kamili na sio kutoa taarifa inayo support kile unacho kiamini
Kuna vitu umeandika Kwa usahihi na siwezi kukupingan ila nataka nikuongezee taaarifa za ziada
1. Neno Christians ( ukristo ) ni neno walilo pewa wayahudi walio kuwa wakimuabudu Mungu wa Israel na kufuata mafundisho ya Yesu baada ya Yesu kuondoka kurudi mbinguni na neno Christians lilikuwa na maana ya THE WAY na hii ilikuwa ni kabla ya dini ya kikristo na kabla ya kanisa la Roma
Hili jina la Christians warumi walikuwa wakiwaita wayahudi lakini wayahudi wenyewe walikuwa wakijiita QUODESHIM ikiwa na maana ya SET APART ONES
2.Kipindi Cha utawala wa Roma kabla ya mfalme NERO (alitawala kabla ya Constantine ) wayahudi walikuwa wakisali kama kawaida na waliendesha ibada zao bila bugudha lakini Roma ilikuwa ni taifa la kipagani walikuwa wakiabudu miungu mingi kama Apollo na majina ya sayari zingine tunazo zifahamu hivyo kukaanza kutokea kwa vita kati ya wayahudi na warumi
Warumi walikuwa wakitaka wayahudi waachane na Imani zao ili waabudu miungu ya kirumi
3. Kwakuwa warumi ndio walikuwa wakitawala wakatumia mamlaka yao kutaka kuua Imani ya wayahudi hivyo oder zikatolewa kuwa wayahudi wakakabidhii vitabu vyao vyote vya dini na waache kuabudu jinsi wanavyo abudu
Wayahudi hawakukubali hivyo vita ikaanza kati ya warumi na wayahudi
Soma kuhusu JEWISH REVOLT kuanzia 66-130 AD
4. Vita ilisababisha dini ya kiyahudi izidi kutake attention kwenye jamii za waroma maana watu walianza kuona wayahudi wapo sahihi jinsi wanavyo abudu warumi waligundua jinsi wanavyo zidi kupigana na wayahudi ndivyo wanavyo zidi kuipa umaarufu dini hiyo hapo ndipo akaja mfalme CONSTANTINE na mbinu yake mpya
KUMBUKA KABLA YA MFALME CONSTANTINE BIBLIA ILIKUWEPO NA VITABU VINGINE VILIKUWEPO HIVYO CONSTANTINE HAJAANZISHA BIBLIA
5. Siku moja mfalme CONSTANTINE akiwa vitani anadai alioteswa kuwa Mungu amemuonesha ishara ya msalaba vitani kuwa akiiona io alama atashinda vita ndipo Constantine akachora alama ya msalaba kwenye ngao zote za kijeshi na akashinda Ile vita
6. Alipo SHINDA Ile vita alirudi nyumbani na kuwaambia watu kuwa Mungu wa wayahudi ndio amemfanya ashinde Ile vita hivyo akaamua kuharalisha taifa la Roma liwe la kikristo kumbuka neno ukristo lilikuwako hapo kabla
Hapa niweke sawa
CONSTANTINE alikuwa mpagani 100% amekua akiabudu miungu ya kipagani tangu mdogo
Hii mbinu aliitumia ili aweze kuhararibu Imani ya wayahudi kwakuwa aliona akipigana nao anazidi kuikuza dini yao
Anadai aliona ishara ya Mungu lakini baada ya Yesu Mungu aliacha kufanya kazi Kwa mfumo alio usema Constantine hivyo ishara haikuwa ya Mungu nikama ambayo Kuna mtume alikuwa pangoni akaja uraiani kuwaambia watu nimetokewa na maraika nae akaanzisha dini yake
7.Baada ya taifa la Roma kuwa la kikristo CONSTANTINE akataka watu wote wafate ukristo ili warumi wafuate ukristo ilibidi Constantine atengeneze mazingira warumi wasione nikitu tofauti na kile walicho kuwa wakiabudu mwanzo hivyo akabadili baadhi ya vitu kwenye ukristo ili viendane na dini ya kipagani ya waroma
Moja ya mambo yalio badilishwa ni
-Siku ya kuabudu kutoka kuwa jumamosi na kuwa kumapli siku ya kwanza ya wiki
-Kuweka sherehe za kipagani kama Christmas na pasaka
-kupunguza makali ya neno la Mungu Kama kubadili jina la YESU Kiebrania jina halisi la Yesu ni YAHUSHA Wala sio YAHSHUA yashua ukiitafsir kiingereza inakuja Ile Ile Jesus au Yesu na jina halisi la Mungu wa Israel sio YEHOVA ni IEHOUAH kasome mwanzo 22-14 1611 KING JAMES
