Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Hongera sana kwa kupiga hatua kufikisha 11% ya waumini indonesia, japo uko ulaya uliko anzia kanisa zinabadilishwa kua misikiti kwa kasi ila sio mbaya ukristu utabaki kuenea sambamba na rate za illiteracy and ignorence katika nchi husika.
Sema naumia bila kusema naumia
😆😆😀
 
Ulisoma kuhusu safari ya israah na miraaj kwenye suratul Israah!?
Umesoma suratul fajri?
Umesoma Suratul aswri!?

Aya Sasa naomba wewe utujibu wapi kwenye Qur'an pameandikwa ulichosema!?
What happened to the original Quran?

The original manuscript was sent back to Hafsah and Uthman then ordered all other unofficial copies to be burned or otherwise destroyed. Thus, an end was put to the dispute and the Muslims were united. The Uthmani Quran is the Mushaf used by more than 1.2 billion Muslims throughout the world today.
 
Weeh weeeh ulisema Qur'an hukusema Hadith.
Na pia hayo maelezo ni ya Sirah sio Hadith umeshafeli.
Mtume alimuoa Bi.Aisha akiwa na miaka 9,na inasemekana zama za zamani mabinti walikua wanawahi kuvunja ungo na walikua na maumbile ya ukuaji wa haraka.
Na alimlea Bi Aisha mbaka akamaliza balehe ndio alipoanza kumchukulia mke wa moja kwa moja.

Aya Lete ushahidi wa mtume kumbaka Zainab na kumuoa mke wa mwanawe,na huyo ni mwanawe yupi embu mtaje jina!??
Twende taratibu usikimbie,wapi inasemekana kwamba zamani wanawake walikua wanawahi kuvunja ungo,Muhammad alimuoa Aisha akiwa na miaka 6 akaanza kumwingilia akiwa na miaka 9 sio alimuoa akiwa na miaka 9
 
What happened to the original Quran?

The original manuscript was sent back to Hafsah and Uthman then ordered all other unofficial copies to be burned or otherwise destroyed. Thus, an end was put to the dispute and the Muslims were united. The Uthmani Quran is the Mushaf used by more than 1.2 billion Muslims throughout the world today.
Hata kiingereza unakijua kweli!?
Ni nini maana ya Original manuscript!??
Yani makala halisi ndio ilipelekwa Kwa Othman ana zile UNOFFICIAL Yani zisizothibitika zikateketezwa.

Aya hapo ni wapi wamesema kuwa Othman alichoma Qur'an!??
Kijana hii ndio shida yenu ku C&P pasi na kuelewa maana halisi ya kilichoandikwa.
 
kwaio wakureshi walikua wanaoa wanawake ambao hawajabalehe?
Ndoa za hivyo katika jamii ya kureshi zilikua zinafanywa kujenga mahusiano mazuri kati ya jamii na jamii .

Kwa mujibu wa hizo hadithi uhusiano uliojengwa hapo ni kati ya baba ya Aisha' Abu bakar pamoja na mhusika kwa sababu kwanza walikua marafiki na ndio alikua kati ya waislamu wa mwanzo kabisa .

Note. Haekima ya kale ilitumika kwamba binti atalelewa na bi mkubwa ama atabaki kwa wazazi mapka avunje ungo hayo ni makubaliona ya pande zote mbili. .
 
Quran na Hadith lazima vitegemeane na vyote ni vya kweli kwa mujibu wa uislam swali je Muhammad ni uongo alimuoa Aisha akiwa na miaka 6?
Shida yako wewe kwanza hujui kama kuna hadithi sahihi dhaifu nk pia wakati huo huo unaamini hadithi na tafsiri juu ya s a w kuoa binti wa miaka sita ila huwa kubali watafsiri juu ya suala tano msimamo wako upi
 
Twende taratibu usikimbie,wapi inasemekana kwamba zamani wanawake walikua wanawahi kuvunja ungo,Muhammad alimuoa Aisha akiwa na miaka 6 akaanza kumwingilia akiwa na miaka 9 sio alimuoa akiwa na miaka 9
Unabishana na mimi niliyesoma Sirah ya mtume!?
Mtume alimuoa Bi.Aisha akiwa na miaka 9 sio 6.

Yani huna ushahidi umekosea na bado unadanganya.
Kisayansi balehe Kwa mwanamke inaanza umri gani!?
Puberty inaanza umri gani Kwa msichana!?
 
