Acha uongo, duniani wakiristo hawajahi kuongezeka ukitoa waliozaliwa kwenye ukiristo labda kwa asilimia nduchu sana 0.001% , Idadi kubwa ni wakiristo ndio huingia katika uislamu kila uchao na huko kwenu Tz mumeshindwa kuweka swali la dini kwenye sensa ya watu na makazi muna hofu idadi yenu mumezidiwa sana na waislamu.Hongera sana kwa kupiga hatua kufikisha 11% ya waumini indonesia, japo uko ulaya uliko anzia kanisa zinabadilishwa kua misikiti kwa kasi ila sio mbaya ukristu utabaki kuenea sambamba na rate za illiteracy and ignorence katika nchi husika.
Hujaelewa.Inakuwaje Quran iliyokamilika itegemee Hadith ili iweze kueleweka kwa wasomaji wake?
Yaani bado unajichanganya kwa pande zoteSawa katika muktadha huo wa imani ya kikureshi Sawa na Imani ya Chief mangungu na kuelewa ila sio kwa muktadha wa dini tena unajigamba kusema dini ya haki
We unaniletea madude ya google!??The definition of the age of ‘Aishah (may Allah be pleased with her) when the Prophet (blessings and peace of Allah be upon him) did the marriage contract with her as being six years, and of the age when he consummated the marriage with her as being nine years,
Miaka 9 kama akiwahi kulikua na ulazima gani mzee wa miaka 53 kumsubiri katoto ka miaka 6 wakati alikua na wanawake wengine wakubwa zaidi?Unabishana na mimi niliyesoma Sirah ya mtume!?
Mtume alimuoa Bi.Aisha akiwa na miaka 9 sio 6.
Yani huna ushahidi umekosea na bado unadanganya.
Kisayansi balehe Kwa mwanamke inaanza umri gani!?
Puberty inaanza umri gani Kwa msichana!?
Kwaio Allah ni Muongo? Maana alisema atailinda kitabu chake? Huoni unaleta contradiction kwa Allah?Unajua ni zipi hizo Original manuscript!?
Hivi unajua historian ya Qur'an Hadi kuja kuwa mas'haf au msahafu!?
Hivi unajua kama kuna wanafiki walishaanza kuleta uzushi kwenye Qur'an!?
Original manuscript ndio Qur'an ambayo alishushiwa mtume s.a.w.
Mtume alipofariki Omar aliwakusanya waislam na akatoa wazo la Qur'an ikusanywe sehemu moja iwe kitabu kimoja kuliko kusambaa kwenye magome na makaratasi.
Ndio wakaitwa waliohifadhi Qur'an na yale magome yaliyoandikiwa verse zilizoshuka basi kikakusanywa ndani ya kitabu kimoja.
Na hapo ndio mwanzo wa kuwepo Kwa mas'haf.
Maana walihofia kama mtume amefariki basi watu tofauti watajitokeza kuleta conspiracy kwenye dini na kwenye Qur'an.
Makala halisi ilikua inatambulika toka kufa kwa mtume.
Je,ulitaka watu wasiteketeze makala za kughushi!??
Mbona unajivuruga!?Miaka 9 kama akiwahi kulikua na ulazima gani mzee wa miaka 53 kumsubiri katoto ka miaka 6 wakati alikua na wanawake wengine wakubwa zaidi?
Kijana unaijua qur an lakini mwenyewe mwenye qur an yake anataka aombwe wewe nani wewe nani unakataa Ile safari huwezi ukaiamini kama huniamini qur an na uislamIle safari yote angalau ina mkanganyiko wa kuwepo ila pia Mungu uwezi ukawa unapanga nae kama vile upunguziwe wakati ni amri katoa na kumbuka Mussa ndio alikua anasaidia ili kuonyesha tuu Mohamad alionana na Mussa ile ni hadithi ya kutungwa
Sasa uongo uko wapi na takwimu hizo hapo kutoka kwa waindonesia wenyeweAcha uongo, duniani wakiristo hawajahi kuongezeka ukitoa waliozaliwa kwenye ukiristo labda kwa asilimia nduchu sana 0.001% , Idadi kubwa ni wakiristo ndio huingia katika uislamu kila uchao na huko kwenu Tz mumeshindwa kuweka swali la dini kwenye sensa ya watu na makazi muna hofu idadi yenu mumezidiwa sana na waislamu.
Ndio ameilinda,au Kwa kuilinda ulitaka ailinde vipi!?Kwaio Allah ni Muongo? Maana alisema atailinda kitabu chake? Huoni unaleta contradiction kwa Allah?
Qur an haitegemei hadithi bali kinyume chake ndio sahihiInakuwaje Quran iliyokamilika itegemee Hadith ili iweze kueleweka kwa wasomaji wake?
Katafute kitabu Cha khulaswatul nuurul yaqiin.Haya hutaki niamini hiyo ya google niletee yako niisome
Halafu hujatuletea jina la huyo mtoto wa mtume ambaye mtume alimuoa mkewe.Kwaio Allah ni Muongo? Maana alisema atailinda kitabu chake? Huoni unaleta contradiction kwa Allah?
Miaka 9 kama akiwahi kulikua na ulazima gani mzee wa miaka 53 kumsubiri katoto ka miaka 6 wakati alikua na wanawake wengine wakubwa zaidi?
Allah ana njia nyingi za kulinda yake na hio ni moja wapoKwaio Allah ni Muongo? Maana alisema atailinda kitabu chake? Huoni unaleta contradiction kwa Allah?
Akimleta unitagHalafu hujatuletea jina la huyo mtoto wa mtume ambaye mtume alimuoa mkewe.
Sahih al-Bukhari 5133Mbona unajivuruga!?
Mtume kamuoa Aisha akiwa na miaka 9 sio 6.
Umri wa kuanzia balehe Kwa msichana ni miaka mingapi!?