Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

Mimi ninachojua mubashara ni neno la kiswahili la live kulingana na jinsi ITV wanavyolitumia...sema sasa siku hizi kuna kitu kinaitwa mapenzi mubashara sasa sijui kina maana gani?....au neno mubashara lina maana zaidi ya hiyo live....
 
Wandungu naomba kujuzwa neno Mubashara lina maana gani hasa maana limekua gumzo sasa na je ni kiswahili sanifu kwenye kamusi lipo? Mimi binafsi neno hili nimelisikia mwaka jana kwenyesherehe za Uhuru 9 desemba ambapo lilitumiwa na kituo cha ITV wakitangaza matangazo ya live kutoka uwanja wa uhuru. So mwenye kuelewa atujuze na kama kuna maneno mengine mapya ya kiswahili weka hapa ili tuyafahamu tutoke ushamba wa lugha yetu....
[emoji121]
MKUU,

HILI SWALI LAKO NI MUBASHARA KABISA HILI!
 
Halina maana yoyote ni upuuzi tu wa genge la watu wachache sijui (TUTUKI / BAKITA siwajui vizuri hao wahuni) kutaka neno fulani walitakalo/ walilolitunga litumike badala ya ku rasimisha neno linalotumiwa na wengi. Wangapi wanatumia maneno kama garimoshi, gurudumu, jokofu, nywila, tanakilishi, kikokotoo na mengine mengi ya ajabu ajabu. Kiswahili ni cha hovyo kabisa kwasababu badala ya kuruhusu lugha ikue hilo genge linataka kuikuza kwa maneno ya kujitungia wao.
 
Hili neno bana linaleta ladha flani ukilitamka pekeake ukiliunganisha na maneno mengine sasa linaleta maana unaelewa lakini huwa halivutii
 
Back
Top Bottom