Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Sasa ndugu yangu mimi nimeongelea Tanzania maana tumempa mwarabu Bandari, Kiwanja cha ndege KIA, Serengeti, Loliondo n.k Yeye amefanya nini ? Nasubiri majibu ndugu yangu.Njoo huku Zanzibar nitakuonyesha , Hizo hospitali hakujenga muingereza , barabara , bandari, uwanja wa ndege , mashule , hakuna Mzungu alichokifanya . kulikuwa pia na reli muingereza kaiondosha. ule mji mkongwe haukujengwa na Muingereza. Umeme wa kwanza east africa ulikuwepo zanzibar.
Kwa taarifa yako hata taa za barabarani zilikuwepo Zanzibar kwanza kabla ya huko kwa mabwana zako London
Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya kumi na nane : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia."