Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

kuchelewa kwa matumizi ya maneno kama hayo kunachangia Lugha kutekwa na maneno ya kigeni kama neno Kompyuta lina kuwa kama nisahihi kumbe lakiswahili lipo 'Ngamizi'
 
...k

Kuchelewa kwa Maneno Kama hayo, kwsni mubashara siyo neno la kigeni
 
kuchelewa kwa matumizi ya maneno kama hayo kunachangia Lugha kutekwa na maneno ya kigeni kama neno Kompyuta lina kuwa kama nisahihi kumbe lakiswahili lipo 'Ngamizi'

Ngamizi khaaa. .....

Hao nao sasa wamezidi kutuletea majina ya ajabu ajabu sasa.
Hiyo ngamizi wametohoa kutoka wapi?? Waache hiyohiyo kompyuta mpakato tutaelewa, wasituharibie watoto wetu kwa majina ya ajabu ajabu
 
umeona eeee kamsi inakuja kutoka OXFORD zetu kapuni hatuwezi kuwa na maneno yetu asilia
 
Mubashara ni neno la kiarabu lenye maana moja kwa moja au Live
Neno "mubashara" ni jina la kiarabu la msichana likimaanisha "mleta habari njema". Matangazo ya moja kwa moja kwa kiingereza ni "live broadcast" ambapo ukifasiri kwa kiswahili ingefaa kuwa "matangazo hai".
 
Back
Top Bottom