Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
We umetoka Tanzania na Tanzania siyo nchi ya kiislamu. Huku waliotoka Bangladesh,Pakistani ,Jordan na nchi zinginezo wanareport kila baada ya miezi sita.Usidanganye ujerumani hamna hicho kitu , mimi nimefika matra zaidi ya ishirini tokea 1986
Waarabu ni weusi wenzetu!Na uislamu je
We umetoka Tanzania na Tanzania siyo nchi ya kiislamu. Huku waliotoka Bangladesh,Pakistani ,Jordan na nchi zinginezo wanareport kila baada ya miezi sita.
Hakuna ndugu yangu wapo wanafunzi na watu wenye bluecard huku wana-report kila baada ya miezi sita mpaka pale watakapopata permanent resident permit.hao wanaoripoti ni watu waliopewa permits za miezi 6 , na kila miezi sita wana renew hizo permits zao , hayo yapo nchi nyingi za ulaya na si ujerumani peke yake , wala si kwa waislamu tu ni kwa wote waliopewa hizo permits
Kwaiyo wewe ni mwarabu?Waarabu ni weusi wenzetu!
Hakuna ndugu yangu wapo wanafunzi na watu wenye bluecard huku wana-report kila baada ya miezi sita mpaka pale watakapopata permanent resident permit.
Haujanielewa ndugu yangu wananchi wanaotoka nchi za kiislamu wanatakiwa warepoert kufanya security check kila baada ya miezi sita haijalishi kama wana permit za miaka miwili, mitatu au mmoja. Na haijalishi dini zao kuna mmoja ni muhindi ila ni raia wa bangladesh ana permit ya miaka miwili lakini lazima a-report kila ´baada ya miezi sita.si ndiyo wanapewa permits za miezi sita ?? pia wako wanaopewa za mwaka na wako wanaopewa za miaka miwili
Wakimaliza inabidi waka renew ndio system za nchi nyingi za Europe hivi sasa
Haujanielewa ndugu yangu wananchi wanaotoka nchi za kiislamu wanatakiwa warepoert kufanya security check kila baada ya miezi sita haijalishi kama wana permit za miaka miwili, mitatu au mmoja. Na haijalishi dini zao kuna mmoja ni muhindi ila ni raia wa bangladesh ana permit ya miaka miwili lakini lazima a-report kila ´baada ya miezi sita.
Nimakutajia huko juu bangladesh, pakistan na zinginyezo. Zipo nyingi tu .kwani kuna nchi zipi ya kiislamu zaidi ya hizi mbili zinazojiita za kiislamu Iran na Saudi arabia ??
Nimakutajia huko juu bangladesh, pakistan na zinginyezo. Zipo nyingi tu .
Hizo nchi si za kiislamu japo zina waislamu wengi
View attachment 3163391
Kama kawaida muhimu ni misikiti wakizidi sana ni visima kwa ajili ya maji ya kutawadhia. Hawajengi shule, zahanati wala vyuo mtapata akili. Mnatakiwa mkeshe madrasa na elimu dini ili muwe watumwa. Amkeni wavaa makobazi
Acha tu. UZUZU, UJINGA NA UMASKINI NI SHIDA!Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.
Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.
Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!
Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.
Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.
Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.
Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.
Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.
Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!
Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!
Hiyo siyo agenda ya makanisa, ni agenda ya nchi zote tajiri ukianza na Marekani, Uingereza, Ujerumani, Urusi, n.k. Ndiyo maana wanapigana vikumbo kutafuta urafiki na uwekezaji katika bara hili. Makanisa hayana viwanda wala migodi, makanisa yanapata pesa kutoka kwa waumini wake.
hii ndiyo faida ya uislamu naona mna maendeleo makubwa sana
hii ndiyo faida ya uislamu naona mna maendeleo makubwa sana
View: https://www.youtube.com/watch?v=qODmCCUvLUw&t=171s
View: https://www.youtube.com/watch?v=vjncJjZ5jcw
Hiyo siyo agenda ya makanisa, ni agenda ya nchi zote tajiri ukianza na Marekani, Uingereza, Ujerumani, Urusi, n.k. Ndiyo maana wanapigana vikumbo kutafuta urafiki na uwekezaji katika bara hili. Makanisa hayana viwanda wala migodi, makanisa yanapata pesa kutoka kwa waumini wake.
1. Kutukuza watu weupe gani? maana hata waarabu, wayahudi na wazungu ni weupe.Umeiona kama huna uwezo wa kuelewa kichwa cha habari sio tatizo langu. Ni lako. Nijibu tena Christianity is glorifying white suprimacy
1. Kutukuza watu weupe gani? maana hata waarabu, wayahudi na wazungu ni weupe.
2. Wazungu gani ambayo wanatukuzwa na ukristo?
3. Yesu ni myahudi. Je, Yesu naye ni mzungu?