stori za kwenye kahawa unaleta huku sio,
ila vyovyote vile...
hata mtume paulo aliua sana wakristo lakini pia amehusika kwa kiasi kikubwa kuusambaza
pia hizo dini zote za ukristo zimetokana na Catholic
Mpaka Yesu anazaliwa, Rumi ilikua ikitawala kiserikali ( haikua na Dini).
Rumi hiyo ya kiserikali ilikua ina Sheria zake, tamaduni zake , mila zake , kama vile Kuabudu mungu Jua, Sanamu za wakuu wake, Miti ( huu unaotumika kwenye Christmas) kwakua ni mti uliokua unahimili hali ya ukame, ivo ukachaguliwa kama mungu wamimea, waliabudu mungu mwanamke n.k.
Yesu anazaliwa mpaka anaanza kazi zake, watu wakamfuata ,nao wakaitwa WAKIRSTO ..yaan watu wa Yesu Kristo. .
Yesu anasulubiwa, anaacha wanafunzi wanaichapa injili Dunia .
Aliyekua Papa wa Rumi ya kiserikali COSTANTINE , Baada yakuona mapambano dhidi ya ukrsito yameshindwa na kwamba Tamaduni za Roma zinaelekea kupotea.
aliamua mwenyewe ,kujiingiza katika Ukristo na kua KIONGOZI MKUU wakwanza wa Rumi kua Mkristo.
Ni katika huo Ukristo wake aloingia, ndio akafanikiwa baadae kwanza, kuitenga Jumapili kua ibada Dunia nzima( akijua kwa kuiabudu siku hiyo ya jumapili ya mungu Jua ), Kua Krismas ifanyike 25 /12 kuendelea kusherekea mungu wa mimea n.k n.k .
Sasa nn kilichotokea ???
Baada ya Rumi sasa kua na mamlaka mbili za kiserikali na Kidini , wapo wakrsto baadae waloona hapana, Rumi inaenda kinyume na Mafundisho ya Yesu .
Wakristo hao wakajitoa kwa Rumi nakuanzisha makanisa yao ,namiaka ilivyozidi kusogea wakazidi kujiondoa na kuanzisha makanisa ndo ambayo Leo yapo.
ROMA, HAIJAWAH KUA KANISA LA MITUME.
LABDA KAMA HUIJUI HISTORIA,
wazijua zama za Giza????
Ambapo Rumi hii , iliua Wakristo zaidi ya million 100
Rumi iliua Wakristo mpaka mwaka 1798 ambapo Papa alichukuliwa mateka na Majeshi ya ufaransa , ndo ukawa mwisho wa mauaji ya Wakristo.
Mambo ni mengi , Ingia tafuta vitabu usome !!..... ROMA HAIJAWAH KUA KANISA LA MITUME.