Ukristo unasema mwanamke anakuheshimu kabla ya ndoa ila ukishamuoa hufungua makucha yake. Dini (sio maandiko) imekataza kuongeza mke

Ukristo unasema mwanamke anakuheshimu kabla ya ndoa ila ukishamuoa hufungua makucha yake. Dini (sio maandiko) imekataza kuongeza mke

Wanawake ni viumbe wa mashindano, kwenye ukristo kabla hujamuoa mapenzi huwa ni moto moto maana geti la ushindani lipo wazi, akizingua anabadilishwa.

Utapewa mapenzi moto moto huku nia yake ikiwa kukuingiza kwenye mtego wa ndoa, hapo kwenye ndoa ukishanasa ndio umefunga rasmi geti la ushindani, unaweza kuwa na michepuko ila kuongeza mke hairuhusiwi hapo.

Kwenye ndoa hapo mnakuwa levo moja tu, anaweza kukunyanyaza atakavyo maana huwezi ongeza mke, na hii ni mpaka kifo kiwatenganishe (kwenye ukristo wanasemaga kukosea kuoa ni ajali kwasababu hakuna kuongeza mke [emoji23][emoji23])

Hofu ya ushindani kwa mke uliemuoa ni kitu muhimu sana ili asizingue, lakini pka hata ukiongeza mke ule ushindani wao ni kitu muhimu cha kukuhakishia mwanaume unapata mapenzi matam.

PIA HAKUNA SEHEMU KWENYE BIBLIA YA KIKIRISTO KUONGEZA MKE KUMEKATAZWA
Ule ulikua ushauri tu..wala sio sheria..hivyo suala la kuwa na mke zaidi ya mmoja kwangu ni muhimu..sio sheria.

Mama ndio mmoja sio mke.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huyo ni wako na ndio chaguo lako pambana nae tu ukimwacha unamwachia nani? [emoji849]
Kuna wanawake inafika muda hamuwezi kuishi tena kwenye ndoa hapo hata salam hampeani maana mlishaweka agano ni kifo pekee kitawatenganisha, hapa ndio wakristo walibuni msemo kwamba kukosea kuoa nako ni ajali 😂😂
 
Dini ya kikuristo inebidi ilekebishe hili ni unyama kuadhibu viumbe visio kua na hatia, wanaongoza kwa kuzaa nje ya ndoa kwasbb kuzini kwao sio Dhabi kubwa ila hao watoto hawatauliki kidini yao na hawana mgao na haki ya mali za baba zao, hi ni unfair kabisa.....sasa kama ndo hivo wakemea sana uzinzi miongoni wa uamini wao, ili dunia iepuka na uamasikini wa watoto wasio pata huduma muhimu

Nakubaliana na hoja yako
Watoto wa nje ya ndoa ni shida na katazo lipo kila mahali ila unakuta mtu anaolewa huku ana amezaa watoto wa nje ya ndoa
Kuna shida kubwa na ndoa za hivyo misukosuko inakuwaga mingi sana mwisho wa siku watoto huwa wanakuja kugombania mirathi kumbe kuna nuksi nyuma
Au hata kuuwa wazazi hawa watoto ukichunguza kuna tatizo mahali
 
Hata Musa alikuwa na wake zake wawili.

Wakristo wanafata dini, hawafati maandiko.

Mwanaume aliumbiwa mwanamke kuwa msaidizi wake, inashangaza kuona kwamba mwanaume katika ukristo anabanwa kuwa na msaidizi moja utafkiri waliumbwa sawa.
Tena hata kwenye Cheti cha Ndoa cha Kikristo, kuna sehemu unatakiwa ujaze (tick) wewe mwenyewe kuwa unaoa Ndoa ya mke mmoja au ya wake wengi?. Kumbe huwa tunajifunga wenyewe ilitakiwa tuchague ya wake wengi.

Hizi taratibu za kuchumbia mke mmoja tunajikosea adabu sisi wenyewe tu.
 
Ni kujishusha thamani mwanaume.

Ni kukubali kwamba upo sawa na msaidizi wako ulieumbiwa.

Matokeo yake ndio haya tunayoyaona, ndoa baada ya miezi mitatu tu watu washagombana
 
Nakubaliana na hoja yako
Watoto wa nje ya ndoa ni shida na katazo lipo kila mahali ila unakuta mtu anaolewa huku ana amezaa watoto wa nje ya ndoa
Kuna shida kubwa na ndoa za hivyo misukosuko inakuwaga mingi sana mwisho wa siku watoto huwa wanakuja kugombania mirathi kumbe kuna nuksi nyuma
Au hata kuuwa wazazi hawa watoto ukichunguza kuna tatizo mahali
Ndio madhara ya kumbana mwanaume asiwe na uhuru wa kuongeza mke, Ni kazi sana kumbana mwanaume eti asitoke nje ya ndoa wakati mke wake anampeleka zig zag..... Hebu vuta picha tu mwanamke anamnyima unyumba mme wake kwa maksudi kabisa ili amkomoe, anajua kabisa mwanaume hawezi ongeza mke
 
Kuna wanawake inafika muda hamuwezi kuishi tena kwenye ndoa hapo hata salam hampeani maana mlishaweka agano ni kifo pekee kitawatenganisha, hapa ndio wakristo walibuni msemo kwamba kukosea kuoa nako ni ajali [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio madhara ya kumbana mwanaume asiwe na uhuru wa kuongeza mke, Ni kazi sana kumbana mwanaume eti asitoke nje ya ndoa wakati mke wake anampeleka zig zag..... Hebu vuta picha tu mwanamke anamnyima unyumba mme wake kwa maksudi kabisa ili amkomoe, anajua kabisa mwanaume hawezi ongeza mke

Ni wakuhurumiwa ndio maana mahasira wanapelekea kuiba na rushwa kibao [emoji23] depression mbaya sana
 
Hakuna andiko linalosema kuongeza mke ni dhambi ndani ya biblia

“Kwamba ajitwalia mke mwingine, chakula chake huyo, na nguo zake, na ngono yake, hatampunguzia.”
— Kutoka 21:10 (Biblia Takatifu)
 
Back
Top Bottom