Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

Umeiona kama huna uwezo wa kuelewa kichwa cha habari sio tatizo langu. Ni lako. Nijibu tena Christianity is glorifying white suprimacy
Ni white gani hao wanaokuwa grorified na Ukristu? Wa kutoka nchi gani kwa mfano? Maana UK wanaona Romania siyo white. Sasa ni white gani hao unaowaongelea? Maana Yesu hakuwa White.
 
Ni white gani hao wanaokuwa grorified na Ukristu? Wa kutoka nchi gani kwa mfano? Maana UK wanaona Romania siyo white. Sasa ni white gani hao unaowaongelea? Maana Yesu hakuwa White.
Oh well, Europians
 
Mtu mweupe na mwarabu nani bora. Maana kuna mmoja anaishia kujenga misikiti akijitahidi ataweka kisima cha maji kwa ajili ya kutawadha. Lakini kuna mwingine amejenga mashule, mahospitali na vyuo nchini kwetu. Nasubiri Jibu ndugu yangu ?
Aisee😁😁
 
Mambo mengine kama huyaelewa ni heri kuoiga kimya badala yakr unataka na jamii nzima kuchukua ujinga huo huo, wewe komaa na imani yako acha wengine waabudu wanachokiamini as long as hauvunji sheria za nchi
 
Mtu mweupe na mwarabu nani bora. Maana kuna mmoja anaishia kujenga misikiti akijitahidi ataweka kisima cha maji kwa ajili ya kutawadha. Lakini kuna mwingine amejenga mashule, mahospitali na vyuo nchini kwetu. Nasubiri Jibu ndugu yangu
Kwa uislam siendi huko lkn umeona point.
 
Hata uislam pia ni utamaduni wa mwamed na waarabu wenzake.........wewe endelea kupiga manyanga na kuagua ..........Acha kabisa na piga marufuku kuvaa madera......eti unaita kanzu huku afrika before ilivaliwa wapi?? Kama sio mwarabu na ndugu wa mudi kuzireta
 
Ni white gani hao wanaokuwa grorified na Ukristu? Wa kutoka nchi gani kwa mfano? Maana UK wanaona Romania siyo white. Sasa ni white gani hao unaowaongelea? Maana Yesu hakuwa White.
Hata kama huyo Yesu angekuwa yellow. Point ni ile ile walikija kwa hila
 
Back
Top Bottom