Ukatoliki ni upagani na ulihusika kuua wakristoCatholic is he basis of Christians, wengine ni just wameshindwa kufuata misingi mizuri sana ya ukatoliki wakajitenga ila hata wap wanajua ukatoliki ndo baba lao.
Uislamu umeanzishwa na Roman Catholic church kwa mahitaji maalumuje ni dini gani iliyoanza sawa na Catholic, zote zimekuja miaka mingi sana baadae mingi sana alafu zikachomoza kutokea huko huko, iliyo anza kivyake ni uislamu na yenyewe pia ilikua baadae sana almost miaka 60 baadae
stori za kwenye kahawa unaleta huku sio,Ukatoliki ni upagani na ulihusika kuua wakristo
Kanisa la Roma lililazimika kuomba msamaha kwa Waprotestanti kwa sababu ya matukio ya kihistoria yaliyoathiri uhusiano wa makanisa hayo, hasa wakati wa Mapinduzi ya Kiprotestanti. Baadhi ya matukio muhimu ni:stori za kwenye kahawa unaleta huku sio,
ila vyovyote vile...
hata mtume paulo aliua sana wakristo lakini pia amehusika kwa kiasi kikubwa kuusambaza
pia hizo dini zote za ukristo zimetokana na Catholic
Mpaka Yesu anazaliwa, Rumi ilikua ikitawala kiserikali ( haikua na Dini).stori za kwenye kahawa unaleta huku sio,
ila vyovyote vile...
hata mtume paulo aliua sana wakristo lakini pia amehusika kwa kiasi kikubwa kuusambaza
pia hizo dini zote za ukristo zimetokana na Catholic
Hilo sio la UkristuNauliza kutaka kujua kati ya kanisa la Roma na la Ethiopia ni lipi la mwanzo?
injili zipo zaidi ya 20, vitabu vimepangwa hivyo kwenye biblia ila vilivyoandikwa ni vingi sanaWengine wanapinga ukatoliki kwa hoja ya ku'syncretize' na imani za kipagani kwa jicho la pili wana hoja.Nao kweli yao imetoka wapi tofauti na biblia mama(septuaginta)?Je,septuaginta(LXX) yenyewe ni sahihi kwa kiasi gani?Mbona biblia ina vitabu rejea ambavyo ni non canonical?Mbona anatomy(uchambuzi) ya vitabu vya biblia vinaonyesha nyongeza ya maelezo?Mfano:mfalme Daudi aliandika zaburi 76 tu.Hizo 74 mwandishi hajulikani,mtume Paulo aliandika nyaraka 8 tu,hizo 6 mwandishi hajulikani,nani aliidhinisha injili 4 tu ilihali mitume walikuwa 12?Wengine hawa kumwelewa YESU alipokuwa akifundisha?
Sijaelwa Wanazungumzia nini😁😁Hayo maneno yote yanalenga neno Kanisa based on etymology na symbolism yanashambulia ukatoliki wapi ?
DR Mambo Jambo karibu utupige brush Tena.
Dhehebu gani ambalo ni Wakristo wasio na shaka?Ukatoliki sio Ukristo,upo mbali mbali kabisa ,
Ukatoliki ulihusika kuua wakristo
Ukatoliki wamechanganya upangani ,siasa na dini kidogo kwa manufaa Yao
Mzee mm sihusiki na madhehebu,Dhehebu gani ambalo ni Wakristo wasio na shaka?
