Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,132
- 5,508
- Thread starter
- #81
Sema naumia bila kusema naumiaHongera sana kwa kupiga hatua kufikisha 11% ya waumini indonesia, japo uko ulaya uliko anzia kanisa zinabadilishwa kua misikiti kwa kasi ila sio mbaya ukristu utabaki kuenea sambamba na rate za illiteracy and ignorence katika nchi husika.
😆😆😀