Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!
Mid life crisis is haunting you. Hizi mada za kuhoji mambo ya kiroho ni dalili ya kipindi kigumu cha mpito unachopitia kwenye miaka yako ya kiutu uzima. Bila shaka kuna migogoro pia ya kifamilia, kiuchumi na kimahusiano inayokuandama ambayo huna majawabu yake sahihi na kuona ni kosa la aliye juu kutokukupa majibu. Hii thread ni namna yako ya kujifariji tu. Good news miaka itakavyo kwenda na mawimbi ya maisha kutulia utarudi mwenyewe kwenye imani yako na utakuwa hata unasali kila siku. Wewe si wa kwanza na hakika hutakuwa wa mwisho.
 
Kuna ruzuku KCMC inapewa na Serikali ? Jamani mbona mimi mwenyewe ningefungua hospitali. Ndugu yangu punguza kuswali na kukesha na masafu. Nasema hivyo kwa sababu umelala sana yaani utakuja kushtuka siku watoto wadogo uliowaona wakikua wakianza kukuletea dharau. Mimi nimekutajia taasisi mbali mbali zilizoanzishwa na kuendeshwa na wazungu. Mimi naomba unitajie taasisi hata moja ya waarabu unakwepa mara huku na kule. Mimi sigoogle wala sitafuti kitu kwenye internet na kuweka hapa kwa sababu ninaongea uhalaisia wa nchi. Ninashusha facts tu bado nipo na wewe.
. Kun
Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya ishirini na nane : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia."
Kakojowe ukalale , Kama hujui kuwa KCMC inapewa ruzuku na serikali. Endelea kupata elimu ya vitabu vyenu vinavyoeleza namna ya kuupiga vita uislamu

View: https://youtu.be/O8uoBCvxQy8?si=YEKrJ-Be1JokRv_O
 
Kakojowe ukalale , Kama hujui kuwa KCMC unapewa ruzuku na serikali. Endelea kupata elimu ya vitabu vyenu vinavyoeleza namna ya kuupiga vita uislamu

View: https://youtu.be/O8uoBCvxQy8?si=YEKrJ-Be1JokRv_O

Rafiki yangu unapotukana ndio ujue dawa inafanya kazi amka ndugu yangu naomba uniletee huo ushahidi wa kuwa wanapewa Ruzuku.Toka jana ninakuambia leta taasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu unakaa kimya. Unaleta video za watu wanaongelea dini huku hawana hata diploma ya theology. Shuke ni muhimu sana ndugu yangu na sipendi kuona mtanzania mwenzangu akipotea.Mimi bado nipo na wewe mpaka unitajie taasisi ya kiislamu iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu Tanzania.

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya ishirini na tisa : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia."
 
Rafiki yangu unapotukana ndio ujue dawa inafanya kazi amka ndugu yangu naomba uniletee huo ushahidi wa kuwa wanapewa Ruzuku.Toka jana ninakuambia leta taasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu unakaa kimya. Unaleta video za watu wanaongelea dini huku hawana hata diploma ya theology. Shuke ni muhimu sana ndugu yangu na sipendi kuona matanzania mwenzangu akipotea.Mimi bado nipo na wewe mpaka unitajie taasisi ya kiislamu iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu Tanzania.

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya ishirini na tisa : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia."
Nimekuambia hizo taasisi zitakuja vipi wakati Kanisa lako limeweka mkakati wa kuwapiga vita waislamu au hutaki ushahidi wa vitabu vyenu kutoka kanisa lenu la kikatoliki ?? Nakuwekea tena ushahidi mwengine huu hapa

View: https://youtu.be/XmHMwKaLSqM

Kuhusu KCMC soma hapa usichanganyikiwe

Serikali ya JPM yagundua madudu lukuki KCMC
 
Unaongelea Ushoga, Je Ushoga umeshamiri Bara au Visiwani ? Ndugu yangu mbona haujaleta marejesho kuhusu 'Bacha Bazi' naomba uende uka google na ulete mrejesho. Mimi ni mristo mkataliki lakini naangalia matendo na maslahi. Wakatoliki wangekuwa kama waarabu wangeishia kujenga makanisa na kuchimba visima ningebadili dini.

