Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

Nilijuwa hutojibu kwani hapo ndipo majibu ya maswali yako yote yanapotoka lakini unakimbia

Nakuuliza tena

Sawa, Sasa jibu swali

Unasema unasali kwa kiswahili hiyo sala ni sala gani na unamfuata nani ??? Nani alikuambia usali kwa kiswahili au ni huyo mzungu wa Roma ??

Kwani Mungu ni nani ??? Huyo mungu wako wapi Alikuambia usali kwa kiswahil
Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma nimekuuliza zaidi ya mara 40. Narudia tena kwa mara ya Arobaini na nne : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Na uislamu je
Nilitaka kuuliza pia.
Labda sisi waafrika ni Waarabu na waislam asili yetu ndio maana mleta mada ameongelea utumwa kutoka Ulaya na Marekani akausahau ule wa kutoka uarabuni.
Spirituality is the only way to emancipation black people in the world
 
Huna haja kwa sababu hutaki kufahamu umegeuka sikio la kufa . kwa taarifa yako wagonjwa wengi wa figo kutoka Tanganyika wanakuja Zanzibar kusafisha damu , huku hakuna malipo kama huko Tanganyika, sijui hao wazungu wako wamewasaidia nini.
Yaani huelewi kuwa Tz haininui mafuta kutoka kwenye soko la Kimataifa kazi nakupa tafuta namna gani Tz inavyonunua mafuta . Algeria aliisaidia tz mafuta wakati wa Nyerere wakati nchi ilikuwa imefilisika . Tz ikipata mafuta bure kama huelei , haikulipa hata senti moja

Tanzania praises Kuwait's support for its developmental projects | Embassy of Tanzania in Kuwait City, Kuwait

Saudi Arabia Signs Four Employment Agreements with ...

Niambie hizo nchi unazoziita za kikristo ni nchi gani iliyofanya hivyo zaidi ya kutoa masharti ya kukubali ushoga ndio tupewe misaada

View: https://x.com/DaveAtherton20/status/1831268210416488548
 
Mleta mada umeandika uwongo mwingi sana.

Kwanza ni uwongo kusrma kuwa kulikuwa na uhusiano wowote kati ya serikali za kikoloni na wamisionari walioleta ukristo Afrika. Kuna maeneo mengi ambapo wamisionari walikuwa kinyume cha wakoloni watawala. Hata kwa hapa Tanganyika, wamisionari hawakukubaliana na wakoloni watawala, ndiyo maana wao kwa siri waliunga mkono jitihada za Watanganyika kuwa huru:

Mwalimu Nyerere alipoambiwa achague kuendelea na kazi na kuachana na mambo ya TANU, au aendelre na mambo ya TANU lakini kazi ya uwalimu iwe mwisho, alichagua kuacha uwalimu. Baada ya kuacha uwalimu, familia yake angeitunzaje na wakati huko TANu hakuna mshahara? Ni wamisionari, mapadre na watawa Wakatoliki wa Tosamaganga, kwa siri, waliamua kuishi na kuihudumia familia ya Nyerere. Na hata wakati anaenda UN, ticket yake ya ndege iligharamiwa na wamisionari wakatoliki. Na kwa nyakati hizo ufahamu kuwa hakukuwa na sadaka wala zaka wala michango yoyote ya maana kutoka kwa wakristo wananchi kuhudumia shughuli na huduma za Kanisa. Shule, zahanati na hospirali, vyote viligharamiwa na wakristo waumini wa huko Ulaya. Na hali hiyo imeendelea kwa miaka mingi.

Umeandika upuuzi mwingi, nadhani kwa sababu ya kukosa uelewa.

Ukweli pekee uliouandika ni kuwa siku hizi kuna matapeli wengi wanawadanganya watu kwa kutumia dini wakati ukweli ni kuwa watu hao wala si waumini wa ukristo lakini wanajua wakitumia ukristo katika utapeli wao, watu waliokosa maarifa, watawasikikiza na kuwapa pesa na kuwa watumwa wao.
 
Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma nimekuuliza zaidi ya mara 40. Narudia tena kwa mara ya Arobaini na nne : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma nimekuuliza zaidi ya mara 40. Narudia tena kwa mara ya Arobaini na nne : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.

Nilijuwa hutojibu kwani hapo ndipo majibu ya maswali yako yote yanapotoka lakini unakimbia

Nakuuliza tena

Sawa, Sasa jibu swali

Unasema unasali kwa kiswahili hiyo sala ni sala gani na unamfuata nani ??? Nani alikuambia usali kwa kiswahili au ni huyo mzungu wa Roma ??

Kwani Mungu ni nani ??? Huyo mungu wako, wapi Alikuambia usali kwa kiswahil
 
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!
Ni wachache sana watagundua kuwa umesema ukweli. Hebu ona, utatu mtakatifu na kupalizwa Maria mbinguni, tumekubali tu bila kuhoji.
 
Mleta mada umeandika uwongo mwingi sana.

Kwanza ni uwongo kusrma kuwa kulikuwa na uhusiano wowote kati ya serikali za kikoloni na wamisionari walioleta ukristo Afrika. Kuna maeneo mengi ambapo wamisionari walikuwa kinyume cha wakoloni watawala. Hata kwa hapa Tanganyika, wamisionari hawakukubaliana na wakoloni watawala, ndiyo maana wao kwa siri waliunga mkono jitihada za Watanganyika kuwa huru:

Mwalimu Nyerere alipoambiwa achague kuendelea na kazi na kuachana na mambo ya TANU, au aendelre na mambo ya TANU lakini kazi ya uwalimu iwe mwisho, alichagua kuacha uwalimu. Baada ya kuacha uwalimu, familia yake angeitunzaje na wakati huko TANu hakuna mshahara? Ni wamisionari, mapadre na watawa Wakatoliki wa Tosamaganga, kwa siri, waliamua kuishi na kuihudumia familia ya Nyerere. Na hata wakati anaenda UN, ticket yake ya ndege iligharamiwa na wamisionari wakatoliki. Na kwa nyakati hizo ufahamu kuwa hakukuwa na sadaka wala zaka wala michango yoyote ya maana kutoka kwa wakristo wananchi kuhudumia shughuli na huduma za Kanisa. Shule, zahanati na hospirali, vyote viligharamiwa na wakristo waumini wa huko Ulaya. Na hali hiyo imeendelea kwa miaka mingi.

Umeandika upuuzi mwingi, nadhani kwa sababu ya kukosa uelewa.

Ukweli pekee uliouandika ni kuwa siku hizi kuna matapeli wengi wanawadanganya watu kwa kutumia dini wakati ukweli ni kuwa watu hao wala si waumini wa ukristo lakini wanajua wakitumia ukristo katika utapeli wao, watu waliokosa maarifa, watawasikikiza na kuwapa pesa na kuwa watumwa wao.

Msikilize huyu m Marekani anaelezea vizuri ukristo ulivyotumiwa na wazungu Afrika

View: https://youtu.be/Q4e0LPzhUEc?si=8P9M8rT9-AMb4voD
 
Nilitaka kuuliza pia.
Labda sisi waafrika ni Waarabu na waislam asili yetu ndio maana mleta mada ameongelea utumwa kutoka Ulaya na Marekani akausahau ule wa kutoka uarabuni.
Spirituality is the only way to emancipation black people in the world
Mleta mada umeandika uwongo mwingi sana.

Kwanza ni uwongo kusrma kuwa kulikuwa na uhusiano wowote kati ya serikali za kikoloni na wamisionari walioleta ukristo Afrika. Kuna maeneo mengi ambapo wamisionari walikuwa kinyume cha wakoloni watawala. Hata kwa hapa Tanganyika, wamisionari hawakukubaliana na wakoloni watawala, ndiyo maana wao kwa siri waliunga mkono jitihada za Watanganyika kuwa huru:

Mwalimu Nyerere alipoambiwa achague kuendelea na kazi na kuachana na mambo ya TANU, au aendelre na mambo ya TANU lakini kazi ya uwalimu iwe mwisho, alichagua kuacha uwalimu. Baada ya kuacha uwalimu, familia yake angeitunzaje na wakati huko TANu hakuna mshahara? Ni wamisionari, mapadre na watawa Wakatoliki wa Tosamaganga, kwa siri, waliamua kuishi na kuihudumia familia ya Nyerere. Na hata wakati anaenda UN, ticket yake ya ndege iligharamiwa na wamisionari wakatoliki. Na kwa nyakati hizo ufahamu kuwa hakukuwa na sadaka wala zaka wala michango yoyote ya maana kutoka kwa wakristo wananchi kuhudumia shughuli na huduma za Kanisa. Shule, zahanati na hospirali, vyote viligharamiwa na wakristo waumini wa huko Ulaya. Na hali hiyo imeendelea kwa miaka mingi.

Umeandika upuuzi mwingi, nadhani kwa sababu ya kukosa uelewa.

Ukweli pekee uliouandika ni kuwa siku hizi kuna matapeli wengi wanawadanganya watu kwa kutumia dini wakati ukweli ni kuwa watu hao wala si waumini wa ukristo lakini wanajua wakitumia ukristo katika utapeli wao, watu waliokosa maarifa, watawasikikiza na kuwapa pesa na kuwa watumwa wao.

View: https://youtu.be/8qJr4LBJ8pg?si=AL9Bwtp9YzFCo5-c
 
Nilijuwa hutojibu kwani hapo ndipo majibu ya maswali yako yote yanapotoka lakini unakimbia

Nakuuliza tena

Sawa, Sasa jibu swali

Unasema unasali kwa kiswahili hiyo sala ni sala gani na unamfuata nani ??? Nani alikuambia usali kwa kiswahili au ni huyo mzungu wa Roma ??

Kwani Mungu ni nani ??? Huyo mungu wako, wapi Alikuambia usali kwa kiswahil
Mbona unakuwa mtu wa ajabu mimi kuna swali nimeuliza huku mara 40 sijapata jibu? Kunani Sheikh wangu ? Naomba uniambie mimi ninayesali kwa kiswahili na wewe unayeswali kwa kiarabu nani anamfuata binadamu? na nani anamfuata Mungu ?

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma nimekuuliza zaidi ya mara 40. Narudia tena kwa mara ya Arobaini na tano: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Nilikuambia majibu utayapata kwenye jibu lako ukijibu maswali haya

Usikimbie

kwani hapo ndipo majibu ya maswali yako yote yanapotoka lakini unakimbia

Baadhi ya maswali yako anayajibu huyu mkristo mwenzako

View: https://youtu.be/QjBzbKfhWJc?si=v9zuTT9LDHFv1IWI
 
Sasa huyu jamaa nasema ukristu unaleta umasikini wakati ukatoliki ndio umenifiksha hapa ujerumani. Mimi naongea uhalisia, hata ukiangalia Mzungu analipa viozuri kuliko mwarabu na muhindi. Mimi nimefanikiwa hadi hapa nilipo kwa sababu ya ukatoliki na si kitu kingine. Na huku wameanza kuwa deport waaarabu toka jumapili ndugu yangu. Ningekuwa muislamu ulaya ningeishi kwa tabu sana maana polisi wakijua wewe ni Sheikh lazima wakuhoji vya kutosha. Maana waislamu huku wanachoma watu visu daily. Nikirudi 2025 feb nitafute nikupe ajira.

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma nimekuuliza zaidi ya mara 40. Narudia tena kwa mara ya Arobaini na sita: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Nilikuambia majibu utayapata kwenye jibu lako ukijibu maswali haya

Usikimbie

kwani hapo ndipo majibu ya maswali yako yote yanapotoka lakini unakimbia

Nakuuliza tena

Sawa, Sasa jibu swali

Unasema unasali kwa kiswahili hiyo sala ni sala gani na unamfuata nani ??? Nani alikuambia usali kwa kiswahili au ni huyo mzungu wa Roma ??

