Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

adwani

Mzungu anahusika kwa kuwapatia kazi na mapesa na kuwapeleka ulaya na mkirudi ndio mnajipatia kirismasi ya chee hapa

View attachment 3110184
Wapi kwenye video wamemtaja mzungu au mzungu ameonekana akigawa hizo ndizi za Krismasi ? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ . Najua unaumia sana kupiga rakaa huku matokeo hauyaoni. We kweli unatetea ujinga ndio maana wapalestina wanauliwa kila kukicha haujiulizi. Mzungu anahusikaje kwenye hii video πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡πŸ‘‡

Nakwambia kama Uislamu ungejenga shule, vyuo, taasisi na mahospitali kama wakatoliki ningehama dini na kuwa muislamu. Mimi sio mjinga ndugu yangu.
Hapo juu umelalamika umeniuliza mara ya sita πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡
1726406045147.png

Mbona mimi kuna swali nimekuuliza zaidi ya mara mia haujaleta majibu ? Naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya mia moja na sabini na tano nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Huko juu nilikuambia ''usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia ''. sasa tunaelekea mia mbiliπŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

Tumeshafikisha mia na moja .Narudia tena kwa mara ya mia moja na sabini na tano "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe kwa ajili ya kukuelimisha
 
View attachment 3110237

Taasisi ya mzungu hiyo imempa pesa na kumpeleka Ujerumani , karudi akaona akajipatie uhondo wa kirismasi😜😜😜

Sasa tuache kutukuza utamaduni ulioleta, diesel engine, ndege, meli,gari za umeme, internet, simu, tv, tutukuze uchafu wa kiarab wa kubanduana makalio, na kuoa vitoto vya miaka 9,!
Mimi nashagaa mtoa mada, hajatoa kuhusu waarabu au uislamu lakini watoa maoni nashagaa tena?
 
Taasisi ya mzungu hiyo imempa pesa na kumpeleka Ujerumani , karudi akaona akajipatie uhondo wa kirismasi😜😜😜

View attachment 3110297
Wapi kwenye video wamesema alienda ujerumani. Umechoka kupiga rakaa sheikh wangu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .Wapi kwenye video wamemtaja mzungu au mzungu ameonekana akigawa hizo ndizi za Krismasi ? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ . Najua unaumia sana kupiga rakaa huku matokeo hauyaoni. We kweli unatetea ujinga ndio maana wapalestina wanauliwa kila kukicha haujiulizi. Mzungu anahusikaje kwenye hii video πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡πŸ‘‡

Nakwambia kama Uislamu ungejenga shule, vyuo, taasisi na mahospitali kama wakatoliki ningehama dini na kuwa muislamu. Mimi sio mjinga ndugu yangu.
Hapo juu umelalamika umeniuliza mara ya sita πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡
1726406045147.png

Mbona mimi kuna swali nimekuuliza zaidi ya mara mia haujaleta majibu ? Naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya mia moja na sabini na sita nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Huko juu nilikuambia ''usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia ''. sasa tunaelekea mia mbiliπŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

Tumeshafikisha mia na moja .Narudia tena kwa mara ya mia moja na sabini na sita "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe kwa ajili ya kukuelimisha
 
View attachment 3110400

Ndio Taasisi zako zilivyomfikisha huyu kijana baada kumpa pesa nyingi na kumpeleka Ujerumani karudi n kutafuta kirismasi kwa nguvu

View attachment 3110491
Wapi kwenye video wamesema alienda ujerumani. Umechoka kupiga rakaa sheikh wangu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .Wapi kwenye video wamemtaja mzungu au mzungu ameonekana akigawa hizo ndizi za Krismasi ? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ . Najua unaumia sana kupiga rakaa huku matokeo hauyaoni. We kweli unatetea ujinga ndio maana wapalestina wanauliwa kila kukicha haujiulizi. Mzungu anahusikaje kwenye hii video πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡πŸ‘‡

Nakwambia kama Uislamu ungejenga shule, vyuo, taasisi na mahospitali kama wakatoliki ningehama dini na kuwa muislamu. Mimi sio mjinga ndugu yangu.
Hapo juu umelalamika umeniuliza mara ya sita πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡
1726406045147.png

