Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

Kwani kuna mashindano?
ITV wameshalipwa mishahara yao ya January au unashabikia ushabiki mandondo tu?
 
Sisi clouds tupo juu sana sana Tanzania. Wivu unawasumbua sana kama sisi ni wadogo kwenu mnahangaika nasi kwanini
 
Neno La Kiarabu Hili. Sasa Sijui Kwann Tukatae Neno "live" La Kiingereza Halafu Tukachukua "mubashara" La Kiarabu?
 
Muasisi wa neno hilo mubashara katika matumizi hapa Tanzania ni Prof. Palamagamba J. A. M. Kabudi. Alilitamka alipokuwa mshereheshaji kwenye sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa Maktaba ya kisasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mgeni rasmi alikuwa Rais Magufuli. ITV walilipata siku hiyo
 
Clouds always hudandia jambo na kuliboresha hata kipindi cha Friday Night Live toka EATV wamekicopy japo now kimechukua mkondo wa udaku, kipindi vya mziki wanacopy MTV hawana ubunifu kabisa
Wape shua mkuu
 
Hili ni neno la kiarabu ikiwa kuna kipindi kinarushwa live wao huandika mubashara
 
Sasa ndo unaleta ujumbe gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…