Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

kuchelewa kwa matumizi ya maneno kama hayo kunachangia Lugha kutekwa na maneno ya kigeni kama neno Kompyuta lina kuwa kama nisahihi kumbe lakiswahili lipo 'Ngamizi'

Where did ngamizi come from ie the etymological origin
 
Habari wakuu?

Miaka iliyopita, matangazo ya moja kwa moja ya televisheni na redio hayakuwa na neno sahihi la kiswahili, hivyo kutumia neno "live".

Katika miezi ya hivi karibuni, neno "Mubashara" limekuwa mbadala wa neno "live" ambalo ni la lugha ya kiingereza, likimaanisha "moja kwa moja". ie. Matangazo mubashara - matangazo ya moja kwa moja.

Naomba wataalam wa lugha mnisaidie, asili ya neno hili "mubashara" ni ipi?

Naomba kuwasilisha.
 
Hili neno lilitoka kwa mtaalamu mmoja wa lugha pale UDSM, katika hafla moja iliyorushwa mubashara na ITV ambapo nakumbuka Rais wetu mpendwa alikuwa mgeni rasmi, ndipo mtaalamu huyo wa lugha ambapo alikuwa ndiye Muendesha shughuli ile alitambulisha neno, MUBASHARA.
 
Mubashara ni neno la lugha ya Kiarabu, likiwa na maana nyingi ikiwa ni pamoja na kuchanganyika, mfano. Mwanamke na mwanaume wanaoweza kuoana hawaruhusiwi kuwa mubashara yaani kuchanganyika, kuwa karibu.
 
Asante mkuu
 
Nashukuru. Kumbe hii ni maana yake nyingine.
 
Hili neno lilitoka kwa mtaalamu mmoja wa lugha pale UDSM, katika hafla moja iliyorushwa mubashara na ITV ambapo nakumbuka Rais wetu mpendwa alikuwa mgeni rasmi, ndipo mtaalamu huyo wa lugha ambapo alikuwa ndiye Muendesha shughuli ile alitambulisha neno, MUBASHARA.
Mpendwa yupi?
 
Ama kweli kindengereko kimeendelea sana.
Na neno mujarabu nalo maana yake nini wahenga?
 
Jamani. Naomba kuuliza, neno MUBASHARA linalotumiwa na kituo cha luninga cha ITV ni la Kiswahili sanifu?
 
Hata sielewi kwa nini wasihalalishe neno live likawa laivu tu?
 
Ndio ni neno la kiswahili kabisa, ni neno zuri sana linamaanisha "Live" kwa kiingereza.

Nafurahi sana kuona kiswahili kikizidi kukuwa.
 
Back
Top Bottom