Ukristo unasema mwanamke anakuheshimu kabla ya ndoa ila ukishamuoa hufungua makucha yake. Dini (sio maandiko) imekataza kuongeza mke

Ule ulikua ushauri tu..wala sio sheria..hivyo suala la kuwa na mke zaidi ya mmoja kwangu ni muhimu..sio sheria.

Mama ndio mmoja sio mke.


#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, kosea kuoa kwenye ukristo ndio utajua ni zaidi ya ajali 😂😂 huku kwenye uislam hilo kosa unapewa nafasi nyingine kurekebisha
Unajiongeza,nakujipa nafasi nyingine mwenyewe.
 
Na huyo ni wako na ndio chaguo lako pambana nae tu ukimwacha unamwachia nani? [emoji849]
Kuna wanawake inafika muda hamuwezi kuishi tena kwenye ndoa hapo hata salam hampeani maana mlishaweka agano ni kifo pekee kitawatenganisha, hapa ndio wakristo walibuni msemo kwamba kukosea kuoa nako ni ajali 😂😂
 

Nakubaliana na hoja yako
Watoto wa nje ya ndoa ni shida na katazo lipo kila mahali ila unakuta mtu anaolewa huku ana amezaa watoto wa nje ya ndoa
Kuna shida kubwa na ndoa za hivyo misukosuko inakuwaga mingi sana mwisho wa siku watoto huwa wanakuja kugombania mirathi kumbe kuna nuksi nyuma
Au hata kuuwa wazazi hawa watoto ukichunguza kuna tatizo mahali
 
Hata Musa alikuwa na wake zake wawili.

Wakristo wanafata dini, hawafati maandiko.

Mwanaume aliumbiwa mwanamke kuwa msaidizi wake, inashangaza kuona kwamba mwanaume katika ukristo anabanwa kuwa na msaidizi moja utafkiri waliumbwa sawa.
Tena hata kwenye Cheti cha Ndoa cha Kikristo, kuna sehemu unatakiwa ujaze (tick) wewe mwenyewe kuwa unaoa Ndoa ya mke mmoja au ya wake wengi?. Kumbe huwa tunajifunga wenyewe ilitakiwa tuchague ya wake wengi.

Hizi taratibu za kuchumbia mke mmoja tunajikosea adabu sisi wenyewe tu.
 
Ni kujishusha thamani mwanaume.

Ni kukubali kwamba upo sawa na msaidizi wako ulieumbiwa.

Matokeo yake ndio haya tunayoyaona, ndoa baada ya miezi mitatu tu watu washagombana
 
Ndio madhara ya kumbana mwanaume asiwe na uhuru wa kuongeza mke, Ni kazi sana kumbana mwanaume eti asitoke nje ya ndoa wakati mke wake anampeleka zig zag..... Hebu vuta picha tu mwanamke anamnyima unyumba mme wake kwa maksudi kabisa ili amkomoe, anajua kabisa mwanaume hawezi ongeza mke
 
Kuna wanawake inafika muda hamuwezi kuishi tena kwenye ndoa hapo hata salam hampeani maana mlishaweka agano ni kifo pekee kitawatenganisha, hapa ndio wakristo walibuni msemo kwamba kukosea kuoa nako ni ajali [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Ni wakuhurumiwa ndio maana mahasira wanapelekea kuiba na rushwa kibao [emoji23] depression mbaya sana
 
Hakuna andiko linalosema kuongeza mke ni dhambi ndani ya biblia

“Kwamba ajitwalia mke mwingine, chakula chake huyo, na nguo zake, na ngono yake, hatampunguzia.”
— Kutoka 21:10 (Biblia Takatifu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…