8 Pia mfalme CONSTANTINE 325 AD aliandaa mkutano ambao unatambulika kama COUNCIL OF NICEA ili kundaa taratibu zitazo tumika katika kanisa la roma pamoja na kutunga Sheria kwaajir ya kanisa
NB mkutano huu haukuusika kutunga biblia cuz biblia ilikuwepo hapo kabla hivyo walipunguza baadh ya vitabu na maneno ili yanendane nao
JAPOKUWA WALIPUNGUZA HAIMAANISHI KUWA HAKUNA BIBLIA ZA KWELI NA WALA HAIMAAMISHI HIZO TAARIFA WALIZOZIACHA HAZITOSHI KUMFANYA MTU AMJUE MUNGU WA KWELI
9. kuhusu utatu upo sahihi kuhusu utatu nikweli ulianzia kwenye empire ya kwanza ambayo ni babeli ( BABYLON ya kale ) na hii Ina story yake nyingine ila huyu nimrod hakuwa akimuabudu Mungu wa kweli huyu NIMROD alikuwa nimtawala wa kawaida alikuwa na mke ( TAMUUZ ) na mtoto ( SEMIRAMIS ) na ndiye Alie Jenga mnara w babeli ili amfikie Mungu na alikuwa akijiita Mungu yeye na familia yake yaani yeye
NIMROD (mungu baba )Mkewake TAMUUZ mungu mama na mtoto wao SEMIRAMIS mungu mwana Kumbuka Hawa wote walikuwa binadamu wa kawaida ila shetani akaamua kuanzisha utatu wake kupitia wao
NIMROD aliwaamisha watu anaishi kwenye jua na mkewake anaishi kwenye mwezi na mtoto wao yupo na baba yake juani
NIMROD alikuwa akimuabudu na kupewa nguvu na baba wa kutengeneza CONTRADICTIONS ambaye ni SHETANI
nadhan unajua kuwa shetani alikuwa malaika hivyo anajua vitu vingi kuhusu mbingu na Dunia
Lengo kuu la shetani ni KUWA KAMA MUNGU hivyo kupitia NIMROD akaleta utatu kama amabao upo mbinguni ili azidi kuleta contradiction Kwa mwanadamu pale Mungu atapo mtuma Yesu
HAPA NAOMBA IELEWEKE SHETANI HUWA HAFANYI KITU AMBACHO MUNGU HAKIFANYI HUWA ANAFANYA KITU KINACHO FANANA NA KILE ANACHO FANYA MUNGU
KAMA MUNGU ASINGEKUWA NA UTATU BAS DINI ZOTE ZA KIPAGANI ZISINGEKUWA NA UTATU ILI AZIDI KUWACHANGANYA
Kipindi shetani analeta utatu wake Mungu alikuwa bado hajaleta uo utatu kwa wanadamu maana muda ulikuwa haujafika utatu imekuja kukamilika baada ya Yesu kumtuma roho mtakatifu hii ndio maana baadhi ya watu wanasema ukristo umechukua utatu wa kipagani kitu ambacho sio kweli
UTOFAUTI WA UTATU WA MUNGU NA WAKIPAGANI
-Utatu wowote wa kipagani ni lazima uwe na BABA MAMA NA MTOTO fuatilia dini zote za kipagani zenye utatu lakini utatu wa Mungu hauna mama ni BABA MWANA NA ROHO MTAKATIFU
Hivyo ukikuta dini Ina baba mama na mtoto io ni yakipagani mfano kanisa la Roma Lina mtambua bikira Malia kama mtu anaye weza kuwaombea lakini katika biblia hichokitu hakipo
10.Baada ya Kanisa kuanzishwa kanisa likatunga Sheria Kali Kwa mtu ambaye ataabudu Imani nyingine hapa soma zaidi kuhusu INQUISITION ndio utaelewa zaidi ila Sheria zilikuwa Kali wayahudi walikataaa kuabudu sawa na wao hapo ndipo zikatokea vita tena ambazo ziliwafanya wayahudi wakimbie Jerusalem kuielekea maeneo mengine Huku wakiendelea kuabudu Kwa kufuata taratibu zao
11. Baada ya Miaka 300 ya kuanzishawa kanisa la Roma huko mjini Makkah kuna mtaalam mmoja aliekuwa akiitwa MOHAMMAD ambae alikuwa akiabudu sanamu Kwa muda wa miaka 40 babayake na mama yake walikuwa ni wapagani kama ambavyo mfalme CONSTANTINE alikuwa
Naye siku moja akiwa amekaa pangoni akatokewa na mtu ambaye alimtaka asome maandishi fulan lakin Mohammad akamjibu kuwa siwezi kusoma yule mtu Alie mtokea akaendelea kumlazimisha asome Huku akimminya pale Mohammad anaposema siwez kusoma Mohammad alidhani mtu huyo ni shetani