Mbona mimi kuna swali nimekuuliza zaidi ya mara mia haujaleta majibu ? Naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya mia moja na sabini na saba nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Huko juu nilikuambia ''usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia ''. sasa tunaelekea mia mbiliπŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

Tumeshafikisha mia na moja .Narudia tena kwa mara ya mia moja na sabini na saba"Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe kwa ajili ya kukuelimisha
 
Ukristo haukuletwa na wazungu,ukristo ulianzia africa Ethiopia,wao walienda kuongeza,kuboresha,kupunguza, kiufupi walienda kuuedit ndo wakakuletea wewe uliekua haujakufikia
 
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!

View: https://www.facebook.com/reel/1309124723770687
 
Mtu mweupe na mwarabu nani bora. Maana kuna mmoja anaishia kujenga misikiti akijitahidi ataweka kisima cha maji kwa ajili ya kutawadha. Lakini kuna mwingine amejenga mashule, mahospitali na vyuo nchini kwetu. Nasubiri Jibu ndugu yangu ?
Unajengewa kwani wewe huna mikono,Waafrika mna ufala mwingi.
 
Katika mambo najilaumu hapa Duniani ni kiwapa watoto wangu majina ya wazungu,ila nitayabadilisha.
 
Unajengewa kwani wewe huna mikono,Waafrika mna ufala mwingi.
Mwafrika amejenga nini ndugu yangu ? Zunguka nchi nzima nenda upanga hapo uone wahindi na waarabu wanavyosukuma magari ya gharama. Endelea kupiga rakaa ndugu yangu. Nakuambia tungekumbatia wazungu kama wakenya tungefika mbali. Dunia nzima inaijua Kenya na Nairobi Sisi tumeingia kubwa wajinga kwa kuwakumbatia wavaa makobazi. Ukienda Kenya matajiri wakubwa ni wakenya halisia kuanzia kina Kenyatta mpaka marehemu Nicolas Biwott
 
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!
Hulazimishwi. Basi mfuate Mohammad jangili.

View: https://x.com/asli_nabi/status/1842859876646592800
 
Umenena vema. Kwangu leo ukristo umebaki kama aina fulani ya ustaarabu katika jamii zetu ili uonekane mtu wa maana lazima uwe na dini hasa hizi zilizokuja na meli. Kwa baadhi imebaki kama kinga ya kuzikwa kwa heshima pale atakapokuwa amefariki japo hakuna uthibitisho huko aendako (Mbinguni au motoni) imani hiyo ina mchango kiasi gani na kwamba kama kweli maeneo hayo yapo. Waumini wengi wa makanisa ya kiroho wako tayari kutembea na udongo wa Israeli (Taifa la wauwaji na wamwaga damu) kwamba una baraka lakini hawako tayari kutumia dawa zetu za asili wakisema ni upagani (Hiki ni kiwango kikubwa sana cha kutawaliwa kifikra). Watu wetu hawana heshima kwa wazee wetu waliotangulia (Ancestors) lakini wako tayari kulipa maelfu ya dola za Kimarekani kuhiji kwa ajili ya ibada na kutoa sadaka katika makaburi ya kina Yesu, Petro na hao wanaoitwa watakatifu wapatikanao nchi ya ahadi (Israeli) na huko Rumi. Dini ni biashara kubwa sana leo na imetajirisha watu wengi sana. tuamke na tujikomboe na turudi katika tamaduni zetu na tumuenzi Mungu wa mtu mweuzi (The God of Alkebulan our beutiful continent they called it Africa).
 
Walioenda hija wanabebwa na wazungu hawajui hata kiarabu mnategemea kuwapiga Israeli kweli ? Acheni kupiga rakaa ndugu zangu angalieni ukweli. Mwarabu anamzizidi mzungu ? Dubai imejengwa na watumwa, Mwarabu analipa kuliko Mzungu?

View: https://youtu.be/-TcqV5hSLg4
 
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!
NA ISLAM ULIINGIZWA NA NANI AFRICA?
 
Back
Top Bottom