Wapo wanaoenda Pia nchi za kiarabu,
1.hujui kiarabu
2. Huangalii Vyombo vya habari vya kiarabu
3. Husomi magazeti ya kiarabu wala kitu chochote automatic kinachokujulisha habari za ndani za nchi za kiarabu
Ila unafahamu kila kitu kuhusu waarabu.
Nitakupa mifano mbalimbali
1. Tuanze na Palestina
Shirika la Wakimbizi Duniani linakadiria Kuna wakimbizi Takriban 5.6 Milioni wa kipalestina kati ya hao
-milioni 2 wapo Jordan (Nchi ya Kiarabu)
-laki 5 wapo Syria (Nchi ya kiarabu)
-around laki 5 wapo Lebanon (Nchi ya kiarabu) etc
Na hata nje ya Nchi za Kiarabu wapalestina wapo zaidi Chile kuliko eneo lolote lile.
Ila sababu una Angalia zaidi Vyombo vya habari vya Kimagharibi basi ukiona wapalestina Wakimbizi Uingereza ama USA basi unahisi tu wale ndo wakimbizi wote
Source
en.m.wikipedia.org
2. Tuje Syria
Nchi iliopokea Wasyria wengi ni Uturuki, then Kuna Brazil, Argentina, Then Ujerumani, Lebanon, Jordan etc. Nchi pekee ambayo ya Ulaya ambayo kidogo ina wakimbizi wengi ni Ujerumani ila wengi wapo Middle East na South America.
en.m.wikipedia.org
3.Yemen
Nchi ambayo wayemen wengi wamekimbilia ni Saudi Arabia, ikifuatiwa na Egpty,
Hivyo si kweli kwamba hawakimbilii Nchi za Kiarabu, majority wanaokwenda Nchi za kiarabu kuliko maeneo mengine yoyote duniani it's just wewe una Angalia zaidi Vyombo vya Kimagharibi ukiona hata 0.01 ya wakimbizi akili yako I naona ni wakimbizi wote wamekimbilia Ulaya.