Ukristo umejengwa juu ya msingi wa Roman Catholic. Ipo Dominant kwa zaidi ya miaka 2000

Ukristo umejengwa juu ya msingi wa Roman Catholic. Ipo Dominant kwa zaidi ya miaka 2000

Catholic is he basis of Christians, wengine ni just wameshindwa kufuata misingi mizuri sana ya ukatoliki wakajitenga ila hata wap wanajua ukatoliki ndo baba lao.
Ukatoliki ni upagani na ulihusika kuua wakristo
 
je ni dini gani iliyoanza sawa na Catholic, zote zimekuja miaka mingi sana baadae mingi sana alafu zikachomoza kutokea huko huko, iliyo anza kivyake ni uislamu na yenyewe pia ilikua baadae sana almost miaka 60 baadae
Uislamu umeanzishwa na Roman Catholic church kwa mahitaji maalumu

Kuna ushahidi wa kutosha

Padri mjesuiti Dr.Rivera ameelezea kila kitu

Hata Bi Khadija hakuwa muislamu alikuwa mkatoliki,Padr Waraqa ambaye alimtabiria Muhammad utume alikuwa mkatoliki
 
Ukatoliki ni upagani na ulihusika kuua wakristo
stori za kwenye kahawa unaleta huku sio,

ila vyovyote vile...
hata mtume paulo aliua sana wakristo lakini pia amehusika kwa kiasi kikubwa kuusambaza

pia hizo dini zote za ukristo zimetokana na Catholic
 
stori za kwenye kahawa unaleta huku sio,

ila vyovyote vile...
hata mtume paulo aliua sana wakristo lakini pia amehusika kwa kiasi kikubwa kuusambaza

pia hizo dini zote za ukristo zimetokana na Catholic
Kanisa la Roma lililazimika kuomba msamaha kwa Waprotestanti kwa sababu ya matukio ya kihistoria yaliyoathiri uhusiano wa makanisa hayo, hasa wakati wa Mapinduzi ya Kiprotestanti. Baadhi ya matukio muhimu ni:

1. Kuua Watakatifu na Waprotestanti: Katika karne ya 16 na 17, Kanisa la Roma lilifunga vita vya kidini dhidi ya Waprotestanti. Huu ulikuwa ni kipindi cha unyanyasaji, ambapo Waprotestanti wengi waliuawa kwa kigezo cha uzushi. Hii ni pamoja na vitendo vya kuchoma watu wakiwa hai au kuwatia kwenye mateso makali.

2. Mkusanyiko wa Vatican II (1962-1965): Mabadiliko makubwa yalifanyika katika Kanisa Katoliki wakati wa Mkutano wa Pili wa Vatican. Katika mkutano huu, papa na viongozi wa Kanisa Katoliki walikubali kuwa na uhusiano mzuri na madhehebu mengine, ikiwa ni pamoja na Waprotestanti. Huu ulikuwa ni hatua ya muhimu katika kuanzisha mazungumzo na kuelewa kati ya madhehebu mbalimbali ya Kikristo.

3. Kuomba Samahani: Katika 1999, Papa Yohane Paulo II alitoa sala ya msamaha kwa madhambi yaliyotendwa na Kanisa la Roma dhidi ya Waprotestanti. Alieleza kwamba Kanisa Katoliki linajutia kwa yale aliyoyaita kama "matendo ya udhalimu" yaliyofanywa wakati wa Mapinduzi ya Kiprotestanti na vita vya kidini vilivyofuata. Alikiri kuwa baadhi ya watu waliouawa na Kanisa walikuwa ni watu wenye imani thabiti na walikuwa wamejaribu tu kuhamasisha mabadiliko.
 
stori za kwenye kahawa unaleta huku sio,

ila vyovyote vile...
hata mtume paulo aliua sana wakristo lakini pia amehusika kwa kiasi kikubwa kuusambaza

pia hizo dini zote za ukristo zimetokana na Catholic
Mpaka Yesu anazaliwa, Rumi ilikua ikitawala kiserikali ( haikua na Dini).

Rumi hiyo ya kiserikali ilikua ina Sheria zake, tamaduni zake , mila zake , kama vile Kuabudu mungu Jua, Sanamu za wakuu wake, Miti ( huu unaotumika kwenye Christmas) kwakua ni mti uliokua unahimili hali ya ukame, ivo ukachaguliwa kama mungu wamimea, waliabudu mungu mwanamke n.k.

Yesu anazaliwa mpaka anaanza kazi zake, watu wakamfuata ,nao wakaitwa WAKIRSTO ..yaan watu wa Yesu Kristo. .

Yesu anasulubiwa, anaacha wanafunzi wanaichapa injili Dunia .

Aliyekua Papa wa Rumi ya kiserikali COSTANTINE , Baada yakuona mapambano dhidi ya ukrsito yameshindwa na kwamba Tamaduni za Roma zinaelekea kupotea.

aliamua mwenyewe ,kujiingiza katika Ukristo na kua KIONGOZI MKUU wakwanza wa Rumi kua Mkristo.

Ni katika huo Ukristo wake aloingia, ndio akafanikiwa baadae kwanza, kuitenga Jumapili kua ibada Dunia nzima( akijua kwa kuiabudu siku hiyo ya jumapili ya mungu Jua ), Kua Krismas ifanyike 25 /12 kuendelea kusherekea mungu wa mimea n.k n.k .

Sasa nn kilichotokea ???

Baada ya Rumi sasa kua na mamlaka mbili za kiserikali na Kidini , wapo wakrsto baadae waloona hapana, Rumi inaenda kinyume na Mafundisho ya Yesu .

Wakristo hao wakajitoa kwa Rumi nakuanzisha makanisa yao ,namiaka ilivyozidi kusogea wakazidi kujiondoa na kuanzisha makanisa ndo ambayo Leo yapo.

ROMA, HAIJAWAH KUA KANISA LA MITUME.

LABDA KAMA HUIJUI HISTORIA,

wazijua zama za Giza????

Ambapo Rumi hii , iliua Wakristo zaidi ya million 100

Rumi iliua Wakristo mpaka mwaka 1798 ambapo Papa alichukuliwa mateka na Majeshi ya ufaransa , ndo ukawa mwisho wa mauaji ya Wakristo.

Mambo ni mengi , Ingia tafuta vitabu usome !!..... ROMA HAIJAWAH KUA KANISA LA MITUME.
 
Wengine wanapinga ukatoliki kwa hoja ya ku'syncretize' na imani za kipagani kwa jicho la pili wana hoja.Nao kweli yao imetoka wapi tofauti na biblia mama(septuaginta)?Je,septuaginta(LXX) yenyewe ni sahihi kwa kiasi gani?Mbona biblia ina vitabu rejea ambavyo ni non canonical?Mbona anatomy(uchambuzi) ya vitabu vya biblia vinaonyesha nyongeza ya maelezo?Mfano:mfalme Daudi aliandika zaburi 76 tu.Hizo 74 mwandishi hajulikani,mtume Paulo aliandika nyaraka 8 tu,hizo 6 mwandishi hajulikani,nani aliidhinisha injili 4 tu ilihali mitume walikuwa 12?Wengine hawa kumwelewa YESU alipokuwa akifundisha?
 
injili zipo zaidi ya 20, vitabu vimepangwa hivyo kwenye biblia ila vilivyoandikwa ni vingi sana
 
Ukatoliki sio Ukristo,upo mbali mbali kabisa ,

Ukatoliki ulihusika kuua wakristo

Ukatoliki wamechanganya upangani ,siasa na dini kidogo kwa manufaa Yao
Dhehebu gani ambalo ni Wakristo wasio na shaka?
 
Dhehebu gani ambalo ni Wakristo wasio na shaka?
Mzee mm sihusiki na madhehebu,

Kanisa ni mjumuiko wa watu hata wakiwa wawili

Nimeshaeleza sana kwenye mada zangu, Jinsi U protestant ulivyorudi Roma
 
Wengine wanapinga ukatoliki kwa hoja ya ku'syncretize' na imani za kipagani kwa jicho la pili wana hoja.Nao kweli yao imetoka wapi tofauti na biblia mama(septuaginta)?Je,septuaginta(LXX) yenyewe ni sahihi kwa kiasi gani?Mbona biblia ina vitabu rejea ambavyo ni non canonical?Mbona anatomy(uchambuzi) ya vitabu vya biblia vinaonyesha nyongeza ya maelezo?Mfano:mfalme Daudi aliandika zaburi 76 tu.Hizo 74 mwandishi hajulikani,mtume Paulo aliandika nyaraka 8 tu,hizo 6 mwandishi hajulikani,nani aliidhinisha injili 4 tu ilihali mitume walikuwa 12?Wengine hawa kumwelewa YESU alipokuwa akifundisha?
1. Ukatoliki na syncretism: Wengi wanapinga Ukristo wa Katoliki kwa kile wanachodhani ni mchanganyiko (syncretism) wa imani za Kipagani na za Kikristo. Kwa mfano, baadhi ya ibada na sherehe kama Siku ya Pasaka na Krismasi zinaweza kuonekana kuwa na mizizi katika tamaduni za Kipagani. Hata hivyo, Kanisa la Katoliki linadai kwamba baadhi ya tamaduni hizi zilibadilishwa ili kuwakubali waumini wapya kutoka katika tamaduni mbalimbali, lakini msingi wa mafundisho ya Kikristo ni kuhubiri Injili ya Yesu Kristo kama inavyopatikana katika Biblia.

2. Septuaginta (LXX) na usahihi wake: Septuaginta (LXX) ni tafsiri ya Kigiriki ya Agano la Kale iliyotengenezwa kwa ajili ya Wayahudi waliokuwa wanaishi katika sehemu za Ugiriki na Roma. Tafsiri hii inatofautiana na masihi wa Biblia ya Kiebrania kwa baadhi ya sehemu. Ingawa kuna tofauti, Septuaginta inaaminika kuwa ilikuwa ni tafsiri inayotumika sana kwa Wakristo wa awali, na sehemu nyingi za Agano Jipya zinanukuu kutoka kwenye Septuaginta badala ya Biblia ya Kiebrania.

3. Vitabu vya Non-Canonical: Vitabu vya non-canonical ni vitabu ambavyo havikutumika katika kanoni ya Biblia rasmi ya Wakristo, ingawa baadhi ya makanisa kama Kanisa la Katoliki lina vitabu vya deuterocanonical ambavyo ni tofauti na kanuni ya Biblia ya protestanti. Vitabu hivi viliongezwa kwa sababu vilikuwa na maudhui ya kiroho ambayo hayakubaliwa na kila mfuasi au mtaalamu wa teolojia. Hata hivyo, tofauti hizi haziondoi ukweli wa mafundisho makuu ya Kikristo.

4. Anatomy ya Vitabu vya Biblia: Biblia ina historia ndefu ya uandishi, na si kila kitabu kilichoandikwa na mtume au mtakatifu kinajulikana kwa hakika. Kwa mfano, Zaburi 76 inaandikwa na Daudi, lakini Zaburi 74 haijulikani nani aliandika. Hii ni kwa sababu baadhi ya vitabu vya Biblia vimeandikwa katika nyakati tofauti na na watu tofauti, na si kila mtindo wa uandishi wa Biblia unalingana na mtindo wa kiandishi wa leo.

