Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Wakristu wengi hawapo serious na masuala ya kanisa. Hata wewe ukiamua kubatizwa nakupa mchongo uje huku tupige hela.
Umesema waarabu wammejunga miundombinu zanzibar. Tukichukua miundombinu ya Tanzania nzima Mwarabu anaweza kumfikia Mzungu. Je hiyo miundombinu imezalisha ajira ? Mazingira ya kazi na malipo yapoje yanawafikia wakristu wenzangu wazungu ? Nakwambia mimi nipo kimaslahi na ninaijua shida ndio maana nipo kwenye dini ya ukweli. Matajiri wote wa visiwani wanapata hela zao kutoka Bara. Hamna kilimo huko, kutwa mnashinda vijiweni. Nimeenda hadi pemba kazi nyingi zinafanya na wasukuma. Unadiriki kweli kulinganisha Visiwani na Bara ?
Namalizia kwa kuomba jibu la swali langu amabalo kutwa kukicha na kuuliza pasi na majibu. Naomba jibu la swali langu hapo chini 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇
Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma nimekuuliza zaidi ya mara 40. Narudia tena kwa mara ya Arobaini na nane: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
Unasema matajiri wote wa Zanzibar wamepata pesa kutoka Tanganyika , hizo pesa uliwapa wewe ??
Halafu ulivyokuwa mjinga unasema ulienda Pemba na huko kazi nyingi zinafanywa na Wasukuma . Hivi umesahau kuwa ulisema Taasisi za wazungu na kanisa lako limetoa ajira nyingi Tanganyika ????
Imekuwaje wasukuma wakakimbilia Pemba kutafuta ajira ?? 😛😛
NDIO NIKAKUAMBIA UJIBU SWALI LA MSINGI
NI MUNGU GANI UNAYEMUABUDU ????
Hiyo sala unayoisali kanisani kwa kiswahili ni sala gani ???
Jibu haya maswali kwanza , nipate kukuamsha