Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

Mkuu umedadavua vyema na hili wakibisha hawa ndugu zetu wa Umat mudi... Basi tunawe mikono kama Pilato alivyo nawa pale watu walipolazimisha Yesu asulubiwe wakati hakuona kosa alilotenda Yesu... Sasa hawajamaa hawana hoja wala rejea ya Yale wayasemayo isipokuwa kutetea waarabu tu..

The Gospel of Matthew:

"The unknown author, whom we shall continue to call Matthew for the sake of convenience, drew no only up the Gospel according to Mark but upon a large body of material (principally, sayings of Jesus) not found in Mk that corresponds, sometimes exactly, to material found also in the Gospel according to Luke. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1008)"

"As for the place where the gospel was composed, a plausible suggestion is that it was Antioch, the capital of the Roman province of Syria. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1009)"

So we clearly see, both the author or authors and the place of composition of the "Gospel of Matthew" are unknown.
 
Mkuu umedadavua vyema na hili wakibisha hawa ndugu zetu wa Umat mudi... Basi tunawe mikono kama Pilato alivyo nawa pale watu walipolazimisha Yesu asulubiwe wakati hakuona kosa alilotenda Yesu... Sasa hawajamaa hawana hoja wala rejea ya Yale wayasemayo isipokuwa kutetea waarabu tu..

Kiungopunda

Soma biblia zilivyoandika

The Gospel of Mark:

This gospel is the oldest and is supposedly the most original one in the New Testament.

"Although the book is anonymous, apart from the ancient heading "According to Mark" in manuscripts, it has traditionally been assigned to John Mark, in whose mother's house (at Jerusalem) Christians assembled. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1064)"

"Although there is no direct internal evidence of authorship, it was the unanimous testimony of the early church that this Gospel was written by John Mark. (From the NIV Bible Commentary [1], page 1488)"

  • We certainly do not know whether Mark was the author or not! The quote clearly states "no direct internal evidence of authorship". Also, the so-called unanimous testimony of the early church:

    - Does not prove that the author was Mark.

    - Nor does it prove that other people did not alter and modify the book, especially when the book was written at least 40-50 years after Christ. We don't even know if Mark even wrote the book.

"Traditionally, the gospel is said to have been written shortly before A.D. 70 in Rome, at a time of impending persecution and when destruction loomed over Jerusalem. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1064)"

"Serious doubts exists as to whether these verses belong to the Gospel of Mark. They are absent from important early manuscripts and display certain peculiarities of vocabulary, style and theological content that are unlike the rest of Mark. His Gospel probably ended at 16:8, or its original ending has been lost. (From the NIV Bible Foot Notes [1], page 1528)"

"This verse, which reads, "But if you do not forgive, neither will your heavenly Father forgive your transgressions," is omitted in the best manuscripts. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1081)"

"This passage, termed the Longer Ending to the Marcan gospel by comparison with a much briefer conclusion found in some less important manuscripts, has traditionally been accepted as a canonical part of the gospel and was defined as such by the Council of Trent. Early citations of it by the Fathers indicate that it was composed by the second century, although vocabulary and style indicate that it was written by someone other than Mark. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1088)"

So, in reality, we don't really know whether Mark was the sole author of this Gospel or not, nor do we know when and where the "gospel" was even written. And since The New Testament wasn't even documented on paper until 150-300 years (depending on what Christian you talk to) after Jesus, then how are we to know for sure that the current "Gospel of Mark" wasn't written by some pro of Mark?

A new captured image of this book's corruption:

mark16_corruption.jpg (54552 bytes)

(http://www.biblegateway.com/passage/?search=Mark 16:9-20;&version=31;)

The above text reads: "The most reliable early manuscript and other ancient witnesses do not have Mark 16:9-20."

Now my concern to this corruption and 'answer-the-problem-away' statement is that what are those so-called "reliable early manuscript(s)" and who are the "ancient witnesses"?