Kwani Mungu ni nani ??? Huyo mungu wako, wapi Alikuambia usali kwa kiswahil
Najibu swali kuwa sisi wenyewe wakristu wa Tanzania tumeamua kusali kwa kiswahili. Hakuna liyetupoangia wala kutulazimisha ndio maana huko juu nimekuambia kuna biblia zimetafsiriwa kwa kinyakyusa na kimbulu. Maana Mungu wetu niwa kila mtu duniani . We mwenzangu ndio mmepangiwa na kulazimishwa kusali kwa kiarabu. Pia ili kutimiza nguzo za uislamu mmmelazimishwa kwenda kuhiji Uarabuni . Naomba unisaidia mimi na wwe nani anamlamba miguu binadamu mwenzake ? Namalizia kwa kuomba jibu la swali langu amabalo kutwa kukicha na kuuliza pasi na majibu. Naomba jibu la swali langu hapo chini 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma nimekuuliza zaidi ya mara 40. Narudia tena kwa mara ya Arobaini na saba: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Sasa huyu jamaa nasema ukristu unaleta umasikini wakati ukatoliki ndio umenifiksha hapa ujerumani. Mimi naongea uhalisia, hata ukiangalia Mzungu analipa viozuri kuliko mwarabu na muhindi. Mimi nimefanikiwa hadi hapa nilipo kwa sababu ya ukatoliki na si kitu kingine. Na huku wameanza kuwa deport waaarabu toka jumapili ndugu yangu. Ningekuwa muislamu ulaya ningeishi kwa tabu sana maana polisi wakijua wewe ni Sheikh lazima wakuhoji vya kutosha. Maana waislamu huku wanachoma watu visu daily. Nikirudi 2025 feb nitafute nikupe ajira.

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma nimekuuliza zaidi ya mara 40. Narudia tena kwa mara ya Arobaini na sita: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
Ukatoliki ukufikishe Ujerumani , 😜😜😜 Tanzania ingalikuwa tupu, Kama Taasisi Za kikristo zingalikuwa zimeleta utajiri Tanzania , Nchi isingalikuwa maskini. Nilikuambia Hakuna kanisa lilijenga Barabara , shule ndio zinafundisha ushoga, Waarabu Wamejenga hospitali Zanzibar na Wamejenga bandari Mangapapwani, na wanaukarabati Mji mkongwe, na wanajenga airport kubwa Pemba na watajenga bandari nyengine Zanzibar na walilisaidia jeshi magari na Wamejenga Zanzibar university, listi ni ndefu sana, na Kama Zanzibar haikuzuiwa na Kanisa Katoliki kujiunga IOC ungalisikia mengi

Sasa jibu maswali haya umeyakimbia

Unasema unasali kwa kiswahili hiyo sala ni sala gani?

Kwani Mungu ni nani ???

I
 
Najibu swali kuwa sisi wenyewe wakristu wa Tanzania tumeamua kusali kwa kiswahili. Hakuna liyetupoangia wala kutulazimisha ndio maana huko juu nimekuambia kuna biblia zimetafsiriwa kwa kinyakyusa na kimbulu. Maana Mungu wetu niwa kila mtu duniani . We mwenzangu ndio mmepangiwa na kulazimishwa kusali kwa kiarabu. Pia ili kutimiza nguzo za uislamu mmmelazimishwa kwenda kuhiji Uarabuni . Naomba unisaidia mimi na wwe nani anamlamba miguu binadamu mwenzake ? Namalizia kwa kuomba jibu la swali langu amabalo kutwa kukicha na kuuliza pasi na majibu. Naomba jibu la swali langu hapo chini 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma nimekuuliza zaidi ya mara 40. Narudia tena kwa mara ya Arobaini na saba: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.

