Unajua ni zipi hizo Original manuscript!?
Hivi unajua historian ya Qur'an Hadi kuja kuwa mas'haf au msahafu!?
Hivi unajua kama kuna wanafiki walishaanza kuleta uzushi kwenye Qur'an!?
Original manuscript ndio Qur'an ambayo alishushiwa mtume s.a.w.
Mtume alipofariki Omar aliwakusanya waislam na akatoa wazo la Qur'an ikusanywe sehemu moja iwe kitabu kimoja kuliko kusambaa kwenye magome na makaratasi.
Ndio wakaitwa waliohifadhi Qur'an na yale magome yaliyoandikiwa verse zilizoshuka basi kikakusanywa ndani ya kitabu kimoja.
Na hapo ndio mwanzo wa kuwepo Kwa mas'haf.
Maana walihofia kama mtume amefariki basi watu tofauti watajitokeza kuleta conspiracy kwenye dini na kwenye Qur'an.
Makala halisi ilikua inatambulika toka kufa kwa mtume.
Je,ulitaka watu wasiteketeze makala za kughushi!??