CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,813
- 1,827
Ni kweli neno libamaanisha "live" kutofautisha na "recorded"Ok asante lakini limekua likitumika kama kiungo hivi linawekwa kwenye kila sentensi ndio inanichanganya
Lakini matuizi yake sio yote ni sahihi. Kama vile neno la kiingereza live linavyotumika vibaya mfano "nimeshuhudia live wakigombana", "nataka nikutane naye live", "nimemuona Diamond live akisakata mziki"mataka nikashuhudie mechi live sio kusimuliwa" nk.
Neno "live au mubashara halina maana kama upo kwenye eneo la tukio. Mfano mtu ambaye yupo uwanjani haangalii mchezo "live au mbashara" kwa kuwa yupo kwenye eneo la tukio.
Mbashara au live lina maana au kutumika pale mtu anapoangalia tukio kwenye tv au kusikiliza redio ambapo kuna mbadala wa kuangalia au kusikiliza tukio lililorekodiwa. Kama hakuna option ya kuangalia/kusikiliza tukio liliorekodiwa basi matumizi ya live/bashara yanakuwa hayana maana.