Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Hukuniambia jee ungalikuwa wewe umeambiwa uvuwe nguo mbele za watu , ungalituonyesha hayo makalio yako tukaku search mpaka mkunduni kuwa hujaiba almasi ??
Nimekujibu mara nyingi tu hutaki kuangalia video
Hivi ndivyo taasisi yako ya wazungu ilivyokuwa ikiwakagua watanganyika nchini kwao
![]()
Mambo ya ndoa za watoto hivi leo yapo hata huko Marekani na hapa Afrika yamezidi
Waarabu hawa wanaoa watoto
View: https://www.youtube.com/watch?v=mKM3iyk-RKE&pp=ygUaY2hpbGQgbWFycmlhZ2UgaW4gYSBjaHVyY2g%3D
Waarabu wengine hawa wanauza watoto Belgium
View: https://www.youtube.com/watch?v=3BzmiV4XsF0&pp=ygUXY2hpbGRyZW4gc29sZCBpbiBicmF6aWw%3D
Waarabu wa Texas , Marekani kwenye ukatoliki huko wanauzwa watoto
View: https://www.youtube.com/watch?v=oNghKbk_bQM&pp=ygUXY2hpbGRyZW4gc29sZCBpbiBicmF6aWw%3D
Unavyotukana ndio najua kuwa unazidi kunielewa 😂 😂 😂 😂 . Wapi Texas watoto wanauzwa kama mboga ? Hebu angalia mwaka 2018(miaka sita iliyopita) waarabu wanawafanyaje waafrika. Ukimaliza angalia waarabu wanavyowanunua wenzao kama mboga hapa chini👇 👇 👇
Jiulize kwa utakachoona huku chini kama waarabu wananunua watoto wa Kiarabu je wewe mwafrika watakununua au watakuchukua bure kwa kukudanganya kwa misikiti na visima vya maji ya kutawadhia ?
Nimeshakujibu hata ingekuwa mimi namilikihuo mgodi ningefanya hivyo huvyo. Ndugu huu utaratibu ulikuwa unatumika kwenye migodi yote miaka hio yio Afrika peke yake. Mtu akatumia pesa zake kuchimba madini ataruhusije mumtie hasara. Siku hizi wana scan na X rays. Hata mimi ningekuwa namiliki migpdi ningevua watu nguo. Maana ninafanya kazi kwa faida yangu mimi na familia yangu. SIfanyii kazi watu wengine.
Unasema umeniuliza mara ya saba angalia huko chini kuna swali mnimekuuliza zaidi ya mara mia na ishirini na saba na haujajibu 😂 😂 😂 .Wapi imeandikwa kuwa adamu alimuoa Eva akiwa na umri wa mwaka mmoja ? Kumbe na wewe unataka uoe watoto wadogo unajua maana ya pedophile ? Kama Bakwata ni usalama wa taifa unaswalia wapi chooni ? Unasema ni muvi ndugu yangu wanaofanya mahojiano ni wakristu ? 😂 😂 😂 😂 Haya ndiyo mafundisho ya Uislamu ? Tumia quran kumpinga huyu sheikh hapa chini.Maaana muamedi alimuoa Aisha akiwa na miaka sita na akaanza kujamiana nae alipofikisha miaka 9. Naona bado mnaendeleza gurudumu kama zamani. Hebu nifafanulie inakuwaje sheikh anaongea na binti mdogo kumshawishi aolewe ? Basi tumia Quran kumpinga huyu sheikh hapa chini 👇 👇👇👇
Haya ndiyo mafundisho ya Uislamu ?Are you serious ? njoo ulezee kuhusu Bacha Bazi kijana ? Bado haujaelezea kuhusu huu utamaduni na inafanyika wazi wazi.Na Bado tumeongea sana huko nyuma kuhusu Bacha Bazi lakini haujajibu chochote ndugu yangu. Naomba unifafanulie haya mambo hapa chini ni sahihi. Maana haya yanafanyika wazi wazi uarabuni. Na ndio maana ushoga umejaa visiwani kuliko bara. Nasubiri majibu ndugu yangu. Mtoto wa kiume amevalishwa nguo za kike na kucheza kwenye sherehe. Mwenye dau kubwa anamnunua na kuawiti mpaka kifo kiwatenganshe. Nasubiri majibu ndugu yangu👇 👇 👇 👇 👇
Vipi kuhusu huyu binti aliyeolewa yeye na binamu yake kwa mzee wa miaka 60. Hawa ni wazungu ? Nayo imeigizwa maana hii ni interview imefanywa na hao hao waaarabu waliotuletea uislamu naomba ujibu ndugu yangu 👇👇👇👇
Haya na hii ya binti ambaye wa miaka kumi aliyeolewa na kijana wa miaka 26 nayo ni interview imefanywa na hao hao waaarabu waliotuletea uislamu naomba ujibu ndugu yangu 👇👇👇👇
Huko nyuma ulileta video ya massage ya kijapani ukasema ni ushahidi kuwa kanisa lina fanya mambo ya ajabu hii ni video ya kanisa ?
Link ya video kama hapo kwenye picha ni :
View: https://youtu.be/BVmlqagq0HU
Unasema Mapadri hawana hela niambie ni wapi mapadre waliomba serikali iwalipe mishahara kama masheikh wanavyofanya hapa chini ?
Nakwambia kama Uislamu ungejenga shule, vyuo, taasisi na mahospitali kama wakatoliki ningehama dini na kuwa muislamu. Mimi sio mjinga ndugu yangu.
Hapo juu umelalamika umeniuliza mara ya sita 👇 👇 👇
Mbona mimi kuna swali nimekuuliza zaidi ya mara mia haujaleta majibu ? Naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya mia moja na arobaini na sita nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Huko juu nilikuambia ''usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia ''. sasa tunaelekea mia mbili👇 👇 👇 👇 👇
Tumeshafikisha mia na moja .Narudia tena kwa mara ya mia moja na arobaini na sita"Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe kwa ajili ya kukuelimisha