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya ishirini na saba : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia."

Nilikuuliza huyu Nabii Tito ametoka visiwani ?? Si Nabii wenu huyo kanisani ?? unakimbia swali , unaleta bacha bazi

Soma kitabu kinaitwa In the Closet of the Vatican , utajua kitu gani kanisa lako linafanya

angalia kwenye google , Piccoli Schiavi Invisibili , nini kinafanyika Italy
 
Nabii Tito hana tofauti na sheikh wa kiislamu, maana hana elimu yoyote kuhusu theology.Nimerudia tena na kukuambia hakuna nabii katika ukristu. Huku tuna Wachungaji, Mapadre na Maaskofu na hawa watu wote vyeo vyao vinategemea na elimu waliyonayo kwenye maswala ya theolojia. Enndeleakukwepa swali langu nililokuuliza. Nakuambia kama Kanisa Katoliki lingejenga makanisa tu nchi nzima peke yake. Ningeacha ukatoliki na hata ukristu mzima.Wewe unaniambia nisome kitabu wakati unamsikiliza sheikh ambaye hata diploma hana anakupa mawaidha ijumaa are you serious ndugu yangu ?

Nimeshakujibu kuhusu nabii tito naomba uniletee habari kuhusu Bacha bazi ? AU ukishindwa naomba unijibuswali langu hapa chini ?

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya thelathini : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia."
 
Nimekuambia hizo taasisi zitakuja vipi wakati Kanisa lako limeweka mkakati wa kuwapiga vita waislamu au hutaki ushahidi wa vitabu vyenu kutoka kanisa lenu la kikatoliki ?? Nakuwekea tena ushahidi mwengine huu hapa

View: https://youtu.be/XmHMwKaLSqM

Kuhusu KCMC soma hapa usichanganyikiwe

Serikali ya JPM yagundua madudu lukuki KCMC

Ndugu yangu unateseka sana rafiki yangu unaleta habari za JPM. Hivi kunarais aliyetudanganya kama yeye. Zile hela ambazo alidai ilitakiwa tulipwe zipo wapi? Unaleta siasa naomba usome hiyo link uliyonitumia halafu urudi uniambie KCMC inaendeshwa na wakina nani ? Yaani hizi swala tano zinawaharibu sana akili ndio maana Myahudi toka 1947 yupo Israel mpaka kesho mmeshindwa kumwondoa. Amka ndugu yangu umelala wakati tuko 2024. Hii sio miaka ya Ujamaa, Ujamaa ulishakufa toka miaka ya 90. Leo kila mtu kwao.

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya thelathini na moja : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Ndugu yangu unateseka sana rafiki yangu unaleta habari za JPM. Hivi kunarais aliyetudamnganya kama yeye. Zile hela ambazo alidai ilitakiwa tulipwe zipo wapi? Unaleta siasa naomba usome hiyo link uliyonitumia halafu urudi uniambie KCMC inaendeshwa na wakina nani ? Yaani hizi swala tano nzinawaharibu sana akili ndio maana Myahudi toka 1947 yupo Israel mpaka kesho mmeshindwa kumwondoa. Amka ndugu yangu umelala wakati tuko 2024. Hii sio miaka ya Ujamaa, Ujamaa ulishakufa toka miaka ya 90. Leo kila mtu kwao.

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya thelathini na moja : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Nasubiri majibu Sheikh wangu.

