Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Huyo ndiye mungu wako na hiyo ndiyo sala yako ya kiswahili ?
Hii ni ibada ambayo wenye dini yao wanaiongoza kwa kiswahili inafanyika kesho.Mungu wetu ni wa kila jamii na dunia nzima. Je wewe ushawahi kuona uarabuni wanaswali kwa kiswahili ? Amka na ujiulize wewe na mwarabu mpo sawa mbele ya mwenyezi Mungu ? Amka ndugu yangu maisha ya kusubiri nyama yangamia Iddi. Au kusubiri kualikwa futari.Sikulazimishi uamini,mimi sio mjinga, bado nipo na wewe. Naomba jibu la swali langu hapo chini 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇
Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya hamsini nakuuliza. Narudia tena kwa mara ya Hamsini na nne: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.