1. Ukatoliki na syncretism: Wengi wanapinga Ukristo wa Katoliki kwa kile wanachodhani ni mchanganyiko (syncretism) wa imani za Kipagani na za Kikristo. Kwa mfano, baadhi ya ibada na sherehe kama Siku ya Pasaka na Krismasi zinaweza kuonekana kuwa na mizizi katika tamaduni za Kipagani. Hata hivyo, Kanisa la Katoliki linadai kwamba baadhi ya tamaduni hizi zilibadilishwa ili kuwakubali waumini wapya kutoka katika tamaduni mbalimbali, lakini msingi wa mafundisho ya Kikristo ni kuhubiri Injili ya Yesu Kristo kama inavyopatikana katika Biblia.Wengine wanapinga ukatoliki kwa hoja ya ku'syncretize' na imani za kipagani kwa jicho la pili wana hoja.Nao kweli yao imetoka wapi tofauti na biblia mama(septuaginta)?Je,septuaginta(LXX) yenyewe ni sahihi kwa kiasi gani?Mbona biblia ina vitabu rejea ambavyo ni non canonical?Mbona anatomy(uchambuzi) ya vitabu vya biblia vinaonyesha nyongeza ya maelezo?Mfano:mfalme Daudi aliandika zaburi 76 tu.Hizo 74 mwandishi hajulikani,mtume Paulo aliandika nyaraka 8 tu,hizo 6 mwandishi hajulikani,nani aliidhinisha injili 4 tu ilihali mitume walikuwa 12?Wengine hawa kumwelewa YESU alipokuwa akifundisha?
historia haiwezi kukufikisha mbinguni, ndicho kinachowapoteza, mnajifariji na historia. hebu tueleze historia inakusaidiaje kumwona Mungu hapa duniani na milele mbinguni?
Akibisha Huyo Atakuwa Manjesta.Mpaka Yesu anazaliwa, Rumi ilikua ikitawala kiserikali ( haikua na Dini).
Rumi hiyo ya kiserikali ilikua ina Sheria zake, tamaduni zake , mila zake , kama vile Kuabudu mungu Jua, Sanamu za wakuu wake, Miti ( huu unaotumika kwenye Christmas) kwakua ni mti uliokua unahimili hali ya ukame, ivo ukachaguliwa kama mungu wamimea, waliabudu mungu mwanamke n.k.
Yesu anazaliwa mpaka anaanza kazi zake, watu wakamfuata ,nao wakaitwa WAKIRSTO ..yaan watu wa Yesu Kristo. .
Yesu anasulubiwa, anaacha wanafunzi wanaichapa injili Dunia .
Aliyekua Papa wa Rumi ya kiserikali COSTANTINE , Baada yakuona mapambano dhidi ya ukrsito yameshindwa na kwamba Tamaduni za Roma zinaelekea kupotea.
aliamua mwenyewe ,kujiingiza katika Ukristo na kua KIONGOZI MKUU wakwanza wa Rumi kua Mkristo.
Ni katika huo Ukristo wake aloingia, ndio akafanikiwa baadae kwanza, kuitenga Jumapili kua ibada Dunia nzima( akijua kwa kuiabudu siku hiyo ya jumapili ya mungu Jua ), Kua Krismas ifanyike 25 /12 kuendelea kusherekea mungu wa mimea n.k n.k .
Sasa nn kilichotokea ???
Baada ya Rumi sasa kua na mamlaka mbili za kiserikali na Kidini , wapo wakrsto baadae waloona hapana, Rumi inaenda kinyume na Mafundisho ya Yesu .
Wakristo hao wakajitoa kwa Rumi nakuanzisha makanisa yao ,namiaka ilivyozidi kusogea wakazidi kujiondoa na kuanzisha makanisa ndo ambayo Leo yapo.
ROMA, HAIJAWAH KUA KANISA LA MITUME.
LABDA KAMA HUIJUI HISTORIA,
wazijua zama za Giza????
Ambapo Rumi hii , iliua Wakristo zaidi ya million 100
Rumi iliua Wakristo mpaka mwaka 1798 ambapo Papa alichukuliwa mateka na Majeshi ya ufaransa , ndo ukawa mwisho wa mauaji ya Wakristo.
Mambo ni mengi , Ingia tafuta vitabu usome !!..... ROMA HAIJAWAH KUA KANISA LA MITUME.