Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Ndugu yangu Ukristu sikuanzisha mimi wala babu yangu, na Uislamu haujaaanzisha wewe wala babu yako. Hizi dini tumeletewa , na kama tumeletewa tunataakiwa tujiulize. Walioleta dini wanatujali sisi kama binadamu wenzao ama kama watumwa. Maana ukitembea Tanzania nzima unaweza ukadhani waarabu hawana mafuta.Wazungu wamefanya mambo mengi sana mpaka kesho. Hakuna taasisi inayolipa vizuri kumshinda mzungu mpaka serikali haifikiii.
Madwari Madwari
DHAMBI YA ASILI
Katika Agano la Kale kitabu cha kwanza, kinachoitwa Mwanzo, imo hadithi ya kuumbwa mtu na kuanguka kwake. Hivyo ndivyo inavyosimuliwa alivyoanguka Adam kutokana na kukosa neema:
Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula, walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.
Mwanzo 2.15-17
Juu ya hivyo lakini Adam kwa kushawishiwa na mkewe, Hawa, aliasi amri ya Mungu na akala matunda ya mti wa ujuzi aliyokatazwa. Mungu akawalaani wote wawili:
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala. Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako; michongoma na miiba itakuzalia, nawe utakula mboga za kondeni; kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, na mavumbini utarudi.
Mwanzo 3.16-19
Kwa ajili ya dhambi yao hiyo, Kanisa linasema, Adamu na Hawa wakakosa neema ya kutakaswa, haki ya kuwapo Mbinguni na vile vipawa vyao mahsusi; ndio ikawa waweza kufa, kuteseka, na kuwa na matamanio makubwa kutenda maovu na wakafukuzwa kutoka bustani ya Paradisio (Firdausi).
Kwa sababu ya dhambi ya Adamu wanaadamu wote wakizaliwa wanakosa neema ya utakaso na wanarithi adhabu yake.
Hii ndiyo inayoitwa dhambi ya asili.
Kuna swali nimekuliza zaidi ya mara mia hamsini na nane haujajibu? Kiburi cha kutaka ujibiwe unatoa wapi ? Imetokoea mombasa leo asubuhi hii 👇👇👇Hatari sana jiulize kwanini mashoga wamejaa walipojaa waislamu ? Kwa nini ushirikina umejaa walipojaa waislamu ?
Pesa dio kila kitu ndugu yangu.Ndugu yangu najua hapo ulipo ukipata shida ya mgonjwa ghafla hospitalini ndio utajua umuhimu wa pesa ? Utaanza kupigia watu wakuchangie. Nakuhakikishia kama hauna rafiki mkristu mgonjwa wako hatoboi. Utaishiwa kuchangiwa rambi rambi msibani. Sikuombei mabaya lakini kama mpaka leo mwaka 2024 haujui umuhimu wa hela we haujalala bali umekufa.
Hebu angalia mwaka 2018(miaka sita iliyopita) waarabu wanawafanyaje waafrika. 👇 👇 👇
Unasema umeniuliza mara ya saba angalia huko chini kuna swali mnimekuuliza zaidi ya mara mia na ishirini na saba na haujajibu 😂 😂 😂 .Wapi imeandikwa kuwa adamu alimuoa Eva akiwa na umri wa mwaka mmoja ? Kumbe na wewe unataka uoe watoto wadogo unajua maana ya pedophile ? Kama Bakwata ni usalama wa taifa unaswalia wapi chooni ? Unasema ni muvi ndugu yangu wanaofanya mahojiano ni wakristu ? 😂 😂 😂 😂 Haya ndiyo mafundisho ya Uislamu ? Tumia quran kumpinga huyu sheikh hapa chini.Maaana muamedi alimuoa Aisha akiwa na miaka sita na akaanza kujamiana nae alipofikisha miaka 9. Naona bado mnaendeleza gurudumu kama zamani. Hebu nifafanulie inakuwaje sheikh anaongea na binti mdogo kumshawishi aolewe ? Basi tumia Quran kumpinga huyu sheikh hapa chini 👇 👇👇👇
Haya ndiyo mafundisho ya Uislamu ?Are you serious ? njoo ulezee kuhusu Bacha Bazi kijana ? Bado haujaelezea kuhusu huu utamaduni na inafanyika wazi wazi.Na Bado tumeongea sana huko nyuma kuhusu Bacha Bazi lakini haujajibu chochote ndugu yangu. Naomba unifafanulie haya mambo hapa chini ni sahihi. Maana haya yanafanyika wazi wazi uarabuni. Na ndio maana ushoga umejaa visiwani kuliko bara. Nasubiri majibu ndugu yangu. Mtoto wa kiume amevalishwa nguo za kike na kucheza kwenye sherehe. Mwenye dau kubwa anamnunua na kuawiti mpaka kifo kiwatenganshe. Nasubiri majibu ndugu yangu👇 👇 👇 👇 👇
Vipi kuhusu huyu binti aliyeolewa yeye na binamu yake kwa mzee wa miaka 60. Hawa ni wazungu ? Nayo imeigizwa maana hii ni interview imefanywa na hao hao waaarabu waliotuletea uislamu naomba ujibu ndugu yangu 👇👇👇👇
Haya na hii ya binti ambaye wa miaka kumi aliyeolewa na kijana wa miaka 26 nayo ni interview imefanywa na hao hao waaarabu waliotuletea uislamu naomba ujibu ndugu yangu 👇👇👇👇
Huko nyuma ulileta video ya massage ya kijapani ukasema ni ushahidi kuwa kanisa lina fanya mambo ya ajabu hii ni video ya kanisa ?
Link ya video kama hapo kwenye picha ni :
View: https://youtu.be/BVmlqagq0HU
Unasema Mapadri hawana hela niambie ni wapi mapadre waliomba serikali iwalipe mishahara kama masheikh wanavyofanya hapa chini ?
Nakwambia kama Uislamu ungejenga shule, vyuo, taasisi na mahospitali kama wakatoliki ningehama dini na kuwa muislamu. Mimi sio mjinga ndugu yangu.
Hapo juu umelalamika umeniuliza mara ya sita 👇 👇 👇
Mbona mimi kuna swali nimekuuliza zaidi ya mara mia haujaleta majibu ? Naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya mia moja na sitini na saba nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Huko juu nilikuambia ''usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia ''. sasa tunaelekea mia mbili👇 👇 👇 👇 👇
Tumeshafikisha mia na moja .Narudia tena kwa mara ya mia moja na sitini na saba "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe kwa ajili ya kukuelimisha