Jagwanana
Senior Member
- Jul 3, 2024
- 130
- 224
- Thread starter
- #41
Wavae tu haina shida kbs kwangu. Hata mwng anaweza kulivaa ni vazi rasmi la mazingira ya joto. Vazi halina shidaHata uislam pia ni utamaduni wa mwamed na waarabu wenzake.........wewe endelea kupiga manyanga na kuagua ..........Acha kabisa na piga marufuku kuvaa madera......eti unaita kanzu huku afrika before ilivaliwa wapi?? Kama sio mwarabu na ndugu wa mudi kuzireta