According to the early Christians' manuscripts, Jesus never got crucified, and trinity is a lie. The so-called "gospel of Mark", along with all of the "gospels" of the NT, were written by third-party narration, as clearly demonstrated and shown in the sections below. People wrote on the tongue of Jesus' Disciples those books. They are neither original nor are the Pure Word of GOD Almighty.

If the "gospel of Mark" was indeed Divine and from GOD Almighty, then we wouldn't have this corruption, that they're admitting above, in it.

I hope you see the real danger in making these assumptions when you are willing to DIE for the fact that such Gospel is the actual True Word of GOD Almighty!

Further regarding this Gospel, we read the following commentary about Mark 16:9-20:

This quote raises a very serious issue here. First of all, as we've seen above in the first quote, we have no evidence that proves that John Mark was the sole author of this so called "Gospel". Second of all, we see that this Gospel has some serious problems/suspicions in it. The issue of Mark 16:9-20 is a scary one, because many Christian cults today use poisonous snakes in their worship and end up dying.

Removing Mark 16:9-20 is quite appreciated by me personally (to be quite honest with you), because it prevents people from dying from snake bites. But however, the serious issue of man's corruption of the Bible remains.

We can be absolutely certain now that the above quotes prove without a doubt that the Bible is doubtful. The quote "or its original ending has been lost" proves that what we call today "Gospels" were not written by their original authors such as Mark, John, Matthew, etc... It proves that the Gospel had been tampered with by man. Let alone considering it as the True Living Words of GOD Almighty.

If John Mark wasn't the one who wrote Mark 16:9-20, then who did? And how can you prove the ownership of the other person? Let alone proving that it was GOD Almighty's Revelation. And as we saw in the first quote above, we don't even know that John Mark was indeed the one who wrote the so called "Gospel of Mark".

To say the least in our case here, we now have enough evidence to discard the entire Gospel of Mark from the Bible, because you can't take bits and pieces of it and say some of it belongs to him and some of it doesn't! Let alone considering the entire corrupted Gospel as the True Living Word of GOD Almighty, which is a complete blasphemy.
 
Sasa jibu maswali

Hujajibu bado swali huyu Nabii Tito ametokea wapi?? Halafu nakupa tena , Watanganyika wengi kwa nini wanakuja huku Zanzibar kusafisha damu kwenye mashine Za bure Za waarabu wanaziwacha hospitali Za kanisa huko Tanganyika? Halafu eti Mimi ni Roman Catholic , yaani mtu mweusi unajipakazia uzungu, Hata huyo Yesu hakuwa Roman Catholic Wacha kujipakazia kijana. Huyo Pope maisha ni mzungu , hatujasikiapo hata muhindi wachilia mbali mwafrika kuchaguliwa pope
Mwalim
Kanisa lako halina isipokuwa kufanya biashara chafu kama hizi za ujangili

Kanisa katoliki ndilo lenyewe katika kupora mali sio Kongo tu hata huku TZ , hebu niambie kuhusu Kesi ya huyu Padri imeishia wapi ???

PADRI AKAMATWA KWA UJANGILI HUKU BUNDUKI 48, RISASI 764 ZIKIKAMATWA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, akionyesha bunduki aina ya AK47 kati ya silaha zilizokamatwa katika msako maalum wa ujangili.

Na Daniel Mbega, Namanyere

PADRI wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga (jina linahifadhiwa) ni miongoni mwa watu 50 waliokamatwa kwa ujangili na Kikosi Kazi cha Taifa katika Pori la Akiba la Lwafi wilayani Nkasi katika Mkoa wa Rukwa.

Padri aliyekamatwa ni wa Parokia ya Kirando katika mwambao wa Ziwa Tanganyika, ambaye bunduki yake aina ya Rifle yenye darubini inadaiwa kutumika katika ujangili ndani pori hilo la Lwafi wilayani humo.

Taarifa za kipolisi zimeeleza kwamba, mbali ya kukamatwa kwa watu hao, pia jeshi hilo limekamata bunduki 48 za aina mbalimbali ikiwemo ya Padri huyo anayoimiliki kihalali, pamoja na risasi 764 na maganda ya risasi 101.

Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Jacob Mwaruanda amesema kuwa baadhi ya waliokamatwa silaha zao wanazimiliki kihalali lakini zinatumika kinyume na utaratibu wa kumilikishwa kwao.

"Watu hawa bado wanahojiwa na upelelezi utakapokamilika watafikishwa mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake," alisema Kamanda Mwaruanda.

Kamanda Mwaruanda alisema kati ya bunduki 48 imo moja ya kivita aina ya AK47, bunduki 8 aina ya Rifle na risasi zake 83, Shortgun 19 na risasi zake 138, bastola 5 na risasi zake 133, magobore 15, magazine nne za bunduki aina ya Sub-Machine Gun, maganda matano ya bunduki aina ya Rifle, maganda 96 ya risasi za bunduki ya shortgun pamoja na vifaa vya kutengenezea bunduki za kienyeji na mitutu sita.

Watuhumiwa hao walikamatwa pia na nyara za serikali ambazo ni mikia sita ya tembo, nyama ya nyati kilo 20, miba ya nungunungu, ngozi moja ya paka-pori na pembe ya Nshya.

Kamanda Mwaruanda akifafanua jambo huku nyuma yake wanaonekana maofisa wa Kikosi Kazi cha Taifa pamoja na askari wa wanyamapori.

Kama Mwaruanda alitoa muda wa mwezi mmoja kuanzia sasa kwamba watu wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha mara moja kwenye vituo vya polisi au ofisi za serikali za vijiji kabla operesheni kabambe ya kuwatafuta watu hao haijaanza.

Rukwa na Katavi ni miongoni mwa maeneo ambayo ujangili kuua tembo umeshamiri sana hasa katika mapori ya akiba ya Lwafi na Hifadhi ya Taifa ya Katavi kutokana meno ya tembo kuonekana kuwa na soko katika mikoa mingine nchini na nchi jirani.

Kamanda Mwaruanda akionyesha kigudulia ambacho hutumiwa na majangili kubebea risasi.

Ofisa Mkuu wa Idara ya Ulinzi katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi, Davies Mushi alinukuliwa hivi karibuni kuwa kuwepo kwa soko zuri la biashara haramu ya nyara za Serikali hususan meno ya tembo ni moja ya sababu zinazochangia ongezeko la ujangili katika hifadhi hizo.

"Soko zuri la meno ya tembo lililopo katika mji wa Mpanda (Katavi), Sumbawanga (Rukwa), Tabora na maeneo mengine ya nchi linachangia sana kushamiri kwa ujangili ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Katavi, lakini tunajitahidi kufanya doria ndani ya hifadhi na kukabiliana na kasi hii iliyopo ya kuua tembo inayofanywa na majangili ambao wengi wao ni kutoka nje ya nchi," alisema Mushi.

Mbona huyo Padri jina halijatajwa naomba uniletee Jina nduhu yangu. Na hata kama ni kweli mimi ninaangalia Maslahi sio dinni. Nimeshasema huko nyuma kama wakatoliki wangeishia kujenga makanisa tu. Kama waaarabu walivyoishia kujenga misikiti tu.Ningeukana Ukristu na Roho Mtakatifu. Unajua maana ya kumkana Roho mtakatifu ? Nasubiri Majibu ndugu yangu, Bado nipo na wewe nataka uamke katika usingizi uliolala.

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya thelathini na saba : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Sasa jibu maswali