Soma wewe uniambie hicho Magufuli alichodanganya halafu angalia hii namna kanisa lako linavyowapiga vita waislamu

View: https://youtu.be/XmHMwKaLSqM
 
Nabii Tito hana tofauti na sheikh wa kiislamu, maana hana elimu yoyote kuhusu theology.Nimerudia tena na kukuambia hakuna nabii katika ukristu. Huku tuna Wachungaji, Mapadre na Maaskofu na hawa watu wote vyeo vyao vinategemea na elimu waliyonayo kwenye maswala ya theolojia. Enndeleakukwepa swali langu nililokuuliza. Nakuambia kama Kanisa Katoliki lingejenga makanisa tu nchi nzima peke yake. Ningeacha ukatoliki na hata ukristu mzima.Wewe unaniambia nisome kitabu wakati unamsikiliza sheikh ambaye hata diploma hana anakupa mawaidha ijumaa are you serious ndugu yangu ?

Nimeshakujibu kuhusu nabii tito naomba uniletee habari kuhusu Bacha bazi ? AU ukishindwa naomba unijibuswali langu hapa chini ?

Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya thelathini : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia."
Kama Hana elimu angeitwa Nabii? Wewe mbona hujaitwa? Halafu hujaniambia ametokea wapi ? Umekimbia? Halafu hujaleta ushahidi wa hizo kampuni zako kulipa milioni 20 wala Hao wanalipwa hizo pesa ?
Huja angalia kwenye google , Piccoli Schiavi Invisibili , nini kinafanyika Italy kwenye kanisa lenu
Unaleta chuki zako juu ya waarabu kwa kuwa ni waislamu. Na hizo chuki zako wazi kwenye vitabu vyenu

View: https://www.youtube.com/watch?v=PSKniA4QZ_E&pp=ygUkIEltYW5pIFBldHJvIE1iaW51IHphIG1ha2FmaXJpIDYgMTMg
 
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!
Dini zimefanya watu weusi kuwa wajinga. Badala ya kupambana na uporaji wa mali za Africa . Au kupambambana na hali za kiumasikini utawasikia wakisema na mwachia Mungu , au riziki anatowa Mungu . Angekuwa Mungu ndiye anaye towa riziki basi uraya na marekani wangekufa kwa njaa maana maovu wanayo yafanya ni mengi. Au Africa kusingekuwa na ufukara wa kufa mtu maana tuna makanisa na misikiti mingi kuliko viwanda na hospital.
 
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!
Umat mudi.... Siku nyingine ukiwa unaandika nyuzi humu hebu ondoa mahabati yako na mwarabu maana yeye ni mwanadu kama ilivyo kwa mwadamu yeyote yule:

Jambo la kusikitisha; waafrila wengi hawajui kanisa la kwanza lilianza Ethiopia ambayo Afrika,

Hawajui kwamba, Asilimia kubwa ya kimfumo Roman katoliki wameiga kutoka kanisa la Ethiopia iliyo Afrika..

Chakushangaza wengi hawajisumbui kusoma historia ya Afrika hasa ndugu zetu upande wa Umati mudi, wao wamekana hadi asili yao wameamua kuwa waarabu waishio mchamba wima chakechake.
 
Tuwekee ushahidi wewe uliyesoma kanisani , wa kanisa la kwanza lilianzia Ethiopia
 
Wazungu gani/wa wapi hao waliingizwa Ukristu Misri na Tunisia karne hiyo ya 1 AD?

Ehtiopia nako uliletwa na Wazungu?
Sasa kuna kizazi cha mapepo kimeibuka ambacho kinashambulia kila kitu kiandikwacho kuhusu Mungu kwa lengo lankuzima aunkuondoa hofu ya Mungunkwenye mioyo ya watu.

Sasa wanaona bora wafilane kuliko lwenda Kanisani au misikitini. Sasa wanaona bora walawitiwe na mbwa kulikonlwenda kanisani.

Ukiangalia alichoandika hapa ni mtu ambaye hajui historia ya Ukristo na hajui kuwa Ukristo ulikuwepo Afrika kabla ya ujio wa wakoloni afrika.

Hajui kulikuwa na wanafunzi wale 12 wa awali wa Yesh waliokuja Afrika kuhubiri na kuanzisha makanisa kabla ya ujio wa Ukoloni. Anachojua ni historia aliyosoma darasani form 2 kuwa wamisionari walikuwa tool ya ukoloni.

