Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #41
Kwa "Perceptives" za Wamarekani ana represent waislamu.Huyo Binti ambaye anakaa na Malesbian ha represent waisilamu, sasa hivi yupo Busy kwenye Haki Za mashoga na wasagaji, ni pandikizi tu.
Udini unaujua wewe!!??Nyuzi za udini zimekuwa nyingi sana,mods litizameni hili sio kudeal na burning tu 😡
Huwa tunatafuta kuwakoga wakinzani wetu wa dini ili watuonee gere.Vilevile kujinasibisha huko,huwafanya "mahasidi" wetu kutuona/kufikiri na kuwateka akili kwamba tupo kamili gado kiimani yetu kuliko yao.Najaribu kuwaza ni kwa nini watu wengi wanaonesha kuwa ili uwe muislam mzuri ni lazima utumie mambo mengi ya kiarabu kuanzia kuvaa mpaka kuongea kwa lafidhi ya Kiswahili cha kiarabu.
Lakini pia wakristo wengi nao ili ionekane wewe ni mteule wa mungu uzungu ni lazima uwe ni sehemu ya maisha yako. Siku hizi kila anayejiita "Nabii" au "Mtume" ni lazima pia ajitahidi kuhubiri kwa kiingereza au aweke mtafisiri wa Kiswahili kwenda kiingereza.
Hivi huwezi kuwa Mkristo safi bila ya kuitwa Silvanus, Tarchistus, Moses, Jenipher, Peter au Magdalena? Na majina ya Mohamed, Hussein, Jumah, Hidaya, ndiyo alama ya Uislamu. Hivi mtu akiitwa CHANDIMU hawezi kuwa muislamu au mkristo?
Hivi Uislamu ni Uarabu na Ukristo ni Uzungu??
Mpumbavu ni wewe unayeenda nyumbani kwake, kwanini usikae kwa mmeoMtu mwenye hii Picha kwenye nyumba yake namuona mpumbavu
Tamaa za ngono mkuu. Hukawii kuzipandisha hata picha hahaaaKifua cha manyoya,hakuna haja ya pillow.... But yanachoma masikio hayo...kha
kuafrikanisha dini hizi ni jambo lisilowezekana. Dini huja na tamaduni zake.Tunaweza tukaziAfricanize Didi zetu pendwa, kuliko kuwa Wabaguzi kwa waluotuletea Ustaarabu.
Tusipende kushutumu kila kitu.
Linawezekana, hizi Dini ni za Kisemitic, Uislamu huko India/Pakistani wameweza kuufanya wa kienyeji na kuzaa Ahmadiya Ismailiyaa na Singasinga.kuafrikanisha dini hizi ni jambo lisilowezekana. Dini huja na tamaduni zake.
Kwa hiyo waliyoiweka kanisani na waumini tuwaitaje ?Mtu mwenye hii Picha kwenye nyumba yake namuona mpumbavu
Kwa kuwa tuna Low IQ ndiyo haitawezekana. Tamaduni zetu kwa vizazi vingi zimekubali kuchukua tamaduni za wengine na siyo kuzifanya zikubaliane na za kwetu. kwa ivo haiwezekani.Linawezekana, hizi Dini ni za Kisemitic, Uislamu huko India/Pakistani wameweza kuufanya wa kienyeji na kuzaa Ahmadiya Ismailiyaa na Singasinga.
Ukristo Waulaya wameweza kuufanya wa kienyeji hadi kuweka Image yao ya masaya kuwa awe na Blue eyes na Blond na mambo mengi.
Sasa sisi na low iq zetu tunajifanya hatujiwezi lolote mpaka turudi kwenye upagani na uchawi wa kutoa kafara za watoto kwa mizimu.
Nyingi zlikuwa za kishenzi na zisingetuletea maendeleo yeyote zaidi ya kulogana.Tamaduni zetu
MI ni mkristo ambaye najifunza mambo zamani nilikuwa Mtumwa WA kifikra but now sio hivyo but asilimia kubwa ya watz ni watumwa WA kifikra mpk Sasa.... Hawataki majina Yao wanataka kila kitu cha Slave masterMzee wa bandari wewe si mkristo pia? Na wewe Ni mtumwa?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
burning!Nyuzi za udini zimekuwa nyingi sana,mods litizameni hili sio kudeal na burning tu [emoji35]
Wapumbavu woteKwa hiyo waliyoiweka kanisani na waumini tuwaitaje ?