Mbona Padri wenu mzungu anawatandika viboko ? Hiyo Nayo ni sala ? halafu akuchukuwe Ujerumani 😜😜😜

View: https://youtu.be/zfhDtpEWv-M?si=D-xRnKYZeRBFT3Mn
 
Ukatoliki ukufikishe Ujerumani , 😜😜😜 Tanzania ingalikuwa tupu, Kama Taasisi Za kikristo zingalikuwa zimeleta utajiri Tanzania , Nchi isingalikuwa maskini. Nilikuambia Hakuna kanisa lilijenga Barabara , shule ndio zinafundisha ushoga, Waarabu Wamejenga hospitali Zanzibar na Wamejenga bandari Mangapapwani, na wanaukarabati Mji mkongwe, na wanajenga airport kubwa Pemba na watajenga bandari nyengine Zanzibar na walilisaidia jeshi magari na Wamejenga Zanzibar university, listi ni ndefu sana, na Kama Zanzibar haikuzuiwa na Kanisa Katoliki kujiunga IOC ungalisikia mengi

Sasa jibu maswali haya umeyakimbia

Unasema unasali kwa kiswahili hiyo sala ni sala gani?

Kwani Mungu ni nani ???

I
Wakristu wengi hawapo serious na masuala ya kanisa. Hata wewe ukiamua kubatizwa nakupa mchongo uje huku tupige hela.

Umesema waarabu wammejunga miundombinu zanzibar. Tukichukua miundombinu ya Tanzania nzima Mwarabu anaweza kumfikia Mzungu. Je hiyo miundombinu imezalisha ajira ? Mazingira ya kazi na malipo yapoje yanawafikia wakristu wenzangu wazungu ? Nakwambia mimi nipo kimaslahi na ninaijua shida ndio maana nipo kwenye dini ya ukweli. Matajiri wote wa visiwani wanapata hela zao kutoka Bara. Hamna kilimo huko, kutwa mnashinda vijiweni. Nimeenda hadi pemba kazi nyingi zinafanya na wasukuma. Unadiriki kweli kulinganisha Visiwani na Bara ?
Namalizia kwa kuomba jibu la swali langu amabalo kutwa kukicha na kuuliza pasi na majibu. Naomba jibu la swali langu hapo chini 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma nimekuuliza zaidi ya mara 40. Narudia tena kwa mara ya Arobaini na nane: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.

Mbona Padri wenu mzungu anawatandika viboko ? Hiyo Nayo ni sala ? halafu akuchukuwe Ujerumani 😜😜😜

View: https://youtu.be/zfhDtpEWv-M?si=D-xRnKYZeRBFT3Mn

Nipo huku toka mwaka juzi ndugu yangu. Na Visa yangu inaisha Jun 2025.
1725481243029.jpeg

Na uzuri huku waislamu mmejiharibia kwa kuchoma watu visu. Kuna watu mpaka wamebadili majina. Yusuf anajiita Joseph 😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Aisee dini yenu ya kikuda sana, yaani maisha yanakupiga badala ya kufanya kazi unaenda kushoma watu visu mitaani. Namalizia kwa kuomba jibu la swali langu amabalo kutwa kukicha na kuuliza pasi na majibu. Naomba jibu la swali langu hapo chini 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma nimekuuliza zaidi ya mara 40. Narudia tena kwa mara ya Arobaini na nane: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Nipo huku toka mwaka juzi ndugu yangu. Na Visa yangu inaisha Jun 2025.
View attachment 3087317

Na uzuri huku waislamu mmejiharibia kwa kuchoma watu visu. Kuna watu mpaka wamebadili majina. Yusuf anajiita Joseph 😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Aisee dini yenu ya kikuda sana, yaani maisha yanakupiga badala ya kufanya kazi unaenda kushoma watu visu mitaani. Namalizia kwa kuomba jibu la swali langu amabalo kutwa kukicha na kuuliza pasi na majibu. Naomba jibu la swali langu hapo chini 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma nimekuuliza zaidi ya mara 40. Narudia tena kwa mara ya Arobaini na nane: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.

😛 😛 😛 😛 😛

Yaani hicho ni kitambulisho cha Kijerumani ???

WADANGANYE HAO WAKATOLIKI WENZAKO NA WALOKOLE WA JF

Unafikiri Residence permit haijulikani ilivyo ??

Angalia hapo chini

1725504961497.jpeg

Na viza yao iko hivi

1725505158565.png

😛 😛
 
Back
Top Bottom