Hujajibu bado swali huyu Nabii Tito ametokea wapi?? Halafu nakupa tena , Watanganyika wengi kwa nini wanakuja huku Zanzibar kusafisha damu kwenye mashine Za bure Za waarabu wanaziwacha hospitali Za kanisa huko Tanganyika? Halafu eti Mimi ni Roman Catholic , yaani mtu mweusi unajipakazia uzungu, Hata huyo Yesu hakuwa Roman Catholic Wacha kujipakazia kijana. Huyo Pope maisha ni mzungu , hatujasikiapo hata muhindi wachilia mbali mwafrika kuchaguliwa pope
Unasema mimi najipakazia Uzungu mbona ninasali kwa kiswahili na kuna watanzania wanasali kwa kimbulu na kinyakyusa. Maana kuna Biblia zimetafsiriwa katika Lugha hizo. Lakini Quran kuisoma inabidi ujue Kiarabu. Mimi na wewe nani anajipakazia tamaduni zisio zake ndugu yangu naomba unijibu ? Maana kuna dini zinakulazimu uende Uatrabuni ili utimize nguzo za dini.Lakini kuna dini wala hazijali uende wapi Mungu yupo kokote. Maana wewe si umekazania dini ndio maana ninakuambia ukweli nisaidie ndugu yangu. Mimi na wewe nani anajipakazia kitu kisicho na Uhalisia ? Mimi naweka dini pembeni Uislamu na Ukristu upi uasaidia jamii ya watanzania ukianzia Ajira, Afya na elimu ? Amka ndugu yangu ujamaa ushaisha ztoka miaka ya tisini

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya thelathini na nane : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Kiungopunda

Soma biblia zilivyoandika

The Gospel of Mark:

This gospel is the oldest and is supposedly the most original one in the New Testament.

"Although the book is anonymous, apart from the ancient heading "According to Mark" in manuscripts, it has traditionally been assigned to John Mark, in whose mother's house (at Jerusalem) Christians assembled. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1064)"

"Although there is no direct internal evidence of authorship, it was the unanimous testimony of the early church that this Gospel was written by John Mark. (From the NIV Bible Commentary [1], page 1488)"

  • We certainly do not know whether Mark was the author or not! The quote clearly states "no direct internal evidence of authorship". Also, the so-called unanimous testimony of the early church:

    - Does not prove that the author was Mark.

    - Nor does it prove that other people did not alter and modify the book, especially when the book was written at least 40-50 years after Christ. We don't even know if Mark even wrote the book.

"Traditionally, the gospel is said to have been written shortly before A.D. 70 in Rome, at a time of impending persecution and when destruction loomed over Jerusalem. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1064)"

"Serious doubts exists as to whether these verses belong to the Gospel of Mark. They are absent from important early manuscripts and display certain peculiarities of vocabulary, style and theological content that are unlike the rest of Mark. His Gospel probably ended at 16:8, or its original ending has been lost. (From the NIV Bible Foot Notes [1], page 1528)"

"This verse, which reads, "But if you do not forgive, neither will your heavenly Father forgive your transgressions," is omitted in the best manuscripts. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1081)"

"This passage, termed the Longer Ending to the Marcan gospel by comparison with a much briefer conclusion found in some less important manuscripts, has traditionally been accepted as a canonical part of the gospel and was defined as such by the Council of Trent. Early citations of it by the Fathers indicate that it was composed by the second century, although vocabulary and style indicate that it was written by someone other than Mark. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1088)"

So, in reality, we don't really know whether Mark was the sole author of this Gospel or not, nor do we know when and where the "gospel" was even written. And since The New Testament wasn't even documented on paper until 150-300 years (depending on what Christian you talk to) after Jesus, then how are we to know for sure that the current "Gospel of Mark" wasn't written by some pro of Mark?

A new captured image of this book's corruption:

mark16_corruption.jpg (54552 bytes)

(http://www.biblegateway.com/passage/?search=Mark 16:9-20;&version=31;)

The above text reads: "The most reliable early manuscript and other ancient witnesses do not have Mark 16:9-20."

Now my concern to this corruption and 'answer-the-problem-away' statement is that what are those so-called "reliable early manuscript(s)" and who are the "ancient witnesses"?

According to the early Christians' manuscripts, Jesus never got crucified, and trinity is a lie. The so-called "gospel of Mark", along with all of the "gospels" of the NT, were written by third-party narration, as clearly demonstrated and shown in the sections below. People wrote on the tongue of Jesus' Disciples those books. They are neither original nor are the Pure Word of GOD Almighty.

If the "gospel of Mark" was indeed Divine and from GOD Almighty, then we wouldn't have this corruption, that they're admitting above, in it.