Katika wale mitume 12, mmoja alianzisha na kuwa Askofu wa Kwamza pale Alexandria Misri na aliuawa pale kwa kupigwa Mkuki. Mwingine alianzisha Ukristo Ethiopia na kuwa askofu wa kwanza pale Ethiopia.

Katika miaka 3 ya huduma ya Yesu kulikuwa na wanafunzi wake Waafrika. Hata baada ya kupaa kwake, katika mitume na manabii wa awali kulikuwa na weusi. Kornelio kwenye Matendo ya Mitume 10 alikuwa Mwafrika. Niger Nabii alikuwa Mwafrika.

Sasa katoto ka 2000's kwa kufuata mkumbo wa mawakala wa Shetani anakuja kushambulia Ukristo bila jufikiria wala kujua historia. Inasikitisha na inatakiwa tuwaonee huruma.
 
Knowledge ni knowledge, history ni history huwezi kuvibadilisha. Vitabakia kama vilivyo
Kwamba mleta uzi hujui kuwa Ukristo ulikuwepo Afrika kabla ya Ukoloni? Kwamba hujui kuna wamisionari walifika baadhi ya maeneo ya Afrika na kukuta Ukristo?
 
Missionaries, karnebya 15 AD
You are the dumbest man in JF. Nyie vijana jaribuni kuficha nyuchi za akili zenu kwa kupost vutu visivyo na kicwa wala miguu. Jitahidini kuutafuta ukweli kabla hamjapost ili msijitie aibu.

Ukristo ulikuwepo Afrika kabla ya wakoloni. Vitabu vingi vya historia nje ya mfumo wa historia ya form 2 au 3 uliyoisima vinaeleza vizuri kuhusu historia ya Ukristo.

Mathayo miongozi mwa wanafunzi wa kwanza wa Yesu yule aliyeandika kitabu cha Injili ya Mathayo alikiwa askofu wa Kwanza wa Kanisa pale Ethiopia na aliuawa pale. Wamisionari walipofika Ethiopia walikuta makanisa na hata sasa Biblia ya kale zaidi duniani inapatikana Ethiopia.

Mwinjikisti Marko aliyeandika Injili ya Marko alikuwa mwanzilishi wa Kanisa na Askofu wa Kwanza pale Alexandria Misri na aliuawa pale Misri Mkuu.

Mathiya aliyechukua utume wa Yuda Iskariote alifika Mauritania kuhubiri. Akaanzisha kanisa na then akaenda Uingereza kuhubiri na kuuawa huko.

Hujui kuwa Wazungu kupitia Roman Empire walikuja kujifungamanisha na Ukristo baadaye sana baada ya Mfalme au Kaisari Costantino ambaye Mama yake alikuwa Mkristo kuota Alama ya Msalaba ikimshindia vita na aliahidi kuwa kama atashinda vita atakuwa Mkristo na tawala yake itakuwa ya Kikristo.

Unashindwa kuelewa kuwa kwa wanafunzi wa mwanzo wa Yesu kulikuwa na waafrika na ndio maana wakati wa Pentecoste kulikuwa na watu toka Libya walioenda Yerusalem kuabudu na wakaamini siku hiyo hiyo.

Kwamba hufahamu towashi wa kushi alitoka Ethiopia na yeye na familia yake yote waliamini wote.

Please, fanya utafiti kabla ya kuandika vitu mkuu.
 
Tuwekee ushahidi wewe uliyesoma kanisani , wa kanisa la kwanza lilianzia Ethiopi
Nani kakwambia nimesoma kanisani?

Elimu niliyo nayo nimeipata shule za kawaida tu....

Tafuta vitabu vifuatavyo,
* Kanisa la kwanza.
*Ukristo kwa mtazamo wa Afrika.
*Biblia ya Afrika.

