Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti kiswahili kinakua?hilo ni neno lakiarabu lenye maana ya (moja kwa moja,wazi,bila sutra)
ha ha ha ha kaka naona UMETUA KISWAHILI FASAHA SANA BIG UPMimi huwa nagombana sana na mke wangu sababu ya nywila za simu
Nawewe "UMETUA nini?ha ha ha ha kaka naona UMETUA KISWAHILI FANS AHA SANA BIG UP
Lugha yoyote inakua na ASILI ya maneno katika lugha nyingine,, ukisoma NADHARIA YA LUGHA Njia moja wapo ya Uundaji wa maneno ni Kutohoa kutoka lugha ya kigeni,, BAKITA kutohoa maneno katika lugha nyingine SI KOSAHao BAKITA nao wamejichokea kabisa. Bado tunatohoa maneno ya Kiarabu mpaka karine hii!? Nilidhani kwa usomi wao wa Lugha pamoja na tafiti mbalimbali za lugha zetu za asili wangeweza kupata neno safi na tamu kutoka kwenye asili yetu. Sijui hawa wasomi wetu vipi.
hoja yako hasa ni nini??Kiswahili ni maneno machache sana ni ya kibantu, sijui kwanini tumepumbazika hivyo.
Halafu tunaamini mtu wa kwanza alitokea Africa, sasa tulishindwaje kuwa na maneno yetu ya kutunga wenyewe?
Mzungu katengeneza Rail tukaita RELI, Signal= zinginari,
Akaja mwarabu na maneno mengi tukaiga kuanzia aliko ingilia BAHAR= bahari
Kuna maneno waarabu na wazungu wameiga toka kwetu lakini sio vingi kama sisi.
MUBASHAR ni neno la kiarabu kwani miaka yote hii tumeshindwa kupata neno jipya?
Kubuni maneno mapya.hoja yako hasa ni nini??
Da maneno mengine bhana!! Nywila!Mimi huwa nagombana sana na mke wangu sababu ya nywila za simu
Hii nayo ni habari ya siasa?ITV itabaki kuwa super brand tu.Hivi mnajua neno mubashara limehasisiwa na ITV?
Cha kushangaza clouds wamelidandia na vijana wanajua wao ndio waasisi.Sisemi ni neno jipya"No"Najua lipo kwenye kamusi.Ila walioliubua.Ni ITV tanzania.Sio Clouds group."Tuwe wabunifu"Sifa ziwarudie ITV na Sio Clouds.
Mkuu umeongea ukweli kabisa, neno hilo limevumbuliwa na itv, mahojiano mubashara, bt wazee wa kukopi na kupest wamelishadadia mpk wameharibu maana ya hilo neno.ITV itabaki kuwa super brand tu.Hivi mnajua neno mubashara limehasisiwa na ITV?
Cha kushangaza clouds wamelidandia na vijana wanajua wao ndio waasisi.Sisemi ni neno jipya"No"Najua lipo kwenye kamusi.Ila walioliubua.Ni ITV tanzania.Sio Clouds group."Tuwe wabunifu"Sifa ziwarudie ITV na Sio Clouds.
ITV itabaki kuwa super brand tu.Hivi mnajua neno mubashara limehasisiwa na ITV?