I hope you see the real danger in making these assumptions when you are willing to DIE for the fact that such Gospel is the actual True Word of GOD Almighty!

Further regarding this Gospel, we read the following commentary about Mark 16:9-20:

"Serious doubts exists as to whether these verses belong to the Gospel of Mark. They are absent from important early manuscripts and display certain peculiarities of vocabulary, style and theological content that are unlike the rest of Mark. His Gospel probably ended at 16:8, or its original ending has been lost. (From the NIV Bible Foot Notes [1], page 1528)"

This quote raises a very serious issue here. First of all, as we've seen above in the first quote, we have no evidence that proves that John Mark was the sole author of this so called "Gospel". Second of all, we see that this Gospel has some serious problems/suspicions in it. The issue of Mark 16:9-20 is a scary one, because many Christian cults today use poisonous snakes in their worship and end up dying.

Removing Mark 16:9-20 is quite appreciated by me personally (to be quite honest with you), because it prevents people from dying from snake bites. But however, the serious issue of man's corruption of the Bible remains.

We can be absolutely certain now that the above quotes prove without a doubt that the Bible is doubtful. The quote "or its original ending has been lost" proves that what we call today "Gospels" were not written by their original authors such as Mark, John, Matthew, etc... It proves that the Gospel had been tampered with by man. Let alone considering it as the True Living Words of GOD Almighty.

If John Mark wasn't the one who wrote Mark 16:9-20, then who did? And how can you prove the ownership of the other person? Let alone proving that it was GOD Almighty's Revelation. And as we saw in the first quote above, we don't even know that John Mark was indeed the one who wrote the so called "Gospel of Mark".

To say the least in our case here, we now have enough evidence to discard the entire Gospel of Mark from the Bible, because you can't take bits and pieces of it and say some of it belongs to him and some of it doesn't! Let alone considering the entire corrupted Gospel as the True Living Word of GOD Almighty, which is a complete blasphemy.
🚮
 
Unasema mimi najipakazia Uzungu mbona ninasali kwa kiswahili na kuna watanzania wanasali kwa kimbulu na kinyakyusa. Maana kuna Biblia zimetafsiriwa katika Lugha hizo. Lakini Quran kuisoma inabidi ujue Kiarabu. Mimi na wewe nani anajipakazia tamaduni zisio zake ndugu yangu naomba unijibu ? Maana kuna dini zinakulazimu uende Uatrabuni ili utimize nguzo za dini.Lakini kuna dini wala hazijali uende wapi Mungu yupo kokote. Maana wewe si umekazania dini ndio maana ninakuambia ukweli nisaidie ndugu yangu. Mimi na wewe nani anajipakazia kitu kisicho na Uhalisia ? Mimi naweka dini pembeni Uislamu na Ukristu upi uasaidia jamii ya watanzania ukianzia Ajira, Afya na elimu ? Amka ndugu yangu ujamaa ushaisha ztoka miaka ya tisini

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya thelathini na nane : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.

Unasema unasali kwa kiswahili hiyo sala ni sala gani na unamfuata nani ??? Nani alikuambia usali kwa kiswahili au ni huyo mzungu wa Roma ??

Kwani Mungu ni nani ???

Mbona umechanganyikiwa mara naweka dini pembeni mara nasali kwa kiswahili , Usichanganyikiwe tutafika tu
 
Mwalim

Mbona huyo Padri jina halijatajwa naomba uniletee Jina nduhu yangu. Na hata kama ni kweli mimi ninaangalia Maslahi sio dinni. Nimeshasema huko nyuma kama wakatoliki wangeishia kujenga makanisa tu. Kama waaarabu walivyoishia kujenga misikiti tu.Ningeukana Ukristu na Roho Mtakatifu. Unajua maana ya kumkana Roho mtakatifu ? Nasubiri Majibu ndugu yangu, Bado nipo na wewe nataka uamke katika usingizi uliolala.

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya thelathini na saba : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.