Hii taarifa nakupa kama zawadi..
Pia kama hujui hakuna mzungu kaandika Biblia ila Waafrika, wazungu wao wametafri tu.. tena hiyo tafsiri wameifanya miaka ya hivi karibuni tu ..

N:B mcha Mungu wa kweli haabudu utamuduni wa mtu au jamii Fulani isipokuwa Mungu tu..

Mimi huwa nawaambiaga sana vijana na wazee kila mara tukutanikapo ibadani mwisho wa wiki kwamba, Mungu ni wautaratibu, na mtu anaye mcha Mungu hawezi shinda kanisani 24/7 isipokuwa kwa siku maalum tena kwa saa kadhaa, kama ana jambo la kiroho sana basi ni yeye na Mungu akeshe kwa muda ambao anauona yeye ni sahihi kwa kadiri Roho mtakatifu atakavyo muongoza,

Pia nawakumbushaga Mcha Mungu wa kweli anafanya kazi kwa bidii,

Mcha Mungu wa kweli mzalendo wa nchi yake na pia anapenda tamaduni zake si zakigeni..

Mcha Mungu wa kweli hamchukii mwenzake/ mwanadamu mwenzake...
 
Mkuu umedadavua vyema na hili wakibisha hawa ndugu zetu wa Umat mudi... Basi tunawe mikono kama Pilato alivyo nawa pale watu walipolazimisha Yesu asulubiwe wakati hakuona kosa alilotenda Yesu... Sasa hawajamaa hawana hoja wala rejea ya Yale wayasemayo isipokuwa kutetea waarabu tu..
 
Nani kakwambia nimesoma kanisani?

Elimu niliyo nayo nimeipata shule za kawaida tu....

Tafuta vitabu vifuatavyo,
* Kanisa la kwanza.
*Ukristo kwa mtazamo wa Afrika.
*Biblia ya Afrika.

Hii taarifa nakupa kama zawadi..
Pia kama hujui hakuna mzungu kaandika Biblia ila Waafrika, wazungu wao wametafri tu.. tena hiyo tafsiri wameifanya miaka ya hivi karibuni tu ..

N:B mcha Mungu wa kweli haabudu utamuduni wa mtu au jamii Fulani isipokuwa Mungu tu..

Mimi huwa nawaambiaga sana vijana na wazee kila mara tukutanikapo ibadani mwisho wa wiki kwamba, Mungu ni wautaratibu, na mtu anaye mcha Mungu hawezi shinda kanisani 24/7 isipokuwa kwa siku maalum tena kwa saa kadhaa, kama ana jambo la kiroho sana basi ni yeye na Mungu akeshe kwa muda ambao anauona yeye ni sahihi kwa kadiri Roho mtakatifu atakavyo muongoza,

Pia nawakumbushaga Mcha Mungu wa kweli anafanya kazi kwa bidii,

Mcha Mungu wa kweli mzalendo wa nchi yake na pia anapenda tamaduni zake si zakigeni..

Mcha Mungu wa kweli hamchukii mwenzake/ mwanadamu mwenzake...

Soma hii halafu utakuja kujadili

Ongeza na hii
Acts

When they had entered the city, they went to the room upstairs where they were staying, Peter, and John, and James, and Andrew, Philip and Thomas, Bartholomew and Matthew, James son of Alphaeus, and Simon the Zealot, and Judas son of James.

1 Corinthians 16:19

19 The churches in the province of Asia send you greetings. Aquila and Priscilla greet you warmly in the Lord, and so does the church that meets at their house.

Colossians 4:15

15 Give my greetings to the brothers and sisters at Laodicea, and to Nympha and the church in her house.

From which we see that at in the Pauline tradition, that community used private houses for meetings and worship.

Here is possibly the earliest example known to archaeology, found in the Roman frontier town of Dura Europos on the west bank of the Euphrates:

Dura-Europos church: “apparently a normal domestic house converted for worship some time between 233 and 256, when the town was abandoned after conquest by the Persians.[3]”
 
Back
Top Bottom