5. Injili 4 na mitume 12: Ingawa mitume walikuwa 12, Injili za Kanisa zinahusiana na watu waliokuwa na uhusiano wa karibu na Yesu au walikuwa na taarifa za moja kwa moja kutoka kwa mashahidi wa maisha yake. Matokeo yake, Injili 4 (Matayo, Marko, Luka, na Yohane) zilithibitishwa kuwa ni sahihi na zinazoakisi mafundisho ya Kristo. Ingawa mitume wengine walikuwa na mchango mkubwa katika kueneza Injili, hakukuwa na haja ya kuwa na Injili zaidi.

6. Kuelewa mafundisho ya Yesu: Wengi walishindwa kumwelewa Yesu wakati wa huduma yake kwa sababu mafundisho yake yalikuwa mapya na ya kiroho, na pia yalikuwa ya changamoto kwa tamaduni na imani zilizokuwepo wakati huo. Ingawa Yesu alifundisha wazi kuhusu Ufalme wa Mungu, wengi waliona mafundisho yake kama changamoto kwa mfumo wa kijamii na kidini wa wakati huo.
 
😂 wote motoni sio ila watu mnajipa mamlaka pia hamjui historia mmekaririshwa na kuaminishwa

Tuma2
historia haiwezi kukufikisha mbinguni, ndicho kinachowapoteza, mnajifariji na historia. hebu tueleze historia inakusaidiaje kumwona Mungu hapa duniani na milele mbinguni?
 
Mpaka Yesu anazaliwa, Rumi ilikua ikitawala kiserikali ( haikua na Dini).

Rumi hiyo ya kiserikali ilikua ina Sheria zake, tamaduni zake , mila zake , kama vile Kuabudu mungu Jua, Sanamu za wakuu wake, Miti ( huu unaotumika kwenye Christmas) kwakua ni mti uliokua unahimili hali ya ukame, ivo ukachaguliwa kama mungu wamimea, waliabudu mungu mwanamke n.k.

Yesu anazaliwa mpaka anaanza kazi zake, watu wakamfuata ,nao wakaitwa WAKIRSTO ..yaan watu wa Yesu Kristo. .

Yesu anasulubiwa, anaacha wanafunzi wanaichapa injili Dunia .

Aliyekua Papa wa Rumi ya kiserikali COSTANTINE , Baada yakuona mapambano dhidi ya ukrsito yameshindwa na kwamba Tamaduni za Roma zinaelekea kupotea.

aliamua mwenyewe ,kujiingiza katika Ukristo na kua KIONGOZI MKUU wakwanza wa Rumi kua Mkristo.

Ni katika huo Ukristo wake aloingia, ndio akafanikiwa baadae kwanza, kuitenga Jumapili kua ibada Dunia nzima( akijua kwa kuiabudu siku hiyo ya jumapili ya mungu Jua ), Kua Krismas ifanyike 25 /12 kuendelea kusherekea mungu wa mimea n.k n.k .

Sasa nn kilichotokea ???

Baada ya Rumi sasa kua na mamlaka mbili za kiserikali na Kidini , wapo wakrsto baadae waloona hapana, Rumi inaenda kinyume na Mafundisho ya Yesu .

Wakristo hao wakajitoa kwa Rumi nakuanzisha makanisa yao ,namiaka ilivyozidi kusogea wakazidi kujiondoa na kuanzisha makanisa ndo ambayo Leo yapo.

ROMA, HAIJAWAH KUA KANISA LA MITUME.

LABDA KAMA HUIJUI HISTORIA,

wazijua zama za Giza????

Ambapo Rumi hii , iliua Wakristo zaidi ya million 100

Rumi iliua Wakristo mpaka mwaka 1798 ambapo Papa alichukuliwa mateka na Majeshi ya ufaransa , ndo ukawa mwisho wa mauaji ya Wakristo.

Mambo ni mengi , Ingia tafuta vitabu usome !!..... ROMA HAIJAWAH KUA KANISA LA MITUME.
Akibisha Huyo Atakuwa Manjesta.
 
Back
Top Bottom