Of course System, serikali ni yenu yenyewe ndio maana mkamficha huyo Padri otherwise angalishatajwa zamani. Tena gazeti limeandika jina limehifadhiwa . Kwanini walihifadhi ?? wasitaje

Mbona hao waRoma hawajawamwagia pesa wamebakia kuingia kwenye biashara haramu za ujangiri??

Kwani huelewi kuna watu walifungwa kwa kusema Yesu si Mungu ??? kwa nini wakamatwe ?? na nchi haina dini??

Unasema wewe hujali dini inakuwaje unasali ??
 
Mtu mweupe na mwarabu nani bora. Maana kuna mmoja anaishia kujenga misikiti akijitahidi ataweka kisima cha maji kwa ajili ya kutawadha. Lakini kuna mwingine amejenga mashule, mahospitali na vyuo nchini kwetu. Nasubiri Jibu ndugu yangu ?
Mashule na vyuo mnasoma aina gani ya elimu?
 
Unasema unasali kwa kiswahili hiyo sala ni sala gani na unamfuata nani ??? Nani alikuambia usali kwa kiswahili au ni huyo mzungu wa Roma ??

Kwani Mungu ni nani ???

Mbona umechanganyikiwa mara naweka dini pembeni mara nasali kwa kiswahili , Usichanganyikiwe tutafika tu
Mimi sijachanganyikiwa nduguyangu diniyako inakulazimu kuhiji uarabuni na inakulazimu kusali kwa kiarabu. Mimi ninasali kwa kiswahili, naomba unijibu kati ya mimi na wewe nani anajikataa alikotoka na utamaduni wake. Bado nipo na wewe nataka uamke ndugu yangu.

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya thelathini na tisa : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Of course System, serikali ni yenu yenyewe ndio maana mkamficha huyo Padri otherwise angalishatajwa zamani. Tena gazeti limeandika jina limehifadhiwa . Kwanini walihifadhi ?? wasitaje

Mbona hao waRoma hawajawamwagia pesa wamebakia kuingia kwenye biashara haramu za ujangiri??

Kwani huelewi kuna watu walifungwa kwa kusema Yesu si Mungu ??? kwa nini wakamatwe ?? na nchi haina dini??

Unasema wewe hujali dini inakuwaje unasali ??
Tunafanya Biashara haramu ya Ujangili kivipi ?Unasema mapadre hawalipwi. Mbona kuna Sheikh juzi ameomba serikali iwalipe. Ushasikia Mchungaji, Padre au Askofu akiiiomba serikali iwalipe ? Hata mafundi wa ujenzi wakipata tenda misikitini hawaendi maana mnazingua kuwalipa. Unajisikiajie chimbuko la dini yenu kuna mafuta lakini mnakosa hata hela ya kuwalipa mafundi ujenzi. Zunguka mitaani Masheikh wanatembelea dala dala kweli ? Sheikh anakuja kwenye kisomo na boda boda halafu kabisa unasema una dini ? Amka ndugu yangu naona bado umelala tupo mwaka 2024.Yaani Jindi kanisa katoliki lilivypkuwa na taasisi na miradi utasema Vatican kuna visima vya mafuta.

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya Arobaini : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Hata historia yake hujui.. Ukristo uliingia Ethiopia kabla hata ya Uingereza Ufaransa Ureno Ubelgiji na Ujerumani... ambao ndio kwa kiasi kubwa wametawala africa..
Mzungu zamani alikuwa mpagani tu, na yeye Ukristo alipelekewa tu sema akautumia vizuri
 
Mimi sijachanganyikiwa nduguyangu diniyako inakulazimu kuhiji uarabuni na inakulazimu kusali kwa kiarabu. Mimi ninasali kwa kiswahili, naomba unijibu kati ya mimi na wewe nani anajikataa alikotoka na utamaduni wake. Bado nipo na wewe nataka uamke ndugu yangu.

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya thelathini na tisa : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
Sawa, Sasa jibu swali

Unasema unasali kwa kiswahili hiyo sala ni sala gani na unamfuata nani ??? Nani alikuambia usali kwa kiswahili au ni huyo mzungu wa Roma ??