Hata kiingereza unakijua kweli!?
Ni nini maana ya Original manuscript!??
Yani makala halisi ndio ilipelekwa Kwa Othman ana zile UNOFFICIAL Yani zisizothibitika zikateketezwa.

Aya hapo ni wapi wamesema kuwa Othman alichoma Qur'an!??
Kijana hii ndio shida yenu ku C&P pasi na kuelewa maana halisi ya kilichoandikwa.
Kulikua na Ulazima gani wakufanya hivi wakati Quran ilishuka kutoka Kwa Allah na ilishaandikwa?
 
Shida yako wewe kwanza hujui kama kuna hadithi sahihi dhaifu nk pia wakati huo huo unaamini hadithi na tafsiri juu ya s a w kuoa binti wa miaka sita ila huwa kubali watafsiri juu ya suala tano msimamo wako upi
Kaka huyu muache ameshaanza kujikaanga na wese lake mwenyewe.
We subiri ajiivishe mwenyewe.
 
Kwaio Mussa alimzidi ufahamu Mohammad na Allah kwamba 50 haziwezekani? Maana Muhammad alirudi mara ngapi apunguziwe hadi zikafika 5?
Ndio uelewa wako ulipoishia unaelewa maana ya kuomba kwanza ama huelewi maana ya kuomba
 
Shida yako wewe kwanza hujui kama kuna hadithi sahihi dhaifu nk pia wakati huo huo unaamini hadithi na tafsiri juu ya s a w kuoa binti wa miaka sita ila huwa kubali watafsiri juu ya suala tano msimamo wako upi
Msimamo wangu ni kuwa wafanya tafsiri huwa wanajitahidi kufanya utetezi
 
Hapana vitu vingi vimetengenezwa we fuatilia miujiza inayosemwa ipo kwenye Quran utachoka
Uzuri hio qur an licha ya miujiza yake yooote ikajipambanua kwamba haikulazimishi ukitaka utaifata usipo taka endelea na yako mutakutana mbele ya safari huko
 
Ndio uelewa wako ulipoishia unaelewa maana ya kuomba kwanza ama huelewi maana ya kuomba
Ile safari yote angalau ina mkanganyiko wa kuwepo ila pia Mungu uwezi ukawa unapanga nae kama vile upunguziwe wakati ni amri katoa na kumbuka Mussa ndio alikua anasaidia ili kuonyesha tuu Mohamad alionana na Mussa ile ni hadithi ya kutungwa
 
Kulikua na Ulazima gani wakufanya hivi wakati Quran ilishuka kutoka Kwa Allah na ilishaandikwa?
Unajua ni zipi hizo Original manuscript!?
Hivi unajua historian ya Qur'an Hadi kuja kuwa mas'haf au msahafu!?
Hivi unajua kama kuna wanafiki walishaanza kuleta uzushi kwenye Qur'an!?
Original manuscript ndio Qur'an ambayo alishushiwa mtume s.a.w.
Mtume alipofariki Omar aliwakusanya waislam na akatoa wazo la Qur'an ikusanywe sehemu moja iwe kitabu kimoja kuliko kusambaa kwenye magome na makaratasi.
Ndio wakaitwa waliohifadhi Qur'an na yale magome yaliyoandikiwa verse zilizoshuka basi kikakusanywa ndani ya kitabu kimoja.
Na hapo ndio mwanzo wa kuwepo Kwa mas'haf.
Maana walihofia kama mtume amefariki basi watu tofauti watajitokeza kuleta conspiracy kwenye dini na kwenye Qur'an.
Makala halisi ilikua inatambulika toka kufa kwa mtume.
Je,ulitaka watu wasiteketeze makala za kughushi!??
 
Unabishana na mimi niliyesoma Sirah ya mtume!?
Mtume alimuoa Bi.Aisha akiwa na miaka 9 sio 6.

Yani huna ushahidi umekosea na bado unadanganya.
Kisayansi balehe Kwa mwanamke inaanza umri gani!?
Puberty inaanza umri gani Kwa msichana!?
The definition of the age of ‘Aishah (may Allah be pleased with her) when the Prophet (blessings and peace of Allah be upon him) did the marriage contract with her as being six years, and of the age when he consummated the marriage with her as being nine years,

Back
Top Bottom