Yah, pale misri waarabu walivamia juzi tu...wakateka na kuua weusi wote na kuwafukuza.Kwa mfano wengi wakiambiwa kuwa waliokuwa watawala zama Yusuph alikuwa utumwani Misri walkuwa ni watu weusi, atabisha mpaka atapike. Pharao walikuwa ni watawala weusi wa Misri.
Kuna watu hapa wamechezeshewa za uso na wala hawashtuki yani🤣Sasa jiulize yesu sana. Mtume wa alikuwa muarabu je yesu ana uhusiano gani na wazungu 😂😂😂? Ana alikuwa muisrael
Mkimbizi na mzamiaji ni watu wawili tofauti.Wakimbizi wanatoka nchini kwao kwasababu zakiusalama nakisiasa kwa ujumla na taratibu za kikimbizi ziko zinajulikana ila wazamiaji wengi wanazamia nchi zingine kwasababu za maisha bora.Sasa hebu tutafute na takwimu za wazamiaji ili tupate hali halisi.Wapo wanaoenda Pia nchi za kiarabu,
1.hujui kiarabu
2. Huangalii Vyombo vya habari vya kiarabu
3. Husomi magazeti ya kiarabu wala kitu chochote automatic kinachokujulisha habari za ndani za nchi za kiarabu
Ila unafahamu kila kitu kuhusu waarabu.
Nitakupa mifano mbalimbali
1. Tuanze na Palestina
Shirika la Wakimbizi Duniani linakadiria Kuna wakimbizi Takriban 5.6 Milioni wa kipalestina kati ya hao
-milioni 2 wapo Jordan (Nchi ya Kiarabu)
-laki 5 wapo Syria (Nchi ya kiarabu)
-around laki 5 wapo Lebanon (Nchi ya kiarabu) etc
Na hata nje ya Nchi za Kiarabu wapalestina wapo zaidi Chile kuliko eneo lolote lile.
Ila sababu una Angalia zaidi Vyombo vya habari vya Kimagharibi basi ukiona wapalestina Wakimbizi Uingereza ama USA basi unahisi tu wale ndo wakimbizi wote
Source
2. Tuje Syria
Nchi iliopokea Wasyria wengi ni Uturuki, then Kuna Brazil, Argentina, Then Ujerumani, Lebanon, Jordan etc. Nchi pekee ambayo ya Ulaya ambayo kidogo ina wakimbizi wengi ni Ujerumani ila wengi wapo Middle East na South America.
3.Yemen
Nchi ambayo wayemen wengi wamekimbilia ni Saudi Arabia, ikifuatiwa na Egpty,
Hivyo si kweli kwamba hawakimbilii Nchi za Kiarabu, majority wanaokwenda Nchi za kiarabu kuliko maeneo mengine yoyote duniani it's just wewe una Angalia zaidi Vyombo vya Kimagharibi ukiona hata 0.01 ya wakimbizi akili yako I naona ni wakimbizi wote wamekimbilia Ulaya.
nimetaja nchi zenye machhafuko tu, Palestina, Syria na Yemen ni nchi ambazo zina machafuko na wakimbizi, wazamiaji ni huku Africa kina Algeria, Morocco etc topic nyengine kabisa.Mkimbizi na mzamiaji ni watu wawili tofauti.Wakimbizi wanatoka nchini kwao kwasababu zakiusalama nakisiasa kwa ujumla na taratibu za kikimbizi ziko zinajulikana ila wazamiaji wengi wanazamia nchi zingine kwasababu za maisha bora.Sasa hebu tutafute na takwimu za wazamiaji ili tupate hali halisi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hichi chuma kina mume kweli?Lakini Brazil au Chile siyo nchi za Kiislamu/Kiarabu, Wasyria walioko Uturuki wako transit tu wakitoka hapo safari EU, BTW Ujerumani peke yake two million Muslim refugees mwaka 2015 peke yake na bado kuna Sweden, France na nchi nyingine za EU, Wasomali mamilioni wanakimbilia USA na EU Minesota US mpaka kuna Somali City anakotoka yule Senetor Ilan Omar Msomali ambaye anaitukana USA kila siku ingawaje imempa karibia kila kitu!
View attachment 2392702
Hichi chuma kina mume kweli?
Kama ni mke wa mtu basi.jaribu bahati yako labda anaweza kukukubali
Anaonekana alikuwa mzungu..
Tazama hii picha nayoikutaga kwenye nyumba nyingi za rafiki zangu Wakristo.
View attachment 2392614