Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
1. Mbona kwenye dini ya uislamu kuna mahakama?Makanisa ni njia yao ya kufanya ujasusi na kupata njia ya hizo serikali zao kuingia kiulaini
2. Mahakama inamsaidia Allah kuhukumu watu?
Unajua mtu akiacha uislamu akahamia dini nyingine adhabu yake ni kifo Muarabu ametunga hii sheria ili mtu akijiunga na chama asiweze kutoka😀😀😀😀