MOHAMMAD aliporudi kwake akamsimulia mkewake kilicho mkuta mkewake HADIJA akamwambia uyo sio shetani ni malaika mke wa Mohammad akampeleka Mohammad Kwa mpwa wake aitwae Uzza. Uzza alipigilia msumali alio uweka hadija kuwa uyo ni malaika naww unatakiwa uwe mtu mkubwa apo ndipo ukawa mwanzo wa dini ya uislamu
Mohammad alichukua taratibu,Sheria na tamaduni nyingi sana kutoka Kwa wayahudi na kuzifanya ni tamaduni za dini yake hii ndio sababu ya ukristo na uislamu unafanana kiasi sana na Mohammad alikuwa akitaka wayahudi waungane nae katika dini yake lakini wayahudi walikataa na hapo ndipo alipo kuwa akianzisha vita nao kutokana na vita kutoka Kwa Mohammad na Roma wayahudi walizidi kuyakimbia maeneo yao na kwenda maeneo mengine
Mohammad alifariki Kwa kupewa sumu na mmoja wa wayahudi ambao Mohammad aliua familia yake na nduguzake
12.Miaka ikaenda hadi mwaka kati ya 630 hadi 1048 Jamii ya watu kutoka uturuki kabila la KHAZARIANS walikuwa wakiabudu miungu ya kipagani na walikuwa hawataki kuwa chini ya kanisa la Roma Wala kuwa chini ya uslamu hivyo sikumoja mfale wao Alie jurikana kama MULANN anadai alitokewa na malaika na malaika akamwambia unatakiwa kumuabudu Mungu wakweli tu ndipo mfalme Mulan akaita wataalamu watatu wadini mmoja alikuwa kiongozi wa dini ya kiislamu mwingine kiongoz wa dini ya wayahudi mwingine kiongozi wa dini ya wayahudi akaweka mdaharo wa kubishana Kwa hoja lakini hawakuweza kuelewana na ndipo alipo Anza kumwita mmoja mmoja alipo mwita kiongoz wa kiislamu akamuuliza kati yenu nan yupo sahihi kiongozi wa kiislamu akamjibu myahudi yupo sahihi zaidi aka mwita na kiongozi wa kikristo akamuuliza kati yenu nan yupo sahihi yule kiongoz akajibu myahudi yupo sahihi
HIvyo kuanzia hapo Waka convert kuwa wayahudi lakini bado waliingiza Imani zao za kipagani katika kuabudu na ndio Hawa ambao Leo Dunia inawatambua kama wayahudi halisi
Ndio Hawa ambao Wana vita kwenye maeneo ya Israel na Palestine
Ndio Hawa ambao dini yao Ina msuburi masihi wao ajae
13. Miaka ikaenda hadi Karne ya 16 kanisa la Roma likakutana na upinzani mkubwa kutoka PROTESTANT watu waliokuwa wakipingana na misimamo ya kanisa la Roma watu kama MARTIN RUTHER (alianzisha kanisa la Lutheran ) walikuwa ni wanaharakati walio Pinga misimamo ya kanisa la Roma
Harakati hizi zilijulikana kama PROTESTANT REFORMATION
Hawa watu waliamua kuanzisha makanisa yao yenye mitazamo tofauti na kanisa la Roma na hapo ndio ukawa mwanzo wa haya makanisa mengine kutokea lakini bado hawakuweza kutoa kilakitu Cha uongo mana kanisa la Roma lilikuwa limefanikiwa kuiaminisha jamii badh ya uongo kuwa ndio ukweli lakin pia baadh ya Wana harakati hao walitumiwa na kanisa ili kuongeza contradiction katika Imani
Sasa swali linakuja dini yakweli ipo ?
Jibu ni ndio dini ya kweli ipo kwakuwa neno la Mungu halijapote na Wala ukweli haujapotea fanya utafiti wako binafsi ili kupata uhakika
Ila Amini kuwa Mungu wa Israel ndiye Alie kuumba akamtuma mwanawe wa pekee ambaye ni nenolake ( YESU ) ili aje atuokoe wanadamu kutoka kwenye uongo wa shetani hata Yesu alipoondoka hakutuacha hivi hivi Ali mtuma ROHO MTAKATIFU aje akae ndani yetu ili atuongoze kulijua neno la Mungu na na kutenda sawa sawa na apendabyo Mungu
Kwakifupi huitaji mchungaji Padre Wala mtu yoyote ili kuijua biblia Kwani aukiamini na kumuomba Mungu ROHO MTAKATIFU Alie ndani yako atakuongoza kulijua neno lake na kukupa tafsiri sahihi ya neno la Mungu
DUNIA INASIRI NYINGI SANA MUOMBE MUNGU AKUONGOZE KUUJUA UKWELI UTAKUWA HURU NA UTAANZA KUIONA DUNIA KWA JICHO TOFAUTI SANA