Kwani Mungu ni nani ??? Huyo mungu wako wapi Alikuambia usali kwa kiswahili ?
 
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!
Mzungu ni bora mara Elf 1000 kuliko Murabu
Muarabu hana msaada wowote kwene hii dunia…..zaidi ya kusambaza chuki,ujinga na umasikini

Hata hii platform ni technologia ya Mzungu
 
Tunafanya Biashara haramu ya Ujangili kivipi ?Unasema mapadre hawalipwi. Mbona kuna Sheikh juzi ameomba serikali iwalipe. Ushasikia Mchungaji, Padre au Askofu akiiiomba serikali iwalipe ? Hata mafundi wa ujenzi wakipata tenda misikitini hawaendi maana mnazingua kuwalipa. Unajisikiajie chimbuko la dini yenu kuna mafuta lakini mnakosa hata hela ya kuwalipa mafundi ujenzi. Zunguka mitaani Masheikh wanatembelea dala dala kweli ? Sheikh anakuja kwenye kisomo na boda boda halafu kabisa unasema una dini ? Amka ndugu yangu naona bado umelala tupo mwaka 2024.Yaani Jindi kanisa katoliki lilivypkuwa na taasisi na miradi utasema Vatican kuna visima vya mafuta.

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya Arobaini : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
Yaani ile habari hukusoma? Na mwengone juzi tu kakamatwa akiuza viungo vya Albino. Hivi unaweza kuniambia usheikh umetajwa wapi kuwa ni cheo katika uislamu? Maana naona umekaza shingo Kama vile ni cheo Kama cha Padri au askofu?
 
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!
Nadhani karibu hizo dini zote zilizopo huziendea jamii na utamaduni wa dini hizo, ikianzia na dini ya kale zaidi ya Wahindu, utaelewa hili kama ukijua vizuri maana ya utamaduni.

Dini karibu zote hazitukuzi tamaduni za mtu mweusi, kwa kuwa tamaduni ni namna ya kuishi na hizi dini pia ni namna ya kuishi, kwani zinahusu mavazi, mazishi na maziko na hata ndoa.

Kupokea dini yoyote na kuiishi ni sehemu ya kupokea utamaduni mpya wa maisha, ndiyo maana watu wa dini fulani mtaendana hata kwa nchi tofauti.

Ova
 
Yaani ile habari hukusoma? Na mwengone juzi tu kakamatwa akiuza viungo vya Albino. Hivi unaweza kuniambia usheikh umetajwa wapi kuwa ni cheo katika uislamu? Maana naona umekaza shingo Kama vile ni cheo Kama cha Padri au askofu?
Narudia tena mbona masheikh wenu wanaomba serikali iwalipe ? Haujiulizi kama dini yenu ina matatizo ? Basi unasema kuwa Sheikh sio cheyo kuna umuhimu gani kusikiliza mawaidha ya Sheikh Jumaa kama U-Sheikh sio cheo ? Amka ndugu yangu mimi nimerudia swali tena na tena hakuna taasisi iliyoanzishwa na inaendeshwa na Mwarabu. Naomba nikuulize swali Vatican na Saudi Arabia nani ana hela.Maana Saudia ana hela ya mafuta na hela ya waislamu wanaohiji. Lakini sioni Taasisi walizoanzisha hapa Tanzania ? Au labda mimi ni mjinga naomba unipe maarifa ndugu yangu.

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya Arobaini na moja : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!
Na Uislamu ni kutukuza utamaduni wa nani?
 
Mtu mweupe na mwarabu nani bora. Maana kuna mmoja anaishia kujenga misikiti akijitahidi ataweka kisima cha maji kwa ajili ya kutawadha. Lakini kuna mwingine amejenga mashule, mahospitali na vyuo nchini kwetu. Nasubiri Jibu ndugu yangu ?
Hakuna Bora,hao wote ni washenzi tuu
 
Hata huo uislam ni kutukuza tamaduni za waarabu tu mi naona turudi kwenye asili yetu ya MIZIMU TU
